Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imepokea na kujadili taarifa ya Utekekezaji wa Majukumu ya Taasisi ya Utamaduni na Sanaa Bagamoyo (TaSUBa) ambapo imeishauri Serikali iendelee kusimamia Taasisi hiyo ili izalishe wataalam wengi kwenye Sekta ya Utamaduni na Sanaa...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameliagiza Baraza la Sanaa la Taifa na Bodi ya Filamu nchini kuhakikisha zinasimamia vyema Sekta ya Sanaa iweze kuchangia katika ukuaji wa uchumi wa nchi na kunufaisha wasanii.
Dkt. Ndumbaro ametoa maagizo hayo Oktoba 17, 2023...
Wakuu habari za muda huu natumai mko poa na weekend ilienda vizuri na kwa wale ambao weekend imeenda ndivyo sivyo tuendelee kupambana na kuzidi kumwomba Mungu katika changamoto tunazopitia
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, naombeni msaada ni nini suluhisho la simu kuwa very overheated...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ametoa wito kwa wadau wa sekta ya Utamaduni na Sanaa nchini wafanye kazi hiyo kibiashara ili wanufaike zaidi.
Dkt. Ndumbaro amesema hayo Oktoba 12, 2023 jijini Dar es Salaam alipotembelea Ofisi za Mfuko wa Utamaduni na Sanaa nchini...
Sheria ya Makosa ya Adhabu namba 16 na Kanuni zake haimzuii mtu kumiliki wala kuvaa mavazi rasmi ya Jeshi ikiwa vazi hilo rasmi litavaliwa kwaajili ya matamasha au maigizo yanayowakilisha Jeshi lolote la Polisi kwa "Nia Njema"
Kifungu cha 178 kifungu kidogo 1, 2 na 3 cha Sheria hii pamoja na...
Ikiwa ni siku moja baada ya kuwasili ofisini Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Mhe. Dkt.Damas Ndumbaro ameanza kazi Wizarani hapo kwa kukutana na kuzungumza na watumishi na viongozi wa Idara ya Utamaduni, Sanaa, Utawala, Sera na Mipango na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, kwa lengo la kufahamiana...
Habari wadau.
Naona vijana waliomaliza form 6 mwaka huu 2023. Wana heka heka na admission za chuo zilizoanza kutoka.
Ushauri wangu kwao watambue ajira zipo chache sana zama hizi kama sio hakuna.
Ulimwengu huu watu wana ku value kwa kupima unachokijua ama kukifanya kwa uhalisia. Hawaku value...
“Mimi ni msanii, mimi ni msanii,
Kioo cha jamii, kioo cha jamii,
Mimi naona mbali, mimi naona mbali,
Kwa darubini kali, kwa darubini kali.”
Nani anakumbuka huu wimbo? Mimi ninaukumbuka sana. Enzi hizo nilikuwa nasoma pale Shule ya Msingi Zanaki, Kata ya Upanga Mashariki. Wimbo huu uliimbwa na...
UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KATIKA KULETA TIJA KWENYE SEKTA YA MICHEZO NA SANAA KWA MASLAHI YA UMMA NCHINI TANZANIA
Utangulizi
Sekta ya michezo na sanaa ina umuhimu mkubwa katika kuimarisha utamaduni, kujenga umoja, na kuleta furaha kwa jamii. Kwa maslahi ya umma, uwajibikaji na utawala bora ni...
Afrika, wa afrika wengi tunaafikiri Nchi kuwa na maendeleo chanya niuwingi wa mali asili zilizopo tunasahau miaka kadhaa iliyopita huenda wengine hatukuwa tumezaliwa ziko nchi zilikuwa masikini wa kutupwa mfano, libya, Rwanda, Umoja wa Falme za Kiarabu(dubai) nk. Ni miongoni mwa nchi zilizokuwa...
Miaka ya hivi karibuni Baraza la Sanaa la Tanzania limekosa kazi ya kufanya isipokuwa kusubiri wasanii watoe nyimbo ndo likae vikao kuzifungia.
Hata Rais Magufuli amewahi kutishia kulifuta Baraza hili kwa sababu aliona halina kitu chochote cha maana kinalofanya isipokuwa tu kugeuka na kuwa...
La haulaaa! Nimeona mahali Freeman na Dk. Slaa watahutubia mkutano pamoja na pia hawa watu wamerudisha mahusiano yao hivyo kazi iendelee! Mbowe Freeman alibadili gia angani na kuwatupa nje wafia chama wengi akamkumbatia Lowasa na Sumaye!
Dk. Slaa hakupendezwa, akaenda CCM kimya kimya...
NGUVU YA SANAA KATIKA KUCHOCHEA MABADILIKO CHANYA
Imeandikwa na: Mwl.RCT
UTANGULIZI
Sanaa ni lugha ya ulimwengu ambayo inaweza kutumika kuelezea hisia, mawazo na ujumbe mbalimbali. Katika andiko hili, tutajadili jinsi sanaa inavyoweza kutumika kama njia ya kuchochea mabadiliko chanya katika...
Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu sana katika maendeleo ya sanaa na maigizo katika nchi yoyote ile. Sanaa na maigizo yana jukumu kubwa katika kuunganisha jamii, kuleta maendeleo ya kiuchumi, kijamii na kiakili, na kuendeleza utamaduni wa nchi. Hata hivyo, katika nchi nyingi, utawala...
Rais Samia kupitia NEMC umeaamua kuuwa baishara za watu na kuuwa biashara za watu ni sawa na kuuwa watu kabisa!
Mh Rais wewe na wasaidizi wako mnakula raha kila siku na mko angani kila siku mnakula asali lakini sisi wananchi wengine burudani yetu ni muziki lakini mmeona tunafaidi sana ndio...
Habari zenu.
Natumai mpo salama kabisa, nimeona nominees wa Tuzo za Muziki Tanzania kiukweli watu wengi wametilia mashaka jinsi walivyopatikana hao washindani.
Hili jambo natumai kwa asilimia kubwa kabisa lina baraka zote kutoka kwa Baraza la Sanaa Tanzania mpaka ikafikiwa kutangazwa kwa jamii...
KAMATI YA BUNGE YAIDHINISHA BAJETI WIZARA YA UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO.
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imeridhia na kuidhinisha matumizi ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ya takribani Bilioni 35.4 kwa mwaka wa Fedha 2023/24.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo...
Siku moja baada ya kuapishwa kuwa Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’, wadau wametaja mambo yanayomkabili ikiwamo yale aliyokuwa akiyapigania bungeni.
Miongoni mwa mambo ambayo Mwinjuma ambaye pia ni mbunge wa Muheza aliyokuwa akiyapigania bungeni ni suala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.