Kibu analeta sanaa ya mpira kama walifanya wakina Fei na Dube, Simba wajiandae kwa lolote
Kiungo mshambuliaji wa Simba sc Kibu Densi amegoma kusaini mkataba mpya akiwa ameweka vikwazo vingi kwa viongozi wa Simba.
Na inavyoonesha Kibu aonekana ana ofa kubwa zaidi nje ya mipaka ya Tanzania...
Wakuu nawasalimu, niende moja kwa moja kwenye swali , linahusu budge ya serikali na utekelezaji wake , bunge na Mheshiwa Rais
nianze na maelezo kidogo, Nijuavyo mimi, budget zote hupitishwa na bunge, na wabunge huwa wakali sana kwa mawaziri kama watekelezaji wa maamuzi ya bunge , mambo ya...
TAARIFA KWA UMMA
KUSITISHA SHUGHULI ZA SANAA, SHEREHE NA BURUDANI KATIΚΑ KUMBI 504 ΤΑΝΖΑΝΙΑ BARA.
Mnamo tarehe 19 Februari, 2024 Baraza lilitoa tamko la nia ya kusitisha huduma kwa kumbi 653 ndani ya siku 14 kwa wadau wote ambao hawatatimiza vigezo vya kuhuisha vibali vya kufanya shughuli za...
DODOMA Jumatatu Machi 25 2024:
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo na kampuni ya Drum Beats Carnival (T) Limited, ya Jijini Dar es Salaam zimesaini makubaliano ya ushirikiano ambapo kampuni hiyo itaratibu Tamasha la Kitaifa la Utamaduni kwa niaba ya wizara.
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya...
Upendeleo katika utoaji wa tuzo ni aina ya Rushwa ambapo watu au makundi hutumia hongo au faida fulani kwa majaji au wapiga kura ili kuhakikisha kwamba wanatunukiwa tuzo katika tasnia ya sanaa.
Tabia hii ni kinyume cha sheria na inaathiri uadilifu na uwazi wa mchakato wa utoaji wa tuzo, na...
Habari wanaJF.
Ukweli ni kwamba vyuo vikuuu na vyuo vingine vimekuwa vikitambua na kuwatunuku PhD katika kutoa huduma fulani katika jamii.
Lakini Kuna nguli wa Utangazaji na Mwana Ethnomusicologist Yaani mtaalam wa sayansi ya Muziki na amekuwa akichambua historia na general structure ya...
Baraza la Sanaa, Sensa, Filamu na Utamaduni la Zanzibar, limemfungia msaanii wa kizazi kipya Zuhura Othman Masoud maarufu Zuchu kuendesha shughuli zote za sanaa visiwani Zanzibar.
Mbali na kumfungia kuendesha shughuli za sanaa, pia imepiga marufuku redio na televisheni za Zanzibar kupiga nyimbo...
SANAA YA MUZIKI HAIPEWI NAFASI MASHULENI LIKIJA SUALA NZIMA LA UIPUAJI WA VIPAJI MASHULENI TOFAUTI NA ZAMANI..
Serikali imekuwa ikiimiza michezo mashuleni ili kuibua vipaji na kuendeleza , kuchochea ufaulu mashuleni na kuondoa utoro kwa wanafunzi...
wanafunzi hushiriki katika michezo...
Adela Tilly wa WASAFI
Kama huko hukuu tafadhalii okoa moyo wangu unakufaaaa ganzii
Njoo DM najua uko hukuu
Sifa zako
1. Mcha Mungu tena unasali. KKKT kijitonyamaa.
2. Mzuri asee.
3. Unajielewaa sana.
4. Machaga
Njoo PM sasa hivi twende Moshi
Adellah bado nakutafutaaa Adellah
Wana jamvi...
Balaza la Sanaa la Taifa limekuwa likipokea simu za maswali na malalamiko kadhaa kutoka kwa waandishi wa habari na wadau wa Sanaa ambao kwa njia moja ama nyingine wameguswa na kuchukizwa na kazi za baadhi ya wasanii ambao wanaimba nyimbo zenye maudhui yasiofaa kwa jamii ama TAIFA letu la...
Habar zenu wanna jamiiforums kher ya mwaka mpya.
Naomba msaada wa kuweza kuacha kumwaza na kumkumbuka yule ambaye bado nampenda sanaaa. Nilikuwa na mahusiano na binti ambaye kwakweli haijawah isha siku nisimkumbuke. Namuwaza mpaka mda mwingine nahisi bado nipo naye karibu yangu na imepelekea...
Mfanyabiashara anaona Kununua Lita moja ya maziwa fresh ni heri ananunue Kopo la maziwa ya unga na akapata lita zaidi ya 20 za maziwa
na wanayaongeza na Butter 'magarine'
ili yawe na vimafuta na yakipoa yanaonekana kama maziwa halisi ya ngombe
Yani Biashara ya maziwa siku hizi ni uhuni mtupu...
Natamani kujuzwa juu ya tuzo hizi zinavyotolewa kuanzia za ndani mpaka za kimataifa, kuna wasanii huwa wanafunga safari kwenda kuzifuata kwa gharama kubwa sana na wanaporejea wanatuonyesha zile tuzo ila huwa hawasemi thamani yake au fedha waliyopata kulingana na ushindi huo wa tuzo.
Nataka pia...
INTRODUCTION
Hamjambo bandugu...
Leo nimejiuliza "Nikishapata sanaa hela NINI KINAFATA?"
Nikajijibu "Ni stareheeee"
Sasa nikiwaza, hivi Hawa Video Vixen watoto warembo wanapatikana wapi?
BODY:
Ngoja twende mdogomdgo MTANIELEWA TUU...
Mi bwana pamoja ya kwamba sitaki kuoa ila hawa watoto...
Changamoto nyingi zilizoko katika Sanaa na Utamaduni utaanza kuzikabili lini?
Halafu Gerson Msigwa (Mkinga Wewe) kwanini unatumia Nguvu Kubwa sana kutaka Rais Samia aendelee Kukukubali hasa kwa Kujipendekeza na Kujikomba Kwake wakati wenye Akili tunajua kuwa amekuweka hapo Wizarani kama Katibu...
ACHA KABISA
Hakuna bussiness isio na usumbufu kama hiii aiseeee
ni usiku wa jana niliamua kukesha na maombi redion nikasikia mahubiri kadhaa baada ya hapo mtumishi akasema andika msg nakata........nkaandika nkatuma
asbh nkakutana na msg Bw .......njoo...panda basi fika,,......uliza...
Kwa mujibu wa Babalevo ni kitu cha ajabu Mwana Fa ambae amepewa dhamana ya kuongoza wizara ya sanaa kuonyesha chuki za wazi wazi kwa Diamond Platnumz.
Wengine walifikiri akishakuwa kiongozi wa serikali chuki zake za miaka yote angezisimamisha kwa muda. Lakini ameshindwa kujizuia.
Watu...
Nasikia wenzenu wamesimamishwa kwa sababu ya 'kuruhusu' wanafunzi kucheza wimbo usio na 'maadili' wa Honey. Saaawa.
Kusimamishwa kwao ni ujumbe kwenu mlio madarakani. achaneni na habari za muziki huko mashuleni kwenu.
Kuachana na muziki tafsiri yake futeni mahafali, hakuna mahafali ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.