sanaa

  1. and 300

    Tuna P-didy wengi waliojificha kwenye Siasa, Dini, Siasa na taasisi/kampuni rasmi

    I. Hapa TANZANIA (Tanganyika na Zanzibar) tunao kwa MAELFU ya watu wenye tabia mbovu PENGINE KUMZIDI p.didy (za kuwadhulumu watu wengine kingono). II. Wengi wa waathirika huishia kunyamaza kimya huku wakiugulia maumivu moyoni. Sekta zinazoongoza udhalilishaji wa kingono, 1. SIASA - huku...
  2. Muuza madafu wa Ikulu

    Baraza la Sanaa lasimamisha shughuli zote za sanaa na burudani kupisha Maulid Zanzibar

    Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni Zanzibar (BASSFU) limesimamisha shughuli zote za sanaa na burudani Visiwani Zanzibar kupisha usiku wa mkesha wa kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) Maulid ya Mtume, leo Jumapili September 15,2024 kuamkia kesho September 16,2024 (Maulid...
  3. Matteo Vargas

    Hakuna 'mchepukaji' mwenye sanaa ya upendo

    Kwanza tujue upendo ni nini kwa mujibu ya Biblia Takatifu. Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni; haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya; haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli. (1 Wakoritho 13: 4-6)...
  4. EddyArt

    Ndugu zangu ninaombeni zabuni ya sanaa ya uchoraji picha za ukutani kwa majengo ya kisasa

    Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye kipaji cha uchoraji picha halisi ya kitu au mtu yeyote aina ya MONOKROMU ukubwa kuanzia A0,A1,A2,A3,A4 na A5. Ni ombi langu kupokea kazi kubwa na ndogo za uchoraji kwani ninafanya kazi kwa bei nafuu kwa kumjali mteja. Nikiwa kama kijana ambaye sina ajira...
  5. Comrade Ally Maftah

    Ajira katika sanaa ni mwelekeo sahihi wa taifa

    Na Comrade Ally Maftah Nimefarijika sana kumsikiliza rafiki yangu sana Dr Gervas Kasiga ( Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dodoma ) kwamba mwelekeo mwingine wa ajira ni katika sana, ni hakika kwamba Dr Kasiga ambae alikuwa muigizaji wa zamani katika mapinduzi ya pili ya sanaa za maigizo akiwa na...
  6. robbyr

    Chuo cha Bagamoyo kimekufa? Wasanii hawakustahili kwenda Korea bali tulihitaji uwezeshaji hapa nchini

    Picha: Mtandaoni Kwa heshima kubwa nampongeza rais na baraza la sanaa kwa kuona kuna kitu tunaweza kujifunza kutoka kwa jamii ya watu wa Korea Kusini Ila niseme kuwa wizara ya sanaa imeshindwa kutafsiri maono ya rais juu ya sanaa yetu. Ila wasani hawaendi kujifunza utamaduni wa Korea ili waje...
  7. P

    SoC04 BASATA okoeni sanaa ya Tanzania

    Baraza la sanaa la Tanzania linahusika kwenye ukaguzi wa maudhui ya sanaa pamoja na utoaji wa hakimiliki ya kazi za sanaa za wasanii wa Tanzania. Baraza hili limekua likijitahidi kuhakikisha maudhui yanayowasilishwa kwenye jamii hayavunji maadili ya kitanzania kwa kufungia kazi za sanaa...
  8. Bahati Yakigulu

    SoC04 Mtazamo mpya katika tasnia ya sanaa baada ya miaka mitano

     IKISIRI Sanaa ni ufundi wa kuwasilisha mawazo yaliyo katika fikra za binadamu. Kwa mujibu wa Mulokozi (2017), anaianisha aina tatu za Sanaa ambazo ni sanaa ghibu (Muziki na mashairi), sanaa za maonesho (uchoraji, ususi na ufinyanzi) na Sanaa za vitendo (maigizo na tamthiliya). Katika andiko...
  9. Nyanda Banka

    Art subjects (Masomo ya sanaa)

    Sijui ni kwanini hakuna usawa wa ajira kwa sisi waalimu wa masomo ya arts na sayansi, sayansi wanaoewa nafasi kubwa ya kupata ajira kuliko sisi wa arts na kiuhalisia hata hao wa arts hawatoshi mashuleni Unfair #Msaka_ajira
  10. Mbahili

    Dkt. Gwajima sasa ni muda wa kupambanana sanaa

    Dr. Gwajima najua wewe ni waziri mchapa kazi. Kwa maendeleo ya jamii yetu na kuzuia tamaduni za magharibi kwetu ningependa kukushauri mambo yafuatayo: Mosi, kufuta leseni za wasanii wote wanaotoa video za nusu utupu. Watoto wetu wengi wanaharibuka kwa hili 2 .Kama kweli hakuna siasa, litoke...
  11. Analogia Malenga

    Abbas Kinzasa; nyota iliyochomoza mchana wa jua kali

    Abbas Kinzasa ndilo jina halisi la Sindano Ndogo Inayoshona Makoti, lakini kutokana na kutotaka kujivimbisha kichwa akajiita asilimia ndogo ama asilimia ishirini kwa lugha ya Kimasai, mwite 20% Binafsi, nilimfahamu kupitia kipindi cha redio ya Maajabu ama iite Magic FM, kijulikanacho kama BAMIZA...
  12. Kidaya

    SoC04 Mikopo kwa wanamichezo ili kuinua sekta ya michezo, sanaa na utamaduni

    Michezo, Sanaa na utamaduni ni ajira, burudani, biashara na utambulisho wa Taifa. Sekta ya michezo, sanaa na utamaduni ni sekta muhimu kiuchumi katika nchi zilizoendelea kwa mfano nchini Uingereza, sekta ya michezo inakadiriwa kuchangia kiasi cha Tsh. trilioni 110.9 kwa mwaka kwenye pato la...
  13. Sidebin06

    SoC04 Wasanii na waburudishaji watahitaji kuwa wabunifu zaidi na kubadilika ili kukidhi mahitaji na matarajio ya hadhira inayobadilika

    UTANGULIZI Kwa hakika, tasnia ya sanaa na burudani inakabiliwa na mabadiliko makubwa katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo. Mabadiliko haya yatachochewa na maendeleo katika teknolojia, mabadiliko ya kijamii, na mienendo ya kiuchumi. Hapa chini ni muhtasari wa mabadiliko hayo: Teknolojia na...
  14. Sauti Moja Festival

    SoC04 Changamoto ya kuheshimu haki za binadamu na jinsi filamu, muziki, na sanaa zinavyoweza kusaidia kufikia Tanzania bora

    Kuheshimu haki za binadamu ni mojawapo ya changamoto kubwa zinazokabili jamii nyingi duniani, na Tanzania haiko nyuma katika hili. Kwa muda mrefu, kumekuwa na matatizo ya ukiukwaji wa haki za binadamu, kama vile ukandamizaji wa uhuru wa kujieleza, ubaguzi wa kijinsia, na ukosefu wa usawa wa...
  15. BARD AI

    Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo yaomba Bajeti ya Tsh. Bilioni 258 kwa mwaka 2024/25

    Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imewasilisha Bungeni maombi ya Bajeti ya Tsh. 285,318,387,000 kwaajili ya matumizi ya Wizara na Taasisi zake kwa Mwaka wa Fedha 2024/25 Kati ya fedha zilizoombwa, Tsh. 11,280,116,000 zitatumia kulipa Mishahara ya Watumishi na Tsh. 15,847,483,000 ni kwaajili...
  16. Kaka yake shetani

    Jibu la Aga Khan kipindi cha Rais Kikwete. Elimu kubwa ambayo ni fumbo sana

    Kipindi cha uongozi wa Rais Kikwete tulibahatika kupata ujio wa bwana Aga khan na familia yake kama ilivyo utaratibu wao wakutembelea nchi kwa nchi. Kutokana na michango mingi ya Aga Khan kama hospital,benki na n.k inamfanya kuwa mtu mwenye ngazi kubwa ya kuangaliwa na nchi nyingi kwa viongozi...
  17. OCCID Dominik

    Kwanini filamu za bongo hazina mvuto kama miaka ya nyuma wakati wa Kanumba?

    Wakuu hongera kwa wikiendi ya leo glories and praise to the LORD: Wakuu kuna jambo linanitatiza kitambo kidogo na sijawahi kuona kama limewahiletwa mezani kujadiliwa,ama mara nyingi mitaani ndio utasikia swala hili na kila mmoja analizungumzia ila chanzo haswa hakijulikani. Wakuu ni kwann...
  18. J

    SoC04 Mabadiliko kwenye nyanja ya Siasa Elimu kwa wananchi

    Tanzaniani tuitakayo ya miaka 5 hadi 25 ni ile ambayo kwanza tukubali kuanda kizazi Bora kutoka chini ambacho kitakuwa kimeandaliwa katika Mfumo mzuri wa elimu, Siasa , uzalendo, na teknoljia ambayo itaendana mahitaji ya Dunia ya sasa kivipi? Katika Mfumo wa elimu tunahitaji kuona mabadiliko...
  19. Salahan

    Sheria inasemaje juu ya wanaume kuvaa mavazi ya kike hasa kwenye sanaa

    Kuna sanaa za maigizo tunaziona huko mitandao ya kijamii wanaume wakivaa mavazi ya kike nakuigiza uhusika wa wanawake. Hili limezidi kuenea na sasa kuhamia upande wa television now tunawaona mbele ya familia zetu mbele ya watoto wetu tena huko kwenye tv kimeniuma zaidi. Kuna joti kiboga wa...
  20. R

    SoC04 Uwekezaji kwenye sanaa na michezo kupunguza wimbi la tatizo la ajira

    Sanaa kwa kiasi kikubwa katika ukanda wetu wa bala la Africa kwa kiasi kikubwa imeanza kuwa sekta rasmi ambayo kama itawekewa mkazo kwa kiasi kikubwa sana inaweza kutoa ajira kwa watu wengi sana kwani cheni ya ajira kwenye sanaa ni kubwa sana kuanzia kwenye chimbuko ambalo ni kipaji cha mtu...
Back
Top Bottom