Habarini za Usiku,
Mvua zinazo shambulia Jiji la DSM linashambulia mitaa mbali mbali ya jiji, leo nilipita mitaa ya MIKOCHENI kwa WARIOBA nilichokishuhudia pale leo ni wazi serikali inapaswa ichukue jambo
Leo kwa warioba kuna bajaji ilisombwa na maji kutoka barabarani ikapelekwa ng'ambo ya...
Spika wa Bunge Ndugu Job Ndugai amesikika akisema kuwa kwa sasa anataka bunge lipewe nafasi zaidi ya kusikika na anataka wabunge wajitahidi kuwa wasemaji, wasiwe mabubu wasijipendekeze. Hii ina maana ana mashaka na wabunge wake upande huo.
Uchambuzi wa haraka unaonesha kuwa itakuwa ngumu sana...
Leo nimemuona Askofu fulani anasema hawezi kuhubiri mpaka wanakwaya waimbe, pia kikundi cha sifa na kuabudu kiimbe nyimbo za kutosha na nzuri. Pia, muimbishaji yule mwenye uwezo mkubwa afanye huduma hiyo.
Nimejaribu kuangalia siasa za CCM ambapo nyimbo za wasanii zinaimbwa nyingi zikieleza...
WASEMAJE?
What Do You Say?
OPEN CALL | ART EXHIBITION
ABOUT THE EXHIBITION
Wasemaje Art Exhibition seeks to provide a platform for artists to freely express what is currently on their mind through art, and for the public to engage with artistic interpretations of the experiences of...
Nimefuatilia siasa za Tanzania kwa muda mrefu, nimefuatilia haiba, mienendo ya kisiasa ya watu mbalimbali maarufu nchini. Miongoni mwa hao, nimefuatilia namna ambavyo raisi Magufuli hufanya siasa zake. Ufuatao ni uchambuzi wa mbinu na tekniki amazo raisi Magufuli hutumia ili kufikia malengo...
Katika miaka hii mitano ya Serikali ya Awamu ya Tano kazi kubwa imefanyika. Sisi kama Serikali tumetimiza wajibu wetu, tunaiona nchi yetu inaendelea kupata maendeleo kwa kasi
Serikali hii imehamasisha sana watu kulipa kodi na sio kulipa kodi tu bali waione thamani ya kodi wanazolipa...
Serikali ya Tanzania imesema, itawaajiri walimu wa masomo ya sanaa pale idadi ya walimu wa sayansi, hisabati, kilimo, biashara, elimu maalum na mafundi sanifu wa maabara za shule za sekondari itakaporidhisha.
Serikali imetoa majibu hayo leo jumatatu tarehe 8 juni 2020 wakati ikijibu swali la...
Sanaa zetu zinatakiwa ziwe chini ya wizara ya mambo ya nje na kuweza kutangazwa na kuleta pesa za kigeni. Vilevile kuwaletea vipato wasanii wetu.
Kwa sasa wizara waliyopo wamekuwa kama viranja tu wa kukosoa na kupiga faini bila kusaidia kuwaongezea vipato wasanii.
Wasanii wetu na sanaa kwa...
Uharamia (piracy) sio jambo jipya katika sanaa nchini, lilichangia kuanguka kwa BONGO MOVIE hasa baada ya mapato kupungua leo wasanii wamebaki kulaumu foreign films, TV shows and series wakati ukweli wanaujua dhahiri.
Now jinamizi hili limeshika hatamu katika upande wa Bongo fleva, tangu...
Huyu jamaa alikuwa ni bonge sio sana sema ana mwili wa kibabe fulani.Alitamba sana miaka ya 2000s
Nakumbuka alishawahi kuwa ngoma inazungumzia kuwa anawapenda mademu wasiopenda chapaa na kitu kinachonifanya niikumbuke ile video ndani kulikuwa na muigiza wa kike enzi hizo:Sandra
Sasa ningependa...
Nimefatilia kwa undani mikiki anayopitia Konde Boy toka ajiengue WCB. Kiukweli hajashuka Kama tunavyolazimishwa tuamini. Kwanza official songs katoa UNO na KUSHOTO KULIA na zote zimefanya vyema you tube. Hainshtui na Hujanikomoa ni bonus track wakati anajiandaa kuachia album yake...
Utafiti juu ya zana za mawasiliano ya watoto uliofanywa na R.G.Hopkins na J.K.Green pamoja na mwanasaikolojia John Bowlby unaonyesha kuwa mzazi anapaswa kusikiliza kilio cha mtoto wake ili kubaini mahitaji ya mtoto huyo. Kusikiliza kilio cha watoto siyo tu wajibu kwa wazazi bali pia ni sanaa...
Wageni waalikwa wameshaingia ukumbini wakiongozwa na mgeni rasmi Waziri mkuu Kassimu Majaliwa. Mhe. Kassim.
Majaliwa anamuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli katika kongamano la Sanaa la Mwalimu Nyerere linalofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa anamuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli katika kongamano la Sanaa la Mwalimu Nyerere linalofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini...
Roma Mkatoliki amerudi upya jamani.
Ametoa wimbo mpya unaitwa "Anaitwa Roma".
Ni Roma yule tuliyemzoea enzi za Mrisho akitamba na vibao vyake matata. Je Basata watauacha huu wimbo? Utafute mapema kabla hawajauchukulia hatua.
Katika wimbo huo mimi nimependa mstari fulani hivi unasema;
"Kwetu...
Mdogo Wangu Ally Kiba acha uzazwa, umoja ni nguvu. Wizkid na mafanikio yote yuko humble na ameweza kuonesha upendo kwa kuimba na Diamond Platnumz lakini wewe unajiona mkubwa kuliko Wizkid. Kaka jishushe ili Mungu akupandishe
Vijana wanataka pepo wanaogopa kufa bhana. Nimefika Baa moja nikaagiza supu na katonic kangu pemben kuna meza kama tayu zimezungukwa na vijana wakila raha na aina mbalimbalu za bia.
Hahahaa haikuchukua muda defender ikapita barabarani. Meza zikakimbiwaaa mabinti waliokuja nao maaskini wamelamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.