sanamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chatgpt kuhusu ibada ya sanamu

    Ndiyo, ibada ya sanamu imekatazwa katika Biblia. Hii ni kwa sababu Mungu anataka kuwaabudiwe peke yake, bila ya kuwepo kwa kitu chochote kingine kinachochukuliwa kama kitu cha kuabudiwa. Kwa mfano, katika Amri kumi (Kutoka 20:4-5), Mungu alisema: "Usijifanyie sanamu yoyote wala picha ya kitu...
  2. Sanamu la Rais wa zamani wa Ghana Akufo Addo labomolewa, majigambo na kujitukuza zatajwa kama sababu

    Wakuu, Huko nchini Ghana sanamu ya kumbukumbu ya Rais wa zamani wa Ghana, Nana Akufo-Addo, iliyojengwa mwishoni mwa mwaka jana, imeangushwa. Wakati Akufo-Addo akizindua sanamu hilo Januari (11) katika Mkoa wa Magharibi alikumbana na mapokezi mabaya sana kwenye mitandao ya kijamii, huku wengine...
  3. Jana nimekwenda Posta Kuu jijini London kupeleka sanamu ya Kanisani, nimefukuzwa kwa ajili ya tabia yangu mbaya

    Nimeambiwa unafokafoka hapa, unadhani we nani, ondoka hapa. Nimekwenda pale jana ikapimwa uziti Ile sanamu nikaambiwa nilipe Sh.100,000( laki moja). Sina laki moja, nikaanza kuondoka. Nikaambiwa nenda counter ya mbele, itakuwa cheaper but it will take two weeks to arrive in London. Ikapimwa...
  4. Mliosomea Cuba Hii sanamu ya Mwl. Nyerere iliyozinduliwa huko Cuba inafanana na Mwalimu kweli?

    Uzinduzi huo ulifanyika Novemba 8, 2024 ukishuhudiwa na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro ambaye amemwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Naibu Waziri, Wizara ya Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Cuba, Anayansi Camejo na baadhi ya viongozi wengine kutoka mataifa yote...
  5. Waarabu na wazungu waliondoa dini zetu za asili ili tuabudu Nyota/Mwezi na Sanamu za bikra maria

    Nimeona hii picha imenisikitisha
  6. L

    Wakosoaji wa Sanamu ya Mwalimu Nyerere washukiwa kama mwewe na kupewa onyo

    hii hapa chini ndio Sanamu inayokosolewa👎
  7. Aibu ya Taifa:Watanzania milioni 60 hakuna anayeweza kuchonga sanamu

    Ukienda Italy,Belgium,France ,Spain na nchi nyingi za ulaya utastaajabu na wasanii wa tasnia ya kuchonga masanamu walivyo mahiri. Wanaweza kuchonga jiwe gumu mpaka ikatokea taswira ya mtu wanae mtaka au kiumbe chochote. Kwenye round about,makumbusho nje ta viwanja vya mpira na park kumejaa...
  8. L

    Huu ndio muonekano mpya wa Sanamu ya Mwalimu Nyerere baada ya kukarabatiwa

  9. L

    Hivi ndivyo David Kafulila alivyotua mbele ya sanamu la Mwalimu Nyerere New Delhi nchini India

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa David Kafulila Chuma cha Reli ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa PPP, ametua mbele ya Sanamu ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Katika ubalozi wetu wa Tanzania Nchini India . Ambapo Mzalendo huyu mwenye maadili na aliyenyooka kama rula. Na ambaye amekuwa...
  10. Sanamu ya Baba wa Taifa yavunjwa na kuharibiwa Tabora, msako waanza.

    Katika Hali isiyo ya kawaida watu wasiofahamika wameivunja na kuharibu sanamu ya Baba wa Taifa mwalimu Nyerere iliyopo katika kituo cha wanafunzi " student center" eneo la nje . Serikali imesema tayari vyombo vya Dola vimeingia mtani kuwasaka wahusika wa tukio hilo na nia Yao.
  11. L

    Sanamu La Mwalimu Nyerere Laanguka Na Kuvunjika Mkoani Tabora.Watu Washikwa na Taharuki na kusikitika Sana

    Ndugu zangu Watanzania,
  12. U

    Ndugu zangu Wasabato, hizi sanamu za kazi gani?

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Niwatakie Usiku mwema "Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia" Kutoka 20:4
  13. W

    Sanamu za washindi za Olympics Kenya ni aibu

    Mamlaka zimeondoa sanamu za wanariadha watatu wa Olimpiki kufuatia malalamiko ya wananchi kuwa ni dhihaka, 15 Agosti 2024. Sanamu hizo, ziliwakilisha wanariadha maarufu Faith Kipyegon na Eliud Kipchoge, walioshinda katika Mashindano ya Olympiki huko Ufaransa Mji wa Eldoret, unajulikana kama...
  14. List ya sanamu ndefu zaidi hapa duniani

    Orodha hii ya sanamu ndefu zaidi inajumuisha sanamu zilizokamilishwa ambazo zina urefu wa angalau 100 m. urefu katika orodha hii hupimwa hadi sehemu ya juu zaidi ya kielelezo cha binadamu (au mnyama), lakini haijumuishi urefu wa msingi wowote (plinth), au jukwaa lingine la msingi pamoja na...
  15. M

    Shirikisho la soka nchini Senegal limezindua sanamu kumuenzi mwanasoka wa taifa hilo Sadio Mane, mjini Bambali alikozaliwa!

    Mambo ndo kama hayo mnavyoona ndugu watazamaji
  16. Tetesi: Sanamu ya Mnara wa Askari (Askari Monument) yaondolewa kupisha ujenzi wa Barabara

    Kuna taarifa nimeona mtandaoni kuwa Sanamu maarufu katika jiji la Dar es Salaam, Askari Monument imeondolewa katika eneo lake kwa lengo kupisha ujenzi wa Barabara za Mwendokasi. Kama ni kweli, natumai itarudishwa na si kuondolewa moja kwa moja maana ni alama muhimu za jiji. UPDATE: TANROADS...
  17. U

    Madai ya Nabii Elen G. White alifundisha kuwa kupiga picha ni aina ya Ibada ya sanamu yana ukweli kimaandiko?

    Madai ya Nabii Elen G. White alifundisha kuwa kupiga picha ni aina ya Ibada ya sanamu yana ukweli kimaandiko? Wadau hamjamboni nyote? Leo tena nimekuja na nukuu ya kiswahili na kiingereza ya Nabii mke wa Kanisa la Waadventista Wasabato Elen G. White inayoashiria kuwa "kupiga picha ni ibada...
  18. Dini yetu ndiyo ya kwanza, Tunaheshimu Sanamu-hatu-abudu sanamu!

    Amri ya Pili katika Amri Kumi: Kutoka 20:4-5: "Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia. Usivisujudie wala kuvihudumia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu." Kukemea...
  19. Historia ya Sanamu ya Askari (Askari Monument) iliyopo Posta, Dar es Salaam

    Sanamu ya Askari au Askari Monument ni sanamu iliyopo kwenye kitovu cha jiji la Dar es salaam kwenye mahali ambapo mitaa ya Samora na Azikiwe (zamani: Maktaba) zinakutana. Sanamu inamwonesha Askari Mwafrika katika sare ya Kijeshi, Jeshi la King's African Rifles la wakati wa Vita Kuu ya Kwanza ya...
  20. Jumuiya ya wazazi CCM Kinondoni ni mfano wa kuigwa

    JUMUIYA YA WAZAZI WILAYA YA KINONDONI NI MFANO WA KUIGWA, MR UK -PROFIL MASAWE KATIKA SIASA KAZI MAARIFA. Na Comrade Ally Maftah Nikiwa kama mpenzi na mkereketwa wa Chama cha Mapinduzi, Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, mpenzi wa Jumuiya ya Wazazi na Mjumbe wa Mkutano Mkuu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…