sanamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Sifurahishwi na Wachina kujenga sanamu ya baba wa Taifa

    JF Nimeona tangazo la Mh.Waziri kuhusiana na Sanamu ya baba wa Taifa ambayo wamesema watajitolea kugharamia na ambayo itawekwa Makumbusho ya Taifa. Najiuliza kwa sauti kubwa sana 1. Hivi nchi yetu haiwezi kugharamia hili? how much? 2. Ile ni Sanamu nyeti mno na ni nembo kwa Taifa letu...
  2. Pfizer

    'Balozi' ataka Rais Samia atengenezewe sanamu

    Muktasari: Balozi wa utalii ataka Rais Samia atengenezewe sanamu kama kumbukumbu ya kuwa Rais mwanamke wa kwanza na aliyejitoa kwa dhati kuipambania sekta hiyo kwa kushiriki kutangaza utalii wa nchi. Dar es Salaam. Wakati sekta ya utalii ikiendelea kuimarika na kuvutia idadi kubwa ya watalii...
  3. Lycaon pictus

    Je, kusimama wima wakati wa kushusha na kupandisha bendera ni ibada ya sanamu?

    Eti wakuu, kulingana na mafundisho ya dini, kusimama wima wakati wa kushusha na kupandisha bendera ni ibada ya sanamu?
  4. Papaa Mobimba

    Tarime, Mara: Mmiliki wa mabasi ya Zacharia awapiga risasi maafisa wa Usalama wa Taifa, ashikiliwa na Polisi

    Mmiliki wa Mabasi ya Zacharia, Peter Zacharia anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuwapiga risasi maafisa wa Idara ya Usalama wa Taifa wakiwa katika kutimiza majukumu yao. Habari zaidi nitaweka hapa. ---- Tarime/Musoma. Taarifa za kutoweka kwa Mfanyabiashara maarufu na kada wa CCM...
  5. NostradamusEstrademe

    Natamani kiongozi wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani ajengewe sanamu

    Naandika haya nikijinasibu kutokuegemea kwenye dini yeyote au zozote zilizo katika dunia yetu hii pendwa ndogo sana inayoitwa Earth.Nimesema dunia yetu ni ndogo sana maana ni kama punje tu dhidi ya sayari zingine zilizo angani kama Jupiter.Dunia ni kama punje ya mtama dhidi ya mpira wa basket...
  6. Lycaon pictus

    Msaada tutani wakuu. Zile sanamu za kufukuzia ndege mashambani zinaitwaje?

    Kwa kiingereza wanaita Scarecrow. Kiswahili zinaitwaje.
  7. EINSTEIN112

    Rais wa Ukraine anafikiria kubomoa Sanamu ya Catherine II aliyekuwa Malkia wa Odesa na kujenga sanamu la kumuenzi Shoga wa Marekani

    Rais wa Ukraine Volodonyr Zelensky anafikiria kuvunja sanamu la Malkia wa zamani wa Dola la Urusi anayejulikana kama Catherine Mkuu au Catherine II huko katika jiji la Odessa. Badala ya sanamu hilo Zelensky atajenga sanamu lingine la muigizaji wa sinema za utupu (porn star) ambaye ni shoga wa...
  8. frankkilulya

    Kwanini sanamu ya askari iliyopo Posta jijini Dar imeelekea baharini?

    Wadau naomba kujua kwanini sanamu ya askari pale posta inaelekea baharini na je inamaanisha nini?
  9. sonofobia

    Ni wakati sasa wa kujenga sanamu la Magufuli. Tukubaliane kama nchi tulijenge wapi?

    Kwa kuwa Magufuli ameacha alama baada ya kifo chake na Africa inaendelea kumuenzi kwa namna alivyotutoa kimasomaso. Watanzania wengi wameomba lijengwe sanamu la Magufuli iwe kama alama ya kumbukumbu ya kihistoria kwa Africa, ili watu kutoka mataifa mbalimbali duniani waje kumuenzi na kupiga...
  10. L

    Vijana wa kujitolea kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing wanatengeneza sanamu ya mtu wa theluji

    Vijana wa kujitolea kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing wanatengeneza sanamu ya mtu wa theluji.
  11. Miss Zomboko

    The African Renaissance: Sanamu refu zaidi barani Afrika

    Sanamu linapatikana Nchini Senegal lenye urefu wa Mita 49 ilitengenezwa Korea Kaskazini. Linajulikana kama ‘The African Renaissance’ ambapo lilizinduliwa Aprili 2010 na aliyekuwa Rais kwa wakati huo, Abdoulaye Wade Sanamu hii kubwa ya shaba iliyopo Dakar ilikusudiwa kuashiria ushindi wa...
  12. Meneja Wa Makampuni

    Job Ndugai ajengewe sanamu ni shujaa ile hotuba ni kiboko

    Job Ndugai ajengewe sanamu ni shujaa ile hotuba ni kiboko. Nilichogundua kwenye ile hotuba ni kwamba Ndugai alikuwa amejiandaa kwamba liwalo na liwe. Alikuwa ameamua kutoa yake ya moyoni. Amezungumza ukweli, na umemweka huru.
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    Sanamu ya Amani iliyowekwa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa ina maana gani? Je, inauhusiano gani na utabiri wa siku za mwisho?

    Ufunuo 13:2 BHN Mnyama huyo niliyemwona alikuwa kama chui; miguu yake kama ya dubu na kinywa chake kama cha simba. Lile joka likampa huyo mnyama nguvu yake, kiti chake cha enzi na uwezo mkuu DANIELI 7 Wanyama wanne wakubwa 1Mnamo mwaka wa kwanza wa utawala wa mfalme Belshaza wa Babuloni...
  14. Camilo Cienfuegos

    Arusha: Wakuu wa Shule ambao Shule zao zimefanya vibaya kitaifa wapewa vinyago vya sokwe

    Kama kuna kada inajua kudharauliwa basi ni ualimu. Wakuu wa Shule katika halmashauri ya Arusha Dc wamepewa vinyago vya nyani ili kuongeza kiwango cha ufaulu baada ya shule zao kufanya vibaya katika mitihani ya kitaifa ya kidato cha 2, cha 4 na cha 6 mwaka jana. Hii imekaaje kitaalamu?
  15. luangalila

    Moshi Mjini: Sanamu ya askari pale YMCA ni alama ya Historia gani?

    Wadau habarin Kwa mliowahi kuishi Moshi najua huwa mnafahamu pale round about ya YMCA ina sanamu kubwa ya Askari aliye shika silaha, kwa kipindi nilicho ishi moshi pale sikuwahi kueikia historia yenye kuelezea ile sanamu pale Je, iliwekwa kama urembo au ina maana yake kama ilivyo kwa ile...
  16. mshale21

    Manchester City imezindua sanamu za Vincent Kompany na David Silva Etihad stadium

    Klabu ya Manchester City imezindua sanamu za wachezaji wao wa zamani Vincent Kompany na David Silva kwenye uwanja wao wa Etihad kuelekea mchezo dhidi ya Arsenal leo. Sanamu la tatu la Sergio Aguero linatarajiwa kukamilika mwakani.
  17. Roving Journalist

    Jerry Silaa: Wabunge tuanze kukatwa kodi kwenye Mishahara yetu

    Mbunge wa Ukonga Jerry Slaa, amesema imefikia hatua Wabunge waanze kulipa kodi kupitia mishahara yao ili wapate uwezo wa kuwaambia Wananchi na wao walipe kodi. Silaa ameyasema hayo katika mkutano wa hadhara uliowashirikisha wananchi wa Mzinga Ukonga jijini Dar es Salaam wakati akizungumzia...
  18. Shujaa Mwendazake

    Naibu Waziri wa Viwanda: Milioni 420 ni kwa ajili ya ukarabati wa Jengo la Madini, siyo ujenzi wa Sanamu ya Hayati Dkt Magufuli

    "Milioni 420 ni kwa ajili ya ukarabati wa Jengo la Madini katika maonesho ya Sabasaba, wenzetu wakaomba tuliite Magufuli na tukafikiria kwanini isiwepo sanamu?" "Katika majadiliano hayo ndipo wanahabari wakachukua, 'Serikali kujenga sanamu kwa milioni 420" ---- Naibu Waziri Exhaud Kigahe Pia...
  19. chiembe

    Viwanja vya maonyesho ya biashara sabasaba vya Mwalimu Nyerere, visiwekewe sanamu la Magufuli, ni kuchanganya Magufuli na Nyerere

    Viwanja vinaitwa vya mwalimu Nyerere, kwa nini unaweka sanamu Magufuli. Magufuli atafutiwe viwanja vingine huko Nanenane Mbeya au Dodoma. Hivyo viwanja vya sabasaba vibaki kwa jina la Kambarage. Viwanja hivyo ni vya wafanyabiashara, hawa watu wameumizwa sana na Magufuli , sanamu hili kuwekwa...
  20. J

    Waziri Ummy: Masoko na Stendi zote zinazomilikiwa na TAMISEMI kujengewa Visima vya Maji ili kukabiliana na moto

    Waziri wa TAMISEMI, Mhe. Ummy Mwalimu amesema Serikali itajenga visima vya maji kwenye masoko na stendi za mabasi zote zinazomilikiwa na Halmashauri ili kukabiliana na majanga ya moto pindi yanapojitokeza. Chanzo: Radio One
Back
Top Bottom