Habari wadau!
Binafsi naomba niwe tofauti kuhusu suala la Magufuli kujengewa sanamu pale sabasaba.
Magufuli sasa hayupo hivyo hakuna wa kumsemea leo nimejaribu kuvaa viatu vyake ,naamini kama angekuwa hai hasingeafiki swala hili ingewataka wale waliotenga pesa za sanamu wazielekeze kwenye...
Baada ya kifo cha Mandela, Serikali iliiamua kujenga mnara wake huko Pretoria kama moja ya kumuenzi.
Lakini sanamu hii ukiangalia kwa umakini kichwani utaona kwenye sikio ndani kuna sungura.
Je, maana ya sungura kuwa ndani ya sikio ni nini?
==
“Siamini sana Kama ujenzi wa Sanamu ni ishara tosha ya kumkumbuka hayati, Bali ingejengwa shule au taasisi ya kurahisisha Huduma za kijamii ikaitwa jina la anayetaka kukumbukwa na si sanamu “ Professor Sospeter Muhongo.
Chanzo: Tanzania Abroad TV
Kama kuna Profesa ambaye nina uhakika Uprofesa...
Mbunge wa Musoma vijijini, Prof Muhongo amesema siyo kumbukumbu nzuri kumtengenezea sanamu marehemu au hayati na badala yake ni kheri fedha hizo zikatumike kujenga taasisi ya kuhudumia jamii kwa ajili ya kumbukumbu ya huyo anayetakiwa kukumbukwa.
Chanzo: Tanzania Abroad tv
Mungu ibariki Afrika.
Heshima kwenu ndugu zangu katika Jamii forum, washiriki katika Jamii forum page Facebook, Telegram na search engine zote zenye unapata kuunganishwa na nyuzi zote makini kutoka JF.
Kwanza kabisa napenda kuupongeza uongozi wa JF kwa kuleta mabadiliko na elimu pana...
Nimeshtushwa Sana na Tangazo la kuwa kuna ujenzi wa sanamu ya Magufuli Uwanja Wa Maonesho ya Sabasaba kwa Gharama ya Tsh. milioni 420.
Sikatai ila nina hoja:
Kwanini Magufuli?
Mwinyi je?
Mkapa je?
Kikwete je?
Hao Wote Walikuwa ni MARAIS wa NCHI na Kuna MAMBO MAKUBWA hata NAO WALIIFANYIA NCHI...
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imesaini hati ya makubaliano ya jumla ya shilingi milioni 420 ya ujenzi wa sanamu la Hayati John Pombe Magafuli, na ukarabati wa kumbi kubwa za kisasa kwenye maonyesho ya sabasaba ya 45.
Mkurugenzi wa TanTrade Rutageruka Sabi amesema kuwa...
Asubuhi tulivu nikiwasalimu nyote.
Ningependa kusema kuna watu wanastaili kabisa kupewa ulinzi maana wanafanya mambo ya kupendeza sana au nasema uongo ndugu zangu .naanza kama hivi.
1. Wale mademu ambao wanakula na kupendeza kwa hela zao (Hawapigi vibomu vya kijinga mpaka uwape mwenyewe )
2...
Leo Jumanne, tarehe 30 Machi, 2021, Mbunge wa Jimbo la Mlimba mkoani Morogoro, Godwin Kunambi ametoa mapendekezo ya kujenga monument ya kuenzi kazi iliyofanywa na rais Magufuli.
Akichangia hoja Bungeni, Kunambi amesema:
Kazi kubwa ambayo mimi naomba nishauri Bunge letu tukufu ni... amefanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.