sanamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    Nebukadneza: Mbabe wa vita, muabudu sanamu aliyekula majani kama ng’ombe (part 2)

    Kama nilivyowahaidi kuwa itaendelea, kwa wale mlioanza na sehemu hii 👉🏽 Nebukadneza: Mbabe wa vita, muabudu sanamu aliyekula majani kama ng’ombe Basi inaendelea kama ifuatavyo; Baada ya Mfalme Sedekia kuuawa, sasa Yehoyakimi akachukua nafasi hiyo ya kuiongoza Yuda (Israel). Hapa kuna kitu...
  2. Mhaya

    Nebukadneza: Mbabe wa vita, muabudu sanamu aliyekula majani kama ng’ombe

    Kabla sijakuandikia stori ya huyu mwamba wa Babeli katika nchi ya Babiloni, ngoja nijaribu na mimi kujiuliza maswali kadhaa. Watu wanasema wale Waisrael wa zamani sio wa sasa hivi, hao wa zamani walikwenda wapi? Wakati wa nyakati za mwisho tunaambiwa kwamba Waisrael wote duniani watarudi nchini...
  3. LIKUD

    Ukweli mchungu: Asilimia kubwa ya Wakristu na Waislamu duniani wanafanya ibada ya sanamu bila kujua kama wanafanya ibada ya sanamu

    Hata wewe msabato unae waponda wakatoliki, kwa mantiki ya uzi huu, wewe pia unafanya ibada ya sanamu. Kwani ibada ya sanamu nini? Umewahi kusikia mashabiki wa mpira wanasema " kwenye timu hii golini kuna sanamu?" Je unadhani maana yake huwaga ni nini? Maana yake ni kwamba kwenye timu hiyo...
  4. Mohamed Said

    Sanamu ya Abraham Lincoln Washington DC na Sanamu ya Julius Nyerere Dodoma

    SANAMU YA ABRAHAM LINCOLN, LINCOLN MEMORIAL WASHINGTON DC NA SANAMU YA JULIUS NYERERE DODOMA Abraham Lincoln sijapatapo kumuona hata siku moja ila katika picha. Lakini huwezi kuniwekea sanamu isiyo yeye nikashindwa kutambua kuwa huyo siye sembuse Mwalimu Julius Nyerere ambae nimemuona maisha...
  5. TUKANA UONE

    Nimepata Kibali rasmi cha Kumjengea sanamu ya ukumbusho Aden Rage

    Najua Wenye vijicho,Visebengo,Visebusebu,Viherehere na Visununu mtavuta sana midomo na kusonya sana kwa hatua hii adhimu ambayo nimekuwa nikiiomba na kuipigania kwa muda mrefu! Huyu mzee wetu alifanya kazi kubwa mno na iliyotukuka, huyu mzee atakumbukwa kwa mengi mazuri ikiwemo kutuheshimisha...
  6. Huihui2

    Sanamu ya Nyerere kutofanana; Je sanamu ya Christiano Ronaldo inafanana na mwenyewe

    Tafadhali MODS isichanganye uzi huu na hizo nyingine. Sanaa ya kuchonga kwa kutumia bronze yawezekana ina chngamoto zake. Wadau wamekosoa sana sanamu ya Julius Nyerere iliyozinduliwa jana pale Addis Ababa. Hapa nawaletea sanamu ya Cristiano Ronaldo iliyosimikwa mjini Madeira Portugal mahali...
  7. Erythrocyte

    Kuna kila dalili kwamba Mzimu wa Nyerere hautaki atengenezwe Sanamu

    Mimi si muumini wa mambo ya mila, hasa kuhusu wafu, lakini kwenye hili la Nyerere naanza kujitafakari sanamu la Kigwangwala na kundi lake na lile la Ethiopia, hayafanani na Nyerere hata wa kulumangia! Watengeneza Sanamu ya Nyerere wote waliojaribu wameshindwa kabisa kututengenezea sura yenye...
  8. Mjanja M1

    Picha: Sanamu ya Nyerere Makao Makuu Umoja wa Afrika, ni yeye au lah?

    Taswira ya Sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyowekwa kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa kwa ajili ya kutambua mchango wake katika masuala ya ukombozi Barani Afrika tarehe 18 Februari, 2024. Ikumbukwe kuwa katika uzinduzi wa hifadhi ya Burigi...
  9. Frank Wanjiru

    Mtu mmoja akamatwa baada ya kushambulia Kanisa Katoliki Zanzibar

    Mtu mmoja ambae jina lake halijafahamika amevamia Kanisa Katoliki, St. Joseph Cathedral huko Zanzibar leo asubuhi. Mtu huyo amefanya uharibifu mbalimbali ikiwemo kuvunja sanamu kanisani hapo leo asubuhi. === Zanzibar Mtu mmoja aliingia katika mazingira ya kanisa maarufu la minara miwili mjini...
  10. Mjanja M1

    Video: Sanamu la msanii Take off latengenezwa

    Limekuwa ni jambo la kawaida kuona watu maarufu wakijengewa masanamu yanayofana na mionekano yao. Baada ya Rapa Take off kuaga Dunia mwaka 2022, Mr Official ametuletea sanamu lenye kufanana na msanii huyo ambae aliuwawa kwenye shambulio la risasi huko Houston Texas nchi Marekani. ANGALIA VIDEO...
  11. Eli Cohen

    ISIS walijifanya kubomoa sanamu za kale kwamba ni ushetani ila kumbe walikuwa wakiziuza ili ku-fund ugaidi wao

    Baada ya isis kuvamia maeneo ya Iraq na Syria ambapo ndipo ilikuwa ngome ya ufalme wa Babylon walikutana na sanamu na vivutio vingi vilivyosalia vya kale. Wallijifanya kutengeneza propaganda videos wakiharibu sanamu na vivutio vya kale wakisema ni ushetani na shirki. Ila nyuma ya pazia jamaa...
  12. Championship

    Kuna watu wanampinga Mwamposa wakati nabii wao alikabwa mapangoni na wengine wanaabudu sanamu la bikira mwenye watoto watano

    Kweli duniani hamna jipya. Ukisoma komenti za watu unabakia kustaajabu sana. Watu wamelewa dini. Wanamponda Mwamposa huku wao wanaamini kwa nabii aliyekabwa na pepo akiwa mapangoni akilazimishwa asome ilihali hakuwa anajua kusoma. Wakaeneza imani yao kwa ncha ya upanga na mpaka sasa ukitaka...
  13. KING MIDAS

    Sanamu ya Franco Luambo Makiadi yazinduliwa jijini Kinshasa

    SANAMU YA LWAMBO YAZINDULIWA JIJINI KINSHASA Miaka 26 baada ya kifo chake mwanamuzi nguli wa Kongo Franco Luambo Makiadi, sanamu yake imezinduliwa usiku wa kuamkia leo jijini Kinshasa kwa heshima ya gwiji huyo wa muziki. Franco, ambaye anachukuliwa kuwa mwanamuziki bora zaidi Afrika kuwahi...
  14. M

    Rage ajengewe sanamu lake

    Katika hali ya kustaajabisha timu ya simba sc imewafanyia vipimo vya afya wachezaji wake wapya 9 baada ya kuingia nao mikataba kabisa na kuanza pre season huku nchini uturuki MASWALI 1. Wametumia sayansi au mbinu gani mpya duniani ya kusajili mchezaji akacheza hadi mechi na baada ya wiki...
  15. carnage21

    Taa za sanamu maarufu "kristo mkombozi" zazimwa saa moja kumsupport vinicius junior

    Hapo jana taa za Sanamu Maarufu la “Kristu Mkombozi”(christ the redeemer) lililopo Rio de Janeiro huko Brazil zilizimwa kwa Muda wa Saa Moja hapo Jana ili kuonesha Mshikamano wa Watu wa Brazil na Mchezaji Vinicius Jr aliyefanyiwa Vitendo vya Ubaguzi huko Spain. Pia wachezaji mbalimbali kama...
  16. N

    Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

    Huu ndio ukweli ambao Roman imeamua kuuachia katika kipindi hichi cha mfungo wa kwalezima And the LORD said to Moses, "Make a fiery serpent, and set it on a pole; and every one who is bitten, when he sees it, shall live." So Moses made a bronze serpent... Numbers 21:8-9 Recently we received an...
  17. T

    Ipo siku tutajenga sanamu ya Hayati Magufuli na kufungua Maktaba yake ili vizazi vijifunze Uzalendo

    Mungu wewe unachukua majabali una chukua wanaume ambao kweli jando lao halikuwa la ganzi. Wanaume wenye misuli ya Imani na uwezo wakuona kesho kwa Imani na matendo. Kwa Tanzania Ulitupa Hayati John Pombe Magufuli. Kijana alie zaliwa ktk ufukara ila ukampa kukikalia kiti cha Jamuhuri ya watu Wa...
  18. NALIA NGWENA

    Aliyesema mashabiki wa Simba ni mbumbumbu naomba ajengewe sanamu kubwa sana katikati ya Dar es Salaam

    Hakika alichozungumza huyu mtu alikuwa yupo sahihi kabisa hata Mimi naunga mkono hoja kwa ushahidi wangu niliouona kwa mashabiki wa simba. Ndiyo, siwezi kutengua kauli yangu yakuunga mkono hoja ya huyo aliyewaita mashabiki wa simba mbumbumbu hata hata nikipewa mil 5 za mamamara nne Kama...
  19. Webabu

    Sanamu la Yesu halijachoka kupigwa na radi

    Sanamu kubwa kuliko yote duniani ni lile la Yesu amani imshukie ambalo lipo juu ya mlima Corcovado pembezoni mwa jiji la Rio de janairo nchini Brazil. Sanamu hilo limo ndani ya mbuga ya Tijuca na ni ubunifu wa kanisa katoliki la nchini humu.Lina ukubwa wa karibu futi 100 kwenda juu.Likiwa juu...
  20. William Mshumbusi

    Ila TFF imeamua kupuuza kabisa Feitoto. Kuna ugumu gani kusema hoja alizoweka mezani Feitoto na kufafanua kisheria kwanini hazikuwa za Msingi?

    Ni Kama sakata limeamua kuishia gizani. Ilichokifanya Tff Ni kuwatisha mawakili wa feitoto wasiliongelee sakata Hilo kiundani na wao kuja kusema juu juu tu. Hapo hukumu imetoka kiujanja ujanja tu. Na ukweli haifurahishi. Uenda kweli Feitoto amekosea lkn Kuna ugumu gani kutupitisha kisheria...
Back
Top Bottom