Kwenda kuli shika hili Kaaba kuna tofauti na kuabudu sanamu?

Kwenda kuli shika hili Kaaba kuna tofauti na kuabudu sanamu?

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
9,869
Reaction score
11,484
Hakuna tofauti na kumuweka Brian Deacon makanisani 😁

Kwenda kuli shika hili Kaaba kuna tofauti na kuabudu sanamu?

20250325_192233.jpg
 
Hakuna tofauti na kumuweka Brian Deacon makanisani 😁

Kwenda kuli shika hili Kaaba kuna tofauti na kuabudu sanamu?

View attachment 3283036
Kwa akili yako hilo ni sanamu?

Kuna mtu ameenda kuliomba hilo jengo?

Unajua historia yake?

Au kwa kuwa mnaabudia picha ya muigizaji ndio mnataka na waislamu waonekane waabudu masanamu.

WEWE ENDELEA NA UPUMBAVU WAKO WA KUABUDIA BINADAMU MUIGIZAJI
 
Haya sasa mmeanza kukwaruzana wenye dini zenu...🤣
 
Dini zitafarakanisha watu, kwanini mtoa mada usisimamie unachoamini? Yaan amini unachoamini na acha kila mtu aamini kwenye Iman yake?
 
Hakuna tofauti na kumuweka Brian Deacon makanisani 😁

Kwenda kuli shika hili Kaaba kuna tofauti na kuabudu sanamu?

View attachment 3283036
What is Al-Kaaba?

Al-Kaaba, also called Baytullah (House of Allah), is the most sacred site in Islam. It is located in the center of Masjid al-Haram and is the Qibla (the direction Muslims face during prayer).

Why is it important in Hajj?

Command from Allah – Hajj rituals revolve around the Kaaba, including Tawaf (circumambulating it seven times).

1. Symbol of Unity – All Muslims, regardless of nationality or status, gather around the Kaaba in the same attire, showing equality and submission to Allah.

2. Following the Prophets – Prophet Ibrahim (Abraham) and his son Ismail (Ishmael) built the Kaaba by Allah’s command. Hajj rituals honor their dedication.


Is touching the Kaaba necessary during Hajj?

Touching the Kaaba’s walls or Black Stone (Hajar al-Aswad) is not obligatory but a recommended Sunnah. If a pilgrim cannot reach it due to crowds, they can simply wave or point towards the Black Stone.
 
Ukienda na dhana ya sanamu kibiblia ni kweli wanaabudu.
Screenshot_20250325-210227~2.png
 
Hakuna tofauti na kumuweka Brian Deacon makanisani 😁

Kwenda kuli shika hili Kaaba kuna tofauti na kuabudu sanamu?

View attachment 3283036
Hizi mada za kuponda imani ya watu wengine hazina faida yoyote ile! Hata wale wanaoshinda kutwa nzima kutusema Wakatoliki, waachane na hii tabia.

Mbona Wahindi wanamwabudu ng'ombe, lakini huwezi kutusikia Wakatoliki tukiwakashifu! Bado kuna wale wanaoabudu sanamu za Buddha! Lakini wote hao huwa tunawaheshimu!

Ila siyo Wasabato, Walokole na baadhi ya Waislam! Kutwa ni kulisakama tu Kanisa Katoliki.
 

Attachments

  • Screenshot_20250325-205739.png
    Screenshot_20250325-205739.png
    199.7 KB · Views: 33
Kumbe ni mchanga na kokoto na cement tu...Zege ila hizi dini bana 😀😀
Yaani makafiri yamepata hoja ya kuficha kumuabudu kwao muigizaji

Hauwezi ukajua alkaaba ni kitu gani Bila kusoma

Kaa na ushabiki wako

Maana unachoongea hukijui
 
Back
Top Bottom