Ilo jiwe lilitoka mbinguni sioKwa akili yako hilo ni sanamu?
Kuna mtu ameenda kuliomba hilo jengo?
Unajua historia yake?
Au kwa kuwa mnaabudia picha ya muigizaji ndio mnataka na waislamu waonekane waabudu masanamu.
WEWE ENDELEA NA UPUMBAVU WAKO WA KUABUDIA BINADAMU MUIGIZAJI
Kumbe mawe meusi ni dili kwa mwafrika?Hakuna tofauti na kumuweka Brian Deacon makanisani 😁
Kwenda kuli shika hili Kaaba kuna tofauti na kuabudu sanamu?
View attachment 3283036
Hujajibu swali, hivyo vigae alijenga Allah?Shida unatumia mfuniko wa shingo kutoa hoja badala ya kichwa
Hufahamu sheria ya uislamu, huko kushika alkahaba sio wajibu ni Sunnah. Hata kuashiria inatosha
Ila wewe kumweka Deacon kanisani na kwenye rozari ni wajibu
kwa akili tu ya kwendea chooni, yaani unafunga safari kutoka tz kwenda kushika hilo jiwe kama sio usukule ni nini au uzamwamwaKwa akili yako hilo ni sanamu?
Kuna mtu ameenda kuliomba hilo jengo?
Unajua historia yake?
Au kwa kuwa mnaabudia picha ya muigizaji ndio mnataka na waislamu waonekane waabudu masanamu.
WEWE ENDELEA NA UPUMBAVU WAKO WA KUABUDIA BINADAMU MUIGIZAJI
hamna akili mnaokwenda kushikishwa huo ukutaYaani makafiri yamepata hoja ya kuficha kumuabudu kwao muigizaji
Hauwezi ukajua alkaaba ni kitu gani Bila kusoma
Kaa na ushabiki wako
Maana unachoongea hukijui
😂😂😂😂Kumbe ni mchanga na kokoto na cement tu...Zege ila hizi dini bana 😀😀
Waja mnafika mbali sasa, 😂😂😂😂kwa akili tu ya kwendea chooni, yaani unafunga safari kutoka tz kwenda kushika hilo jiwe kama sio usukule ni nini au uzamwamwa
Wee kwenda huko, hilo si jengo la Cement na kokoto, Zege zito, watu wanasafiria had umbali, na wanavua nguo zao, na kuvaa za hapo.Yaani makafiri yamepata hoja ya kuficha kumuabudu kwao muigizaji
Hauwezi ukajua alkaaba ni kitu gani Bila kusoma
Kaa na ushabiki wako
Maana unachoongea hukijui
Na wanashikishwa kweli, wakiwa na mavazi maalumu.hamna akili mnaokwenda kushikishwa huo ukuta
Mara kumi ata awa wa msalaba lakini sio nyie Romani katoric Kusujudu mbele ya masanamu inasikititsha sana ata kujiongeza amtaki mumeng’ang’ania apo apo tu sijui mumenyweshwa kitu gani kusoma hamjui ata picha nayo !!!🙏 napita tuHizi mada za kuponda imani ya watu wengine hazina faida yoyote ile! Hata wale wanaoshinda kutwa nzima kutusema Wakatoliki, waachane na hii tabia.
Mbona Wahindi wanamwabudu ng'ombe, lakini huwezi kutusikia Wakatoliki tukiwakashifu! Bado kuna wale wanaoabudu sanamu za Buddha! Lakini wote hao huwa tunawaheshimu!
Ila siyo Wasabato, Walokole na baadhi ya Waislam! Kutwa ni kulisakama tu Kanisa Katoliki.
Hilo kahaba ndo tunaposali tunalielekea.ni takatifuHakuna tofauti na kumuweka Brian Deacon makanisani 😁
Kwenda kuli shika hili Kaaba kuna tofauti na kuabudu sanamu?
View attachment 3283036
Hajui hilo kahaba hata tunaposali tunalielekea. Ni kahaba kuu.Yaani makafiri yamepata hoja ya kuficha kumuabudu kwao muigizaji
Hauwezi ukajua alkaaba ni kitu gani Bila kusoma
Kaa na ushabiki wako
Maana unachoongea hukijui
Hapo sasa, 😂😂😂😂Nusu Uchi wanakaa
😂😂😂😂😂Nimeona na mwijaku akiliomba jiwe mama aendelee kutawala Hilo huwa linasikiliza mpaka uchawa🤣🤣🤣🤣