Mratibu wa Afya ya Kinywa na Meno Taifa kutoka Wizara ya Afya, Dk. Baraka Nzobo amesema kwa mwaka 2021, takriban wagonjwa 600 waligundulika kuwa na saratani za kinywa na meno.
Dk. Nzobo alibainisha hali hiyo Septemba 7, 2022, Mkoani Dar es Salaam katika mahojiano na Nipashe wakati wa Kongamano...