sare za chama misibani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Si uungwana kuvaa sare za CCM kwenye misiba

    Hii tabia inazuka na Sasa inakomaa na kukua Binafsi ni kukosa ustaarabu na utu Msiba ni mitihani ni kitu kinatakiwa kuunganisha watu wa itikadi zote na vyama vyote vya siasa Sio tabia ya kiungwana CCM kujivika sare za Chama kama mpo kwenye kampeni, hii tabia mnakera familia za wafiwa Mfano...
  2. JamiiForums Tanzania Enyi wanasiasa hasa CCM sare za chama msibani ni za nini

    Nimekuwa nikashangaa sana kuona sare za chama msibani zimetamalaki!! Lakini Leo Nimeshangaa zaidi kuona sare zimevaliwa na watu wazima kabisa!! Ni Hivi zamani nilikuwa nikiona sare za chama (CCM) msibani nilikuwa nadhani huenda marehemu alikuwa mwanachama (mwenzao) Cha ajabu Leo kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…