saudi arabia

  1. Saudi Arabia wapeleka balozi Jerusalem kwa mara ya kwanza

    Saudi Arabia imemteua balozi wake wa Jordan kuiwakilisha nchi hiyo nchini Palestina na awe na ofisi zake mjini Jerusalem ambayo ndio yatakuwa makao makuu ya serikali mpya ya Jamhuri ya Palestina. Hata hivyo uteuzi huo umepingwa na serikali ya Israel kwa madai kuwa hawataruhusu balozi huyo awe...
  2. D

    Saudi Arabia na EPL ugomvi zito

    Tangu ufunguzi wa usajili katika ligi mbalimbali duniani SAUDI ARABIA imeonekana ndio kinara katika kunyakua saini za wachezaji wakubwa ambao waLItegemewa na kuwa kivutio kikubwa kwenye EPL, miongoni wa wachezaji hao ni Christiano Ronaldo (Manchester United), Karim Benzema (Real Madrid), Ruben...
  3. Pep Guardiola: :Uwekezaji wa Saudi Arabia unaleta changamoto ngumu kwenye Soka la Ulaya"

    Kauli hiyo inafuatia Winga kutoka Algeria, Riyad Mahrez kujiunga na Al-Ahli ambapo Pep ameeleza kuwa uwekezaji wa Matajiri hao wa Mafuta unaolenga kujenga Ligi ya kipekee huko Uarabuni unaleta changamoto mpya na ngumu katika Soka la Ulaya. Pep amesema "Saudi Arabia imebadilisha soko, wakati...
  4. Rais Ruto wa Kenya amewakaribisha na kuwaahidi kuwapa wafanyakazi million moja Saudi Arabia, kinyume kabisa na Tanzania

    Licha ya maandamano yanayoendelea Kenya, Rais Ruto amewakaribisha Saudi Arabia wawekeze wapendavyo na amewataka waitumie fursa ya kufunguwa viwanda kwani Kenya ina mikataba ya misamaha ya kodi ya bidhaa zake nchi za Ulaya. Pia amewaahidi atawapa wafanyakazi million moja ndani ya muda mfupi...
  5. Cristiano Ronaldo: Ligi ya Saudi Arabia ni bora kuliko Ligi ya Marekani (MLS)

    Mshindi wa tuzo za Ballon D’or mara 5, Cristiano Ronaldo amekaririwa akisema Ligi Kuu ya Saudi ni bora kuliko ile ya Marekani (MLS). “Nina uhakika 100% sitarudi tena kuchezea klabu yoyote ya Ulaya kwani nina furaha huku. Mimi nilifungua njia ya kuja huku, na sasa wachezaji wengi wanakuja...
  6. Waarabu wanaendelea kumininika Tanzania na Miradi ya maendeleo. Sasa Saudi Arabia

    Wahenga walisema Dunia duara ukifikiri uta..." Tusijiumize roho sana kwa kijimradi cha ushirikiano wa maendeleo ya bandari na Dubai. Tutegemee makubwa zaidi ya uwekezaji kutoka kwa ma "Giants " wa uwekezaji duniani. Saudi Arabia, hivi karibuni. Mohamed bin Suleiman al maaruf MBS ni mwana wa...
  7. S

    Rais wa UEFA Ceferin atoa Onyo kinachoendea Saudi Arabia

    Rais wa UEFA Ceferin: "Usajili wanaoufanya SAUDIA ni makosa kwa soka la kwao. Wawekeze hizo pesa kwenye academy, walete makocha na waendeleze wachezaji wao wenyewe, kununua wachezaji wanaomalizia soka lao sio mfumo wa kuendeleza soka, kosa kama hilo walilifanya China.”
  8. Tetesi za Usajili: Lionel Messi kutua Saudi Arabia kwa Trilioni 1.5, Baba yake akanusha

    Awali ilidaiwa kuwa mchakato wa nyota huyo wa Paris Saint-Germain, Lionel Messi (35) kusaini mkataba wa Pauni Milioni 522 (Tsh. Trilioni 1.5) umekamilika na anaweza kujiunga na Klabu ya Al-Hilal kuanzia msimu ujao. Jorge ambaye pia ni Wakala wa Messi amedai hakuna mazungumzo yoyote kuhusu...
  9. Kama Saudi Arabia wanasherehekea Eid Ijumaa inakuwaje BAKWATA wadai mwezi haujaonekana?

    Kesho ijumaa kama Saud Arabia nchi ya mtume SAW hawatakula IDD basi JF wanipige ban ya masaa 24. Hizi dini ni za magumashi amkeni. Cc: Kiranga
  10. Saudi Arabia, Oman na nchi nyingine Eid kesho Mwezi wa Shawwal ulishaonekana

    Kada Abubakar Zuberi na tawi lake la CCM (BAKWATA) kama kawaida watatufungisha siku ya Eid.
  11. Saudi Arabia na Washirika wa OPEC+ wakubaliana kupunguza uzalishaji Mafuta ili kulinda Soko

    Muungano huo ukiongozwa na Saudi Arabia utapunguza kiasi cha Mapipa Milioni 1.5 kila siku kuanzia Mei 2023 huku ukiita hatua hiyo ni ya tahadhari na inayolenga utulivu wa soko. Saudi Arabia itapunguza Pipa 500,000, Iraq 211,000, Umoja wa Falme za Kiarabu 144,000, Kuwait 128,000, Oman 40,000...
  12. R

    Aliyewahi kufanya kazi kiwanda cha Almarai Saudi Arabia namuhitaji

    Habari wakuu. Kama kichwa kinavyoeleza. Natafuta mdau aliyewahi kupiga kazi kama unskilled labour kwenye hiko kiwanda cha Almarai. Niliwahi kuwa kwenye mchakato bahati mbaya nikapoteza passport. Na kampuni ilikufa iliyokua ndiyo agent. Kama kuna aliyewahi kupiga kazi nahitaji kuuuliza mambo...
  13. Urusi, China, Iran na Saudi Arabia zaanza maandalizi ya kuachana na matumizi ya Dola ya Marekani

    Ripoti mbalimbali zinadai kuwa Benki kuu za Urusi na Uchina zimeanza kuondoa akiba ya dola ya Marekani katika hifadhi yake huku biashara zake nyingi zikiendeswa kwa Yuan ya China. Kuhama huku kutoka kwenye dola kumechochewa na vikwazo vilivyowekwa dhidi ya Urusi kwa kuivamia Ukraine...
  14. L

    Maridhiano ya Saudi Arabia na Iran yadhihirisha diplomasia ya amani ya China

    Machi 10, 2023, China, Saudi Arabia na Iran zilitoa taarifa ya pamoja mjini Baijing, ikitangaza kuwa nchi hizo mbili za Mashariki ya Kati zitarejesha uhusiano wa kidiplomasia na kutekeleza makubaliano muhimu ya pande mbili yaliyositishwa kwa miaka saba. Maendeleo hayo adimu ya kidiplomasia...
  15. J

    Ziara ya Rais Samia nchini Saudi Arabia kuwaleta wawekezaji

    WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema ziara ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan nchini Saudi Arabia, imeanza kuleta matunda. Waziri Ulega ameeleza kuwa kufuatia ziara hiyo, mamia ya wawekezaji Saudi Arabia wameonyesha nia ya kutaka kuwekeza katika sekta ya mifugo na uvuvi nchini...
  16. Saudi Arabia yapiga marufuku adhana, Watoto kuswali misikitini pamoja na sauti za juu

    Wizara ya masuala ya kiislamu ya Saudia ilitangaza sheria mpya za Ramadhani ambazo zinawakera Waislamu wengi duniani kote. Wizara ya hiyo ilitoa kanuni na vizuizi vya kuadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka wa 2023, miongozo hiyo ni pamoja na marufuku ya kutumia vipaza sauti, i'tikafu bila...
  17. Kuelekea mwezi mtukufu wa ramadhani, Saudi Arabia imepiga marufuku matumizi ya vipaza sauti misikitini.

    Kuelekea mwezi mtukufu wa ramadhani unaotarajia kuanza tarehe 22 mwezi huu, Saudi Arabia imepiga marufuku matumizi ya vipaza sauti na matangazo ya mahubiri misikitini. Soma hapa...
  18. Saudi Arabia has announced end of dollar dominance in global oil trade. The dominoes are beginning to fall on the US evil empire

    OPERATION SANDMAN now activated. Saudi Arabia announces END of dollar dominance in global oil trade. The dominoes are beginning to fall on the US evil empire Wednesday, January 18, 2023 As we have consistently warned for more than a year, Operation Sandman has now been activated, with Saudi...
  19. I

    Vilabu viwili vya Saudi Arabia vyachuana kupata saini ya Lionel Messi

    Al Ittihad na Al Hilal wameripotiwa kuwa tayari kutoa Euro 350 milioni kwa Messi ili kumnasa kuondoka PSG. Kwa mujibu wa MARCA, klabu zinajipanga kumnasa Messi baada ya Al-Nassr kumsajili mpinzani wake wa milele Cristiano Ronaldo wiki chache zilizopita...
  20. I

    Ronaldo na kufuru yake nchini Saudi Arabia

    Cristiano Ronaldo, familia yake pamoja na wapambe wake wataishi kwenye hoteli moja balaa sana nchini Saudi Arabia ambapo watamiliki jumla ya vyumba 17 na watakuwa wakizilipia jumla ya dola za kimarekani 300,000 kwa mwezi sawa na zaidi ya shilingi milioni 650 za kitanzania kwa mwezi. Sasa jamaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…