Kwa maana hiyo wanasayansi wote wanafanya shughuli za ushirikina aidha kwa kujua au kwa kutokujua.
Natafuta ufafanuzi zaidi au hakiki (evidences) juu ya hii taarifa. Kwanini sayansi na ushirikina kwa karne hii ni vitu vyenye uhusiano???
Habari za wakati huu,
Koding Kids Program ni programu maalum ya wiki 2 ambapo watoto wenye umri wa kati ya miaka 12 hadi miaka 15 watafundishwa masuala ya msingi kuhusu masomo ya sayansi ya kompyuta lengo likiwa ni kuamsha hisia zao na hamasa ya kutaka kufahamu zaidi kuhusu sayansi ya kompyuta...
picha hii ni halisi imepigwa ndani ya lisaa limoja lililopita na chombo cha Orion spacecraft kilicho ruka na rocket ya mwezini kwenye mission ya Artemis I 🛰
kumbuka shirika la anga za mbali NASA, wanampango wa kumrudisha binadamu kwa mara ya pili kwenda kuishi kwenye mwezi baada ya kupita...
Ndugu wanaJamiiForums ni matumaini yangu mu bukheri wa afya. Siku chache tumepokea na kushuhudia ajali mbaya iliyotokea mjini Bukoba. Suala ni kuwa mpaka sasa tumekuwa katika harakati za kuijenga nchi yetu katika misingi bora ya sayansi na teknolojia ya hali ya juu kwa kuandaa miradi mbalimbali...
1. Special theory of relativity
2. General theory of relativity
3. Time dilation
4. Warping of spacetime
5. Spacetime continuum
6. E=mc2
7. Gravity as bending of spacetime
8...............................................
Hivi vitu ni vigumu kuvielewa.......
Habari za wakati huu wadau, mimi ni mwanachuo niliyemaliza mwaka huu masomo Physics na Mathematics, katika pita pita zangu nimekutana na hii kwamba manispaa ya Ilala inatoa ajira za mkataba kwa walimu wa sayansi.
Nilitamani kuielewa hii kwa undani kwa watu wenye kulijua hili kwasababu pia...
Kuna mengi yalisemwa kuhusu January kuteuliwa kuwa waziri wa nishati, mojawapo likiwa ni kwamba kulikuwa na msukumo fulani kutoka kwa wazee kwa mama kumpa January wizara hiyo nyeti kama chaguo lake.
Sasa kwangu mimi hilo nililiona lina walakini sana. Sina tatizo na Makamba kuwa waziri, lakini...
Na Caroline Nassoro
Mkutano mkuu wa 20 wa Chama cha Kikomunisti cha China CPC utafanyika tarehe 16 Oktoba hapa Beijing. Lakini kabla ya kufanyika kwa Mkutano huo, ikiwa sasa watu wa China wanakuwa katika mapumziko ya siku saba ya kusherehekea miaka 73 ya kuzaliwa kwa taifa la China, siku ya...
Tarehe 18 Septemba, watu wanatembelea maonyesho ya sayansi ya alama za vidole katika Jumba la makumbusho la sanaa la Ziwa Taihu Magharibi, mjini Changzhou, Jiangsu.
Maonyesho hayo yameweka sampuli ya fuvu, nyaraka na vitabu, na kutumia aina mbalimbali za picha, vifaa, sanamu kuonyesha...
Sayansi na Teknolojia; vitu viwili vinavyoenda pamoja kama keki na aiskrimu au samaki na maji au, nipendavyo binafsi, dansi na muziki. Sayansi na teknolojia zimekuwa baraka kweli kweli katika ulimwengu wetu huu wa kisasa na wakati mwingine unaweza kuwa upanga ukatao kuwili; inaweza kusaidia...
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania na Afrika wakiwekeza zaidi katika sayansi na teknolojia kwa vijana, wanaweza kuwa sehemu muhimu ya kustawisha uchumi kama ilivyo China.
Ametoa kauli hiyo Dar es Salaam leo, wakati akifungua Mkutano wa Wanawake na Vijana katika Biashara chini ya Mkataba...
Mabadiliko katika nyanja za kielimu, utawala,uchumi, afya,kilimo sayansi na teknolojia yanaweza kuchochewa na sababu zifuatazo.
Uzalendo. Uzalendo ni miongoni mwa sababu kubwa sana inayoweza kuchochea mabadiliko katika nyanja mbalimbali.
Mfano, katika nyanja ya elimu kama walimu na baadhi ya...
UTANGULIZI
Sayansi Ni tawi la maarifa linalohusu nadharia, vipimo, uchunguzi wa hatua kwa hatua na uthibitishaji wa kuwepo au kutokuwepo kwa kitu au jambo katika hali halisi.
Tunaliona hili katika historia fupi ya sayansi.
Sayansi ilianza kama udadisi wa mtu mmoja mmoja lakini kadri maarifa...
Kwa Utangulizi: Sayansi Ni mmarifa au ujuzi unaopatikana kwa kufanya vitendo, kutazama na kujaribu kweli ambazo zimebainshwa hazijathibitishwa.Sayansi imegawanyika katika makundi mbalimbali ambayo ayo makundi ni kama vile;sayansi ya asili(mfano biologia na zologia), sayansi ya umbile(mfano...
SAYANSI NA TEKNOLOJIA KATIKA MATOKEO HASI KATIKA VYOMBO VYA USAFIRI NA MATUMIZI YA SIMU KWA VIJANA WA KARNE HII PAMOJA NA LUGHA YETU.
Sayansi na teknojia imekuwa msaada mkubwa katika karne hii ya 21,kumekuwa na mavumbuzi mengi na ya kisasa,Sayansi na teknolojia imezalisha na kuwaibua wataalamu...
KUPIGA MSWAKI, SAYANSI NA UTARATIBU? AU SHAGHALABAGHALA ALIMRADI MENO YAWE SAFI?
Wote tunaweza kukubaliana kuwa kupiga mswaki ni kati ya zoezi rahisi sana kufanya mithili ya kunywa maji au uji, lakini licha ya zoezi hili kuwa rahisi bado magonjwa ya kuoza kwa meno na magonjwa ya fizi yamekua...
Tujifunze kutokana na huo mtambo unaitwa international space station, upo hapo juu kabisa anga za mbali kama mile mia nne.
Halafu mwingine ANATUMIA vitabu vya dini ETI wanasema hawajawahi kufika mwezini. Kama wameweza hilo kwanini washindwe hilo la kwenda mwezini.
Sayansi jamani ni kanuni...
Tuanzie mbali kidogo katika karne za nyuma hususani kuanzia karne ya 18 hadi ya 19 dunia iliingia katika machafuko ya kivita na biashara za utumwa.
Ndani ya karne hizo pia kulitokea na mapinduzi ya viwanda yaani mashine zilianza kufanya kazi na kuibuka kwa uzalishaji mkubwa wa bidhaa na hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.