Niaje wadau, nawatafuta waliomaliza form 4 mwaka 2012 pale St. Mathews kwa boss Mutembei mwaka 2012. Asee wadau nimewamiss sana, the likes of Mr. Kaskazi, Mutembei, Mr Bokole, Muhikwa, tule teacher wa physics nani vile? Aaah Moses, yeye akiwa anachapa anadindisha, Madam Nkya etc.
Wanafunzi...
Shule ya kimataifa ya UWCEA Kampasi ya Moshi, Kaskazini mwa #Tanzania imesitisha mafunzo ya ana kwa ana kwa Wanafunzi kwa madai ya mmoja wa Wanafunzi kuthibitishwa kuwa na maambukizi ya Corona.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na tovuti ya Shule hiyo, Januari 18 Mwanafunzi huyo alithibitishwa...
Mungu ni mwema mdogo wangu amefaulu kwa kupata daraja la kwanza na alama 16 (1 point 6). Physics na Mathematics amepata D. Ila Biology B, Chemistry B na Geography C. Lengo lake lilikuwa ni kusoma PCB, PCM au EGM. Hataki CBG.
Kwenye PCB au PCM tayari Physics ana D. Kwenye EGM tayari Math ana D...
School Results Management Spreadsheet Application!
Mkombozi wa Mashule mbalimbali Tanzania! Ni Spreadsheet (Excel) Application ambayo nimeiandaa kwa ajili ya kuchakata Matokeo ya wanafunzi (Kwa sasa ni kwa ajili ya Pre and Primary School) pamoja na Kutoka reports za wanafunzi za kutuma kwa...
Nilitamani mwanangu ajiunge na law School of Tanzania mwaka huu januari au June.
Cha kushangaza Ni kuwa intake zote zimeshajaa. Je waliomba lini?
Ina maana aliyehitimu 2020 nakupata cheti chake Desemba 2020 Hana uwezekano wa kuwahi kuomba intake yoyote ya januari au June?
JOB VACANCY TO BE FILLED
SCHOOL BACKGROUND
Helasita Secondary School is a boys’ secondary school located at Mtoni Kijichi, in Temeke Municipality, Dar Es Salaam, Tanzania. The school is registered with registration Number S. 4891 and follows the Tanzania’s National Curriculum. Helasita...
Habari zenu ndugu jamaa na marafiki?
Kwa wale ambao tunafanya Final wiki ijato, ninaomba kama inawezekana tukutane hapa na tujadiliane kwa maswali mbalimbali na majibu. Kama kuna yeyote ana maswali, anaweza kuchallenge mradi tutaweza kujifunza lolote, tukutane hapa.
Mtu mwenye topic yoyote...
Husika na title hapo juu hivi kwa nini shule za udereva wale walimu wasiwe ma trafic (vihicle) maana kuna pamoja na shule kuwa nyingi kila kona lakini bado kuna ajali zinatokea kwa uzembe kabisa na bado unakuta dereva alisomea u driving shule kabisa.
Hii itasaidia angalau uelewa zaidi kwa...
Taasisi ya kimataifa ya kutetea haki za wanawake, Equality Now ikishirikiana na washirika wake nchini Tanzania, wamewasilisha kesi dhidi ya serikali ya Tanzania katika mahakama moja ya Afrika inayoshughulikia masuala ya kibinadamu na haki baada ya nchi hiyo kuweka marufuku kwa wasichana...
Samahani wakuu, nilikua nauliza utaratibu wa mwanafunzi kujiunga na law school of Tanzania akitokea Kenya. Ni vitu gani vya muhimu anahitajika kuwa navyo.
Natanguliza shukrani.
Habari za muda huu.
Ndugu zangu mimi natafuta ajira ya ualimu maana maisha hapa Dar es salaam ni magumu sana.
Mimi nilikuja Dar kwa ajili ya chuo tu kwahiyo sina hata ndugu sasa chuo nimemaliza na sina shughuli yoyote.(sikusoma kwa mkopo).
Kijijini kilimo ni cha jembe na hata nauli ya kuendea...
Wakuu naomba msaada wenu kupata mawasiliano ya simu na mkuu wa shule tajwa hapo juu. Mimi niko mbali na Dar es salaam. Nime- Google namba walizotoa aidha zilikuwa za walimu walishahama.
Natanguliza shukran
Habari za wakati,
Mimi ni mdau na muumini wa utoaji wa elimu bora kwa gharama nafuu au BURE kabisa.
Leo nimejulishwa kwamba shule ya Mtakatifu JUDE iliyoko jijini Arusha inafanya usaili wa wanafunzi ambao kama wakifanikiwa kupita katika usaili huo watapata ufadhili wa elimu bure shuleni hapo...
The Government has allocated Ksh.1.9 billion for the purchase of locally assembled desks to both public primary and secondary schools.
In a notice published in the local dailies on Tuesday, the Ministry of Education invited interested local juakali workshops and artisans to apply for the job to...
Nimeisoma ilani ya CHADEMA sura ya tano ibara ya saba kifungu "e" nimekiambatanisha hapa chini, kinasema ili kuboresha elimu shule ya msingi itakuwa miaka tisa, binafsi ningependa shule ya msingi iwe miaka mitano, lengo la shule ya msingi kama lilivyo ainishwa na Friedrich Froebel ni kumuandaa...
Tumesoma siku nyingi kidogo - Nimemaliza form Six 1994 hivyo kuna vitu nimeshasahau. Nataka kujua kuhusu division One mpaka Zero.
Division 1naelewa ina anzia point 3 ---- mpaka ngapi?
Division 2
Division 3
Division 4
Division 0
Kindly assist
Kwamba eti ukiwa unaendesha Gari, umebeba Watu/ Abiria na uko mwendo mkali sana ( bati kinoma ) kisha ukaona Mtu anakatisha mbele yako iwe kwa Miguu au akiwa katika Baiskeli au Pikipiki 'Sheria' inakuruhusu kuwa kuliko 'Kujihatarishia' Maisha yako na ya wale 'uliowabeba' basi 'uwagonge' na...
JE, WAKATI UMEFIKA WA MISIKITI KUGEUZWA SUNDAY-SCHOOL NA GWAJIMA?
Na, Robert Heriel
Miaka mitano nyuma, naam mwaka 2015 Gwajima alionyesha dhamira yake na ndoto yake kubwa ambayo alitanabaisha kuwa anatamani Misikiti kuwa Sunday- School za watoto wa Kikristo, pamoja na masheikh na maimamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.