security

  1. Security Officer (Technician, Procurement And Logistics) at IRMCT January, 2024

    Job Opening ID: 226753 Job Network: Internal Security and Safety Job Family: Security Category and Level: Field Service, FS-4 Duty Station: ARUSHA Department/Office: International Residual Mechanism for Criminal Tribunals Date Posted: Jan 29, 2024 Deadline: Feb 27, 2024 Responsibilities...
  2. S

    Master in Computer Security online

    Wanajamvi habari za leo, nataka kufanya Masters in Computer security online, nimepata collage moja ipo spain inaitwa tech technological university, wapo nchini spain na wamekuwa wakinipigia simu mara kwa mara ili nijiunge nao. Sasa kabla sijafikia maamuzi naomba ushauri kwenye hili jambo kama...
  3. JamiiForums kushiriki mjadala wa “ICT for Promoting Digital Security and Data Privacy”, leo Novemba 8, 2023

    Ikiwa ni Siku ya pili (Nov 8) ya Tamasha la Jinsia kutoka TGNP, JamiiForums inashiriki kwenye Mjadala kuhusu 'Ushirikishwaji wa Wanawake na Wasichana katika Usalama wa Kidijitali na Faragha ya Taarifa' Mjadala huu utaangazia namna ya kuongeza Ushiriki wa Wanawake kwenye Nyenzo za Kidijitali...
  4. Kamanda Muroto kutoka RPC mpaka Security Project Manager, Tembo Nickel

    Life linamambo mengi. Huyu Afande Muroto alikuwa RPC wa Dodoma at Magu time now karudi kuwa Project Security Manager- Tembo Nickel.💪🏼
  5. M

    Assessment of the Role of Incident Management Team in Cybersecurity in Tanzania:The case of TZ-CERT

    Habari wadau watalaamu Ningependa kufahamu kama hiyo tittle and its content are 1. Researchable 2. Punctually Collect Maana nimeSubmit sehem mbili ambapo sehem moja imepokelewa vizuri wakati sehem nyingine imekataliwa kabisa kuwa imekosewa. NB: TZ-CERT (Tanzania Computer Emergency Response...
  6. security anahitajika

    kituo cha afya mkarama kinatafuta security kwa ajili ya kuweka usalama eneo la hospital...sifa awe ni kidato cha nne na awe amepitia mafunzo ya jeshi la kujenga taifa, kwa mawasiliano zaidi nicheki pm
  7. D

    Naomba kujuzwa Bachelor of Cyber Security

    Jamanii naomba msaada kwa wanaofahamu hii kozi na soko lake hapa nchini. Na je inahusiana na nini hasa?
  8. ICT Officer II (System Security) at CBE

    Position: ICT Officer II (System Security) Qualifications and Experience Holder of Bachelor Degree in one of the following fields; Computer Science, Information Systems, Information Technology, Computer Engineering, Telecommunication, Electronics or equivalent computer qualifications from...
  9. Ushauri unahitajika: Kati ya Cyber Security na Laboratory Science in Biotechnology

    Habari wanajf. Kuna rafiki yangu kachaguliwa kozi mbili vyuo vitatu, anaomba ushauri vipi a confirm. 1. Cyber security (Arusha) 2. Laboratory science in biotechnology (SUA na MUST) Msaada tafadhari , ipi Ina soko Sana ama Ina unafuu kwenye upatikanaji wa ajira
  10. Security Lieutenant, Fs4 at International Residual Mechanism for Criminal Tribunals

    Posting Title: Security Lieutenant, FS4 Job Code Title: Security Officer Department/Office: International Residual Mechanism for Criminal Tribunals Duty Station: Arusha Posting Period: 06 June 2023 – 05 July 2023 Job Opening Number: 23-Security-RMT-210641-R-Arusha (R) Staffing Exercise: N/A...
  11. Cyber Security Manager at Tigo

    Vacancy - Tigo Pesa Post Title: Cyber Security Manager How to Apply If you are interested in applying for this position, kindly address your email to career.tz@tigo.co.tz On the subject line, indicate the role you are applying for (eg. Cyber Security Manager). Attach your CV in PDF format...
  12. Natafuta kazi ya udereva wa magari madogo, security na house work

    Nina umri wa miaka 20 mkazi wa Dar es Salaam ninatafuta kazi kati ya hizo tajwa hapo juu na uzoefu wa kuendesha magari wa miaka 2 pia nakazi za nyumbani. Elimu yangu ni form four level pia na driving certificate ya magari madogo
  13. Security cameras nzuri

    Habari zenuu Samahani naomba kwa wenye uzoefu na ujuzi, ninataka kufunga security camera nyumbani. Naomba kujua gharama na aina nzuri kwenye recording na ambayo pia ni rahisi kutumia (kuisoma). Nataka kufunga maeneo matatu. Asanteni.
  14. Kamera za usalama zifungwe Daraja la Tanzanite

    Ili kuepusha Uhalifu pale darajani pangefungwa security camera na control room ili kuepusha uhalifu.
  15. 'Umbea mode of security system' namshauri Samia aitumie

    Nikiwa nimechili zangu, kidume Sina hili wala lile maeneo ya Kwa Sadara ghafla anatokea Mzee anae kadiliwa kuwa na miaka zaidi ya 82. Mzee ni wa makamo ila anaonekama kuwa very upstea kichwani mwake. Katika mazungumzo yetu Mzee anamsifia Rais wa awamu ya sita Kwa mengi mazuri anayoyafanya...
  16. Kwa android phone security: Je kuna tracking app/software yoyote inayoweza kukwepa 'factory/hard reset'?

    Wakuu na wataalaamu wa phone security, Nini mtu afanye ili kuiwekea ulinzi smart phone ili itakapoibiwa ama kupotea aweze kuitrack? Wezi wanaflash (factory reset) na kubadili IMEI number. IMEI NUMBER inapokuwa changed, habari kwishney, polisi wanakuwa hawana msaada wowote tena. Je, kuna...
  17. F

    Natafuta kazi ya networking na security system installation

    Kwa wale wenye Nia za kuifungua ofisi ambazo zinahitaji network au mifumo ya hospitalini au kufunga camera za usalama kwa majumbani na ofisini au sehem za biashara.... Naomba tuwasiliane nafanya kazi kwa uhakika kabisa. Sina meng ya kuandika ila mwenywe swali karibu na mwenye kazi karibu...
  18. Ni kweli kwamba kupata ajira GardaWorld Security sasa hivi lazima uwe na cheti cha Chanjo ya Covid?

    Naskia kupata ajira Garda Security saivi lazima uwe na cheti cha Chanjo ya Covid...hivi nikweli ?!!
  19. Naomba msaada wa mtu kunidhamini nipate kazi GardaWorld Security

    H
  20. Kwa anayejua taratibu za kuomba kazi kwenye hii kampuni ya gard security world

    Ndugu zangu kwa anaejua Taratibu zakuomba kazi kwnye hii kampuni ya GARD SECURITY WORLD mana nimengalia mtandaoni naona kingereza kingi sana afu nchi nyingi nimeshindwa kuelewa, Naomba msaada 0693206150
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…