sekta ya afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Rais Dkt. Mwinyi aishukuru Benki ya Dunia kwa Dola Milioni 100 Kuboresha Sekta ya Afya

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi ameishukuru Benki ya Dunia kwa Msaada wa kiasi cha Dola Milioni 100 kwa ajili kuimarisha Miundombinu ya Sekta ya Afya hapa nchini. Rais Dkt.Mwinyi ameyasema hayo alipozungumza na Mkurugenzi Muendeshaji wa Benki hiyo...
  2. Rorscharch

    Afrika imeweka Rehani Afya kwa Wazungu: Sakata la USAID ni fedheha ya karne

    Katika mwaka wa 2023, Tanzania ilipokea dola milioni 512.8 kutoka Marekani kwa ajili ya sekta ya afya, ikiwa nchi iliyoongoza kupokea msaada mkubwa zaidi wa afya barani. Nigeria, taifa lenye uchumi mkubwa zaidi Afrika, ilifuata kwa karibu kwa kupokea dola milioni 512.1. Kwa jumla, misaada hii...
  3. M

    Je wananchi tuna uelewa wa kutosha juu ya Homa ya nyani (Monkey pox)?Je wizara ya Afya ikishirikiana na wadau wa sekta ya afya wanatoa elimu stahiki?

    Salam. Dunia ikiwa imetoka kushuhudia gonjwa hatari ya homa ya COVID -19 sasa hivi kumezuka tena ugonjwa hatari wa wa homa ya nyani (Monkey Pox)! Ombi langu kwa serikali kupitia wizara ya Afya kuendeleza juhudi za kutoa elimu kupitia vyombo vya habari kuhusiana na huu ugonjwa ambao wengi wetu...
  4. M

    Unashauri nini kifanyike ili sekta ya afya iweze kutoa huduma bora kwa kila Mtanzania?

    Je, wajua? Serikali ya Tanzania chini ya Marais toka awamu ya kwanza hadi sasa awamu ya Sita imechukua hatua mbalimbali kuimarisha huduma za afya nchini kwa kujenga miundombinu ya afya. Zikiwemo zahanati, vituo vya afya, hospital za halmashauri, hospital za wilaya, hospital za mkoa, hospital...
  5. B M F ICONIC

    Changamoto, malalamiko, kero na ukombozi wa Sekta ya Afya Tanzania

    Kero na malalamiko wanayoyatoa wa Tanzania kuhusu changamoto kwenye Sekta ya Afya moja ya sababu ni Mifumo iliyowekwa huko nyuma kusimamia afya na kum chagua Mtu ambae hana maono / jicho la kutambua kero na Hajasomea Afya kusimamia Sekta ya Afya. Kwani yeye sio Daktari na hajawahi hashinda...
  6. Mindyou

    Mabingwa 49 wanaojiita Madaktari wa Rais Samia watua rasmi na kupokelewa mkoani Arusha

    Jumla ya madaktari bingwa 49 waliotumwa na Rais Samia wamewasili mkoani Arusha, wakipokelewa na uongozi wa mkoa huo kwa lengo la kushiriki kambi ya matibabu ya siku sita itakayohusisha wilaya zote saba za mkoa huo. Madaktari hao wametakiwa kutoa huduma kwa moyo wa huruma na kujituma kwa wananchi...
  7. Stephano Mgendanyi

    Jenista Mhagama: Miundombinu Sekta ya Afya Peramiho Yazidi Kuimarika

    JENISTA MHAGAMA: MIUNDOMBINU SEKTA YA AFYA PERAMIHO YAZIDI KUIMARIKA Serikali kupitia Wizara ya Afya imetoa shilingi Bilioni 40 kwa mwaka wa fedha 2023/24 ili kuendelea kuimarisha miundombinu ya miradi mbalimbali ikiwemo ya Sekta ya Afya kwa kujenga Hospitali pamoja na vituo vya Afya katika...
  8. Aramun

    Sekta ya Afya siyo ya kufanyia mchezo na mzaha

    Nafikiri watu timamu tunakubaliana kwamba @ummymwalimu alikuwa ni ‘mzigo mzito’ katika wizara ya afya, na alikuwa kati ya waziri bingwa wa porojo, uongo na propaganda nyingi, lakini kazi sifuri. Wametuletea JENISTA. Tunamfahamu vizuri sana. Ni mzigo na chawa mwandamizi. Kazi yake kubwa nyakati...
  9. chiembe

    Hongera Benjamin Mkapa Foundation, mmeimarisha sekta ya afya nchi nzima, Nyerere Foundation Mzee Butiku yeye ni vijembe tu na chuki

    Nadhani Nyerere Foundation ina cha kujifunza kwa Benjamin Mkapa Foundation. Nyerere Foundation ilitarajiwa iwe ndio kioo cha Foundation za viongozi kwa kutatua matatizo na ku-shape sera za nchi. Badala yake, Mwalimu Nyerere Foundation imekufa, walioiua, ili waonyeshe bado inapiga chafya...
  10. I

    Naibu Spika, Zungu: Kuna nyumba za ICU zina chaji Tsh. 500,000 bila dawa

    Naibu Spika wa Bunge la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, Mussa Zungu ametoa rai kwa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)–Hospitali ya Dar Group kutotoza gharama zisizo himilivu kwa wananchi wanaohitaji usaidizi wa huduma za oksijeni. Kauli hiyo ametoa Julai 29, 2024 wakati wa uzinduzi...
  11. iamwangdamin

    Mkutano katika Sekta ya Afya

    Tarehe 31 Julai 2024 kuanzia saa 5 asubuhi utafanyika mkutano baina ya Taasisi zinazoshughulika na tafiti za afya nchini Tanzania na Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Afya ya nchini Uingereza (National Institute for Health and Care Research (NIHR). Mkutano huo umeandaliwa na Ubalozi wa Tanzania...
  12. M

    Ajira, elimu na afya: Je, tusiiamini Serikali yetu?

    Toka mwaka jana Serikali iliahidi kutoa ajira kadhaa kwenye sekta ya afya na elimu, kati ya mwezi wa kwanza au wa pili na haijawa, katika bunge la bajeti waziri akaahidi kabla ya June 31 ajira zitakuwa zimetolewa ila hadi leo mwaka mwingine wa fedha umeanza bado kimya. Je, kama hawakuwa na...
  13. L

    SoC04 Jitihada ziongezeke katika kuboresha sekta ya afya nchini Tanzania

    Afya ni ile hali ya mwili, akili, na kijamii kuwa sawa. Ni muhimu kujali afya kwa kula vizuri, kufanya mazoezi, na kupata muda wa kutosha wa kupumzika ili mtu aweze kuwa na afya njema. Hili mtu aweze kutunza afya yake Vyakula vyenye afya vinaweza kusaidia kuboresha afya yako. Kula matunda na...
  14. BigTall

    KERO Gharama za “Ambulance” Shinyanga ni mateso kwetu walalahoi

    Zimekuwepo jitihada za Serikali na wadau wa Sekta ya Afya kusambaza Magari ya kubebea Wagonjwa (Ambulance) na sasa ukienda hospitali nyingi unakuta magari hayo, lakini kwa hapa Shinyanga licha ya uwepo wa magari hayo lakini gharama zake sio stahimilivu kwa Mwananchi wa chini. Mfano Hospitali ya...
  15. A

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Maono ya Kibunifu kwa Miaka 5, 10, 15, Hadi 25 Ijayo katika Sekta ya Afya

    Utangulizi Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuboresha sekta ya afya kwa miaka kadhaa iliyopita, lakini bado kuna changamoto nyingi zinazohitaji ufumbuzi wa kibunifu ili kufikia afya bora kwa wote. Maono haya yanachora taswira ya jinsi sekta ya afya inaweza kubadilika kwa miaka 5, 10, 15, hadi...
  16. I

    SoC04 Nini cha kufanya ili kuboresha sekta ya afya katika miaka 5 ijayo na kuendelea

    STORY OF CHANGE NINI CHA KUFANYA ILI KUBORESHA SEKTA YA AFYA KATIKA MIAKA 5 IJAYO NA KUENDELEA UTANGULIZI Tanzania ya Sasa Imeendelea Katika Sekta mbalimbali Tofauti na hapo Mwanzo katika Miaka ya Nyuma Lakini Ukiilinganisha Nchi yenu na Baadhi ya Nchi kadhaa Utagundua kuwa Bado Tunahitaji...
  17. S

    SoC04 Nini tufanye ili kuboresha sekta ya afya miaka kumi ijayo

    Afya ndiyo mtaji wa maisha ya binaadamu,bila kuwa na afya bora huwezi kufanya shughuli za uzalishaji mali na badala yake ni kupoteza kile ulichokuwa ukikifanya kama chanzo cha mapato, sababu hiyo pia hupelekea umaskini. Kumbe basi Serikali ni watu ili nchi iwe katika hali nzuri ya kiuchumi Afya...
  18. Replica

    Uvinza: Halmashauri yachukua hatua kupitia video iliyosambaa lakini yashangazwa na aliyechukua video ikidai ameleta taharuki

    Halmashauri ya wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma imechukua hatua ya kumpumzisha daktari wa zamu ili kupisha uchunguzi baada video ya Mwanamke anaedaiwa kujifungua na kukosa huduma kwa zaidi ya saa moja katika Kituo cha Afya Kata ya Basanza kusambaa mtandaoni. Halmashauri baada ya kufatilia...
  19. A

    SoC04 UKIMWI Unatibika Endapo Tukiwa na Teknolojia ya Kisasa Katika Sekta ya Afya

    UKIMWI Unatibika Endapo Tukia na Teknolojia ya Kisasa Katika Sekta ya Afya UKIMWI, ambao unasababishwa na virusi vya ukosefu wa kinga mwilini (HIV), umekuwa tatizo kubwa la kiafya duniani kwa miongo kadhaa. Tanzania ni mojawapo ya nchi ambazo zimeathirika sana na janga hili. Hata hivyo, kuna...
  20. N

    SoC04 Tanzania tuitakayo kwa miaka 5 hadi 25 ijayo katika sekta ya Afya

    Tanzania Tuitakayo: Miaka 5-25 Ijayo Katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo, Tanzania inakusudia kuwa taifa lenye ustawi mkubwa, usawa wa kijinsia, na huduma bora za afya. Ili kufanikisha malengo haya, ni muhimu kuhamasisha wanawake kushiriki kikamilifu katika mchakato wa maendeleo na...
Back
Top Bottom