Wakuu,
Hii ni hospitali ya Amana, Kivule. Vyombo vya kuhudumia wagonjwa na kufanyia upasuaji vinasafishwa kwa maji ya baridi ya bomba bila hata kufuata taratibu sahihi za kuvitakasa.
Huu ni uzembe wa hali ya juu, haiwezekani vifaa hivi vioshwe kwa mtindo huo, vianikwe juani kisha mtu mwingine...
SEKTA YA AFYA: Je, una Maoni/Ushauri kuhusu Jambo au Utaratibu unaotamani ubadilike katika kuboresha Sekta ya Afya Nchini?
Usikose kujiunga nasi katika Mjadala wa Mapendekezo kwa Wizara ya Afya siku ya Alhamisi Julai 13, 2023, kuanzia Saa 12 Jioni hadi Saa 2 Usiku, kupitia Twitter Space ya...
Mheshimiwa Ummy Mwalimu:
Heshima yako Odo Ummy, Amani ya Mungu iwe juu yako, natumaini barua hii inakufikia ukiwa na afya njema na ustawi bora. Kwenye wizara ya Afya, Naweza kusema Bila shaka jitihada zako ziko bayana kwa kila Mwananchi. Hata hivyo, ningependa kukushirikisha wasiwasi wangu...
UWAJIBIKAJI: SULUHISHO LA CHANGAMOTO ZA SEKTA YA AFYA NA UBORA WA HUDUMA ZA AFYA
Imeandikwa na: MwlRCT
I. Utangulizi
Je, unajua kuwa uwajibikaji unaweza kuboresha sekta ya afya nchini Tanzania?
Uwajibikaji una faida nyingi, kama vile kuongeza uwazi, ufanisi, usalama, uaminifu, ushirikiano...
Napenda kutoa pendekezo muhimu kwa Waziri wa Afya na Waziri wa TAMISEMI kuhusu mchakato wa ajira katika sekta ya afya nchini.
Pendekezo langu linahusu kuanzishwa kwa mitihani ya usaili kwa waajiriwa wote wa Ajira za afya kabla ya kuajiriwa. Hatua hii itakuwa na lengo la kuboresha viwango vya...
Kumekuwa na changamoto kubwa ya utawala bora na uwajibikaji katika sekta ya afya nchini Tanzania. Changamoto hii inajitokeza kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ufinyu wa bajeti, upungufu wa wataalamu wa afya, ukosefu wa vifaa tiba, vitendea kazi na miundombinu duni. Hivyo, utekelezaji wa sera...
Andiko la Kuchochea Utawala Bora na Uwajibikaji katika Sekta ya Afya.
Utangulizi:
Sekta ya afya ni muhimu sana katika maendeleo na ustawi wa jamii. Ili kuhakikisha huduma za afya zinatolewa kwa ufanisi na kwa manufaa ya umma, utawala bora na uwajibikaji ni muhimu. Andiko hili linalenga...
Afya ni sehemu ni sehemu ya maendeleo endelevu katika kuimarisha afya bora za watu ili kuwawezesha kufanya vizuri na kuinua uchumi wao na nchi kwa ujumla katika jamii mtu mwenye afya bora huwa na uwezo wakushiriki katika shughuli mbalimbali za kijamii zao na kuchagia katika ujenzi wa jamii...
Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya.
Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates...
Utangulizi:
Sekta ya afya ni msingi muhimu wa maendeleo ya jamii na uchumi wa Taifa lolote. Katika Tanzania, kuna umuhimu mkubwa wa kufanya mabadiliko ya kiteknolojia ili kuleta mabadiliko chanya katika uwajibikaji na utawala bora katika sekta ya afya. Kwa kuzingatia umuhimu huo, takwimu...
Kutokana na taarifa za tukio la kifo cha nguli wa mitandao ya kijamii nchini Ndugu William Malecela ajulikaye kama Le Mutuz.
Nini hatma ya sekta ya Afya nchini katika kuwa na uwezo wa kuwa na wataalamu wa magonjwa ya moyo na vifaa vya kukabiliana na magonjwa ya dhararu kama magonjwa ya...
MBUNGE FESTO SANGA - SERIKALI IANGALIE MASLAHI WATUMISHI SEKTA YA AFYA
Mbunge wa Jimbo la Makete, Festo Sanga aomba Wizara ya Afya kuangalia maslahi ya watumishi sekta ya Afya, wanafanya kazi ngumu na katika mazingira ambayo wengi wetu hatuwezi. Wanapigania Uhai wetu, maslahi yao yaangaliwe...
Ifahamike kuwa vijana wamekuwa katika kusubiri kwa matumaini kwa muda mrefu tangu 2015.
Si vibaya kama Tamisemi mkatoa ratiba kamili ya ni lini mnatarajia kuachia mkeka wa waliochaguliwa kwenye ajira za walimu na kwenye sekta ya afya!
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel atakuwa mubashara kesho Jumatatu Mei 08, 2023 kwenye kituo cha Azam TV kueleza maboresho makubwa kwenye sekta ya Afya.
Usikose kutazama UTV katika kipindi cha Morning Trumpet kujionea maboresho katika Sekta ya Afya kuanzia saa 01:05 asubuhi.
UTANGULIZI
Kwa miaka mingi sasa sekta ya afya, masuala ya usimamizi wa fedha na kihasibu, manunuzi na mengineyo yamekuwa yakisimamiwa wa wahasibu ambao niwa kawaida kwa ajili ya biashara za uzalisha ambao wanatambulika kama “CERTIFIED PUBLIC ACCOUNTANT (CPA)”, kwa namna moja ama nyingine...
MIRADI YA SEKTA YA AFYA ILIYOPATA FEDHA JIMBO LA IGUNGA KWA MWEZI FEBRUARI 2023
1. Zahanati ya Mtunguru (Kata ya Mtunguru) - Tshs. 46,600,000/-
2. Zahanati ya Igogo (Kata ya Nanga) - Tshs. 27,600,000/-
3. Zahanati ya Mwamashimba (Kata ya Mwamashimba) - 29,600,000/-
4. Zahanati ya Itunduru...
Afya ni muhimu na ina thamani kubwa sana kwa binadamu. Bila ya mtu kuwa na afya njema hataweza kufanya chochote kile. Ndio maana nchi mbalimbali duniani zinaipa kipaumbele sekta ya afya ili kuhakikisha afya za watu zinakuwa imara, na endapo unatokea ugonjwa ziweze kukabiliana nao kwa haraka na...
Serikali ya awamu ya sita imekua na mwendelezo mzuri sana sekta ya afya, imejenga zahanati 786, na vituo vya afya 471, pia imekarabati na kuboresha huduma katika hospitali za almashauri 154, Bila kusahau mkoa wa kigoma ambao kimaendeleo ulisahaulika sana, nao umepata mashine ya CT-scan kwa mara...
Habari wadau.
Benki ya Dunia kupitia dirisha la kusaidia Nchi masikini la IDA ,imeidhinisha mkopo nafuu wa dola za Marekani Milioni 775 sawa na shilingi Tilioni 1.8 kwa ajili ya Tanzania..
Kwa Mujibu wa Taarifa iliyotolewa na WB na kinukiliwa na gazeti la daily news,mkopo huo Ni kwa ajili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.