Utangulizi.
Ninapenda kumshukuru Mungu kwa fursa hii ya kushiriki mawazo yangu katika jukwaa hili la JF - Stories of Changes. Leo, ninapenda kushiriki maoni yangu kuhusu sekta yetu ya afya, ambayo ni muhimu sana kwa ustawi wa jamii yetu. La! Hasha mawazo yangu hayana maana kuwa ninapingangana au...
UTANGULIZI
Serikali imeanzisha kampeni ya kupambana na usugu wa madawa na tiba za kiholela kwa wananchi kupitia kampeni iitwayo HOLELA HOLELA ITAKUKOST. Hii kampeni ni nzuri kwa jamii na ina matunda mengi chanya kwa sababu itasaidia kupunguza na kuondoa magonjwa sugu ya kuambukizwa, kutibu...
Katika miaka 5 hadi 25 ijayo, tunapoiangalia Tanzania tuitakayo, sekta ya afya inapaswa kuwa mojawapo ya maeneo yenye kipaumbele cha juu. Tanzania yenye afya bora inawezekana kwa kupitia maono ya kibunifu na mikakati madhubuti inayoweza kutekelezeka kwa kipindi cha muda wa kati na mrefu...
Karatasi ya Dhana(Concept paper): Matumizi ya Akili Bandia katika Sekta ya Afya ya Tanzania
1. Utangulizi
Sekta ya afya nchini Tanzania inakabiliwa na changamoto nyingi, ikiwa ni pamoja na upatikanaji mdogo wa huduma za afya bora, rasilimali chache za matibabu, na upungufu wa wataalamu wa...
Kumekuwa na hali ya kucheleweshewa kupata hela ya utafiti kwa ambao wamebahitika kufadhiliwa na wizara ya afya kwenye kusomea ubingwa na uzamili. Hii imeripotiwa na wanafunzi wa chuo fulani haswa cha serikali kudai hela zimechelewa kutoka ya utafiti ilihali kuna wengine wanamiezi miwili...
Sekta ya afya ni mojawapo ya sekta muhimu sana katika maendeleo ya taifa lolote, ikichangia kwa kiasi kikubwa ustawi na maendeleo ya jamii. Hata hivyo, Tanzania inakabiliana na changamoto kadhaa katika sekta ya afya ambazo zinahitaji kutatuliwa ili kuongeza ufanisi na ubora wa huduma za afya...
Utangulizi
Sekta ya afya ni msingi wa ustawi wa jamii na maendeleo ya kiuchumi. Ili kuifikia Tanzania tunayoitamani, ni muhimu kuunda mikakati madhubuti na bunifu itakayotekelezeka ndani ya miaka 5, 10, 15, na 25 ijayo. Andiko hili linaangazia njia za kuboresha sekta ya afya kwa kutumia...
Kwa mtazamo wangu, Wizara ya Afya ya Tanzania inaweza kuboresha huduma za afya kwa wananchi kupitia maeneo kadhaa:
1Miundombinu: Kujenga na kukarabati hospitali, vituo vya afya, na zahanati; kuwekeza katika vifaa tiba na teknolojia za kisasa.
Rasilimali Watu: Mafunzo endelevu kwa wahudumu wa...
Utangulizi:
Tanzania ina fursa kubwa ya kuboresha sekta ya afya na kuleta mabadiliko chanya kwa wananchi wake. Kupitia maono ya kibunifu na mikakati ya utekelezaji, tunaweza kufikia afya bora na endelevu kwa wote. Hapa chini ni mpango ni baadi ya maono ya kibunifu kuelekea maendeleo ya sekta ya...
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akizungumza wakati wa Mkutano na Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo na Sera za Mabadiliko ya Tabianchi wa Serikali ya Denmark, Mhe. Dan Jørgesen (hayupo pichani) aliyeambatana na ujumbe wake, ambapo wamefanya mazungumzo kuhusu ushirikiano wa nchi...
Afya bora au Afya dhaifu ni kigezo cha kutambua uhai wa Taifa lolote, Afya bora ni matokeo ya mambo mengi na moja wapo likiwa ni huduma bora katika nyanja mbalimbali. Miaka kadhaa iliyopita mgonjwa kufanyiwa CT SCAN ilikuwa nadra na kwa hospitali chache.
Kwa kutambua umuhimu wa huduma bora za...
Habari,
Afya ni miongoni mwa huduma muhimu na msingi katika katika Jamii yoyote. Katika kupata Huduma za Afya kuna michakato na mambo mengi katikati yake.
Je, umeshawahi kukutana na kero gani katika kupata Huduma za Afya Kishingo akusaidie kuisemea?
Ndio ni mageuzi kwani hatua alizochukua hazikuwahi kufanyika hapo nyuma ama kama zilifanyika basi zilikiwa kwa kiwango kidogo.
Dr. Hussein Ali Mwinyi ni Daktari kitaaluma yaani Dakatari wa Binadamu.
Tangu ameingia Madarakani Zanzibar kama Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi...
Asalaam Aleykum.
Ama baada ya salamu hizo, niangukie kwenye mada moja kwa moja.
Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na taharuki kwa wanufaika wa mfuko wa NHIF mara baada ya watoa huduma za Afya upande wa hospitali binafsi na zile zinazomilikiwa na Taasisi za dini na mashirika yasiyo ya...
Viongozi wa sekta ya afya wametakiwa kuwaeleza wananchi mafanikio yanayopatikana katika sekta ya afya ili kufahamu namna serikali ilivyoboresha huduma za afya nchini.
Naibu waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Festo Dugange ametoa maagizo hayo alipokuwa...
Naibu Waziri wa Afya Dk. Godwin Mollel, amewataka Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuhakikisha wanasimamia ubora wa huduma katika Hospitali na Vituo vya kutolea Huduma za afya na kuhakikisha wanawajengea uwezo watumishi ili kuepuka changamoto na uzembe unaofanywa na baadhi ya wataalamu wa afya...
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa serikali ya awamu ya sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya afya nchini ili kuhakikisha afya za wananchi zinaimarika
Dkt. Mollel amebainisha hayo wakati...
"Namshukuru Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyeniteua tarehe 08 Januari, 2022 kuwa Naibu Waziri wa Uchukuzi. Alituheshimisha sana Vijana, alituheshimisha sana wana Busokelo na Mkoa wa Mbeya kwa ujumla. Ninaamini nilifanya kazi kwa Weledi, Uaminifu na nina hakika bado...
Serikali ya Tanzania imepongezwa kwa kufanya mageuzi makubwa katika Sekta ya Afya pamoja na kutoa ushirikiano kwa mashirika ya kimataifa hususan Shirika la Afya Duniani (WHO).
Pongezi hizo zimetolewa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini, Dkt. Charles Sagoe-Moses wakati...
Siku hizi ulimwengu wa leo umekuwa ukitumia njia za mkato katika tiba za dalili ya ugonjwa wanaoupitia. Bila kujali kumwona Daktari kwa vipimo ili kugundua Magonjwa yanayo wakabili, Mfano Mtu anaweza akaumwa kichwa kisha kwenda duka la dawa na kuchukua dawa za kupunguza Maumivu bila kujali...
afya leo
afyanimuhimu
boresha afyayako
linda afyayako
matumizi sahihi ya dawa kwa faya
pima tambua afyayako
sektayaafya
semina za afya
tunza afya za jamii
umuhimu wa afya jamii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.