sekta ya afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Bima kwa wote: Tanzania kuweka rekodi Barani Afrika katika Sekta ya Afya

    Baada ya kuwezesha suala la Elimu bure kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha Sita na Mikopo ya Elimu ya Juu kwa wanaohitaji. Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan inakwenda kuweka rekodi nyingine Barani Afrika. Wananchi watakaotambuliwa kutokuwa na uwezo wataendelea kupatiwa huduma kwa...
  2. Hamza Nsiha

    SoC02 Kilio changu katika sekta ya Afya

    Kilio changu katika sekta ya Afya. Ndugu zangu watanzania, leo hii ninawaandikia uzi huu nikiwa na lengo la kuonesha kilio changu katika sekta yetu muhimu ya Afya kuhusuiana na baadhi ya mambo ambayo yamekuwa kizungumkuti katika jamii yetu kwa ujumla. Sekta ya afya ni moja kati ya sekta nyeti...
  3. N

    Sekta ya Afya imepewa kipaumbele

    Mwelekeo wa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassam ni ubora wa huduma na sio bora huduma. Watoa huduma za afya watapimwa kwa muda wa utoaji wa huduma za matibabu, vipimo na upatikanaji wa dawa, pamoja na utoaji wa huduma bora kwa wakina Mama na Watoto. Serikali inajenga...
  4. beth

    Mabadiliko ya TabiaNchi na athari zake kwenye Sekta ya Afya

    Mabadiliko ya TabiaNchi tayari yanaathiri Afya kwa njia nyingi ikiwemo kuvurugika Mifumo ya Chakula, kusababisha Magonjwa na Vifo kutokana na ongezeko la vipindi vya Hali mbaya ya Hewa. Kati ya Mwaka 2030 na 2050 Mabadiliko ya TabiaNchi yanatarajiwa kusababisha takriban vifo 250,000 zaidi kwa...
  5. K

    Ummy Mwalimu, karibu tena Sekta ya Afya. Ukifika Bohari ya Dawa MSD tupia jicho pia kwenye haya...

    Ndugu Mh. Waziri Ummy - Waziri wa Afya, kwanza kabisa tunakupongeza sana kwa kuaminiwa tena na Mh. Rais Samia kwa kuiongoza tena Wizara ya Afya - karibu sana. Nakumbuka mara bada tu ya kuapishwa na Mh. Rais kuingoza wizara yetu hii, ulihojiwa na waandishi wa habari na ukaahidi kuitembelea mara...
  6. Kamanda Asiyechoka

    Daraja la Tanzanite upotevu mkubwa wa pesa ambazo zingetumika kuimarisha sekta ya afya tungeokoa maisha ya akina mama wengi vijijini

    Unajenga daraja la bil 243 ili kurahisisha usafiri wa viongozi wa CCm kwenda kwao huko Osyterbay na masaki huku ukisahau kuwa kuna sekta ya afya ambayo bado ipo nyuma kabisa. Vituo vingi vya afya havina vifaa tiba na watumishi. Ni majengo tu ambayo yanafugia popo. Na hata raia wengi vijijini...
  7. Miss Zomboko

    #COVID19 Sekta ya Afya yaanza utafiti ikiwemo kubaini waliochanjwa wamepata Kinga kiasi gani

    Sekta imeanza kufanya tafiti sita (6) kuhusu tabia za virusi za virusi vya Korona kwa kuangalia 1) askari wa kinga mwili (antibodies); 2) uelewa, mtazamo na utendaji (KAP Study); 3) utafiti wa kimatibabu (Clinical trials); 4) kuchunguza mpangilio wa vinasaba (Gene sequencing); 5) hali ya kimelea...
  8. D

    Sekta ya afya yavamiwa na “viwavi jeshi”

    SEKTA YA AFYA YAVAMIWA NA “VIWAVI JESHI” Kila binadamu anahitaji kuwa na afya njema ili aweze kuishi maisha marefu yenye furaha na fanaka. Afya maana yake ni hali ya kutokuwa na ugonjwa kimwili, kiakili, kiroho na kijamii. Wizara ya afya ndio pekee iliyopewa jukumu la kusimamia afya za...
  9. G

    Kuna aina ya viongozi na watu ambao wangeishi zama fulani tusingekuwa na maendeleo wala ugunduzi wowote katika sekta ya afya

    Ndugu wanajukwaa Nimejaribu kuwaza aina ya mawazo na fikra za baadhi ya viongozi na raia walizonazo kwenye karne ya 21 , zikanipa shida kidogo Najiuliza Kama wangeishi zama za milipuko ya magonjwa mbalimbali tusingekuwa na chanjo Wala dawa yoyote, maana fikra zingekuwa hizihizi. Ni watu wepesi...
  10. D

    SoC01 Jinsi ya kuboresha Sekta ya Afya ili kuongeza pato la nchi

    Tanzania ni nchi ambayo pato lake bado lipo katika ukuaji japokuwa tupo katika uchumi wa kati ila tunasafari ndefu ya kufika pato la juu. Hili tutaweza kulifikia endapo nchi na wananchi wake tukawekeza nguvu kasi ambayo itazaa matunda mazuri kwa miaka ijayo. Leo ninawazo zuri ambalo kwa namna...
  11. S

    Matatizo ya Tanzania na namna ya kuyatatua

    Mapungufu yanayopatikana Tanzania na jinsi ya kuyasuluhisha ni kama ifuatavyo:- Sekta ya Afya Kwenye sekta ya afya kina baadhi ya sehemu serikali imefanikiwa ila kwa asilimia kubwa kina mapungufu mfano hospitali nyingi na zahanati zina upungugu wa madaktari, manesi, sawa na upungufu wa vitanda...
  12. DR Mambo Jambo

    SoC01 Njia bora za kukuza na kuimarisha Sekta ya Afya Tanzania

    Mara kwa mara kumekuwa na malalamiko makubwa saana kuhusu Mapungufu katika sector ya Afya hasa katika nchi zetu za Afrika {Sana sana katika nchi ziitwazo dunia ya Tatu (3rd world countries) Ambazo nyingi zipo katika kusini mwa jangwa la sahara} Mapungufu hayo katika sector ya afya kwa sasa...
  13. beth

    #COVID19 Indonesia: Sekta ya Afya yalemewa na ongezeko la wagonjwa wa COVID-19

    Hospitali katika Kisiwa cha Java Nchini humo zinakabiliwa na uhaba wa Oksijeni, Dawa, Vitanda na Wafanyakazi wakati huu ambapo ongezeko la maambukizi ya COVID19 limepelekea Sekta ya Afya kulemewa. Imeripotiwa kuwa, Hospitali kadhaa zimelazimika kufunga huduma za dharura kutokana na kukosa...
  14. L

    Utaratibu wa pande nyingi unaotetewa na China unahakikisha Afrika inapata haki katika sekta ya afya

    Tarehe 17, Juni mwaka 2020, mkutano wa kilele wa mshikamano dhidi ya COVID-19 kati ya China na Afrika ulifanyika, ambapo rais Xi Jinping wa China alitoa pendekezo la “kujenga jumuiya yenye hatma ya pamoja katika sekta ya afya kati ya China na Afrika”. Katika mwaka mmoja uliopita, China imekuwa...
Back
Top Bottom