SENEGAL: Rais Macky Sall ametangaza kuwa Mamlaka yake ya Uongozi katika Taifa hilo yatakoma rasmi Aprili 2, 2024 ingawa hajaweka wazi juu ya tarehe ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu.
Pia, katika taarifa yake, Rais Sall hajaweka wazi nani atakuwa Kiongozi wa Nchi kwa muda wote unaosalia hadi kufika...
SENEGAL: Rais Macky Sall ameeleza kuwa anakubaliana na maamuzi ya Baraza la Katiba lililotupilia mbali tangazo la kuahirishwa kwa Uchaguzi Mkuu ambao awali ulipangwa kufanyika Februari 25, 2025
Uamuzi wa kuahirisha Uchaguzi na Bunge kupitisha azimio hilo, umeibua vurugu na maandamano nchini...
SENEGAL: Wabunge wa chama Tawala na wengine wanaounga mkono Serikali, wamepiga Kura na kupitisha ombi la Rais Macky Sall, la kuahirisha Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Februari 25, 2024 ambapo sasa umesogezwa mbele hadi Desemba 15, 2024 .
Hatua hiyo imefikiwa baada ya Wabunge wa upinzani...
Hili jamaa linalo ongoza Senegal lina sababu gani za msingi kuhairisha uchaguzi ? Au ndio upuuzi wa kung'ang'ania madaraka kama kawaida ya maviongozi ya Afrika ?
Hivi hivi Senegal inaweza kuingia kwenye machafuko ya wenyewe kwa wenyewe halafu baadae lawama anaanza kupewa marekani na ulaya...
SENEGAL: Serikali imetangaza kusitisha Huduma za Intaneti Nchi nzima kwa maelezo kuwa inakusudia kuzuia usambazaji wa taarifa za chuki na uchochezi wa uasi baada ya Rais Macky Sall kuahirisha Uchaguzi Mkuu.
Imeelezwa kuwa kuahirishwa kwa Uchaguzi uliotarajiwa kufanyika Februari 25, 2024...
04 February 2024
Dakar, Senegal
RAIS WA SENEGAL AFANYA MAPINDUZI YA 'KIKATIBA' KWA KUFUTA UCHAGUZI MKUU
Rais wa nchi tulivu iliyokwepa Mapinduzi ya kijeshi ya Africa Magharibi ya Senegal imeigia katika mtihani mkubwa toka ipate uhuru wake. Hii ni mara ya kwanza katika historia ya nchi hiyo...
Mnaobeti chukueni hii Morocco anatoka leo kwa kufungwa na South Africa Goli 1 sasa au Goli 1 katika dakika 30 za baadae kama wasipofungana au katika Penati ambako South Africa watafunga ila kwa Morocco watakosa nyingi na Safari yao kwa AFCON itaishia rasmi Usiku huu huu.
Ni michuano ya 34 ya Mataifa huru ya Afrika ambayo itafanyika Ivory Coast kuanzia January 13 mpaka February 11 ya 2024.
Itashirikisha timu 24 ikiwemo sisi Tanzania. Michuano hiyo itafanyika katika majiji matano huku viwanja sita vitatumika katika michuano hiyo.
Hii ni mara ya pili kwa Ivory...
afcon
africa
bado
bingwa
congo
congo dr
dodoma
haya
mashindano
moyo
mpira
senegal
special
special thread
taifa
taifa stars
thread
timu
watanzania
zambia
Timu ya Taifa ya Senegal imefanikiwa kuingia Hatua ya 16 Bora ya Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), leo Januari 19, 2024 kwa kuifunga Cameroon magoli 3-1, hivyo kufikisha pointi 6 katika Kundi C ikiwa imesaliwa na mchezo mmoja.
Magoli ya Senegal yamewekwa wavuni na Ismaila Sarr...
Mchezaji mpira maarufu Sadio Mane juzi amefunga ndoa na mchumba wake, binti mdogo Mwenye umri wa miaka 18.
Mwamba ameamua kuoa dogo dogo kuwahi bikira kabisa kabla wahuni hawajaitoa.
Cha kushangaza wanasema ni long time girl friend wake. Nawaza tu mahusiano walianza binti akiwa na miaka mingapi?
Nchi ya Senegal imezindua mradi wa usafiri wa kwanza wa mabasi yaendayo kasi ya umeme (BRT) katika mji mkuu wa Dakar.
Katika hafla ya uzinduzi, Waziri Mkuu wa Senegal Amadou Ba alisema kuwa mradi huu ni miundombinu ya kisasa sana, na pia ni uvumbuzi mkubwa.
Mradi wa Dakar BRT, unaojivunia...
Nimeona Senegal wanazindua mradi wa Barabara za BRT ambazo zinatumia Umeme.
Yaani kama hiyo BRT ya Dar ila iwe ni mfumo wa kuchaji/Umeme badala ya diesel.
Kwangu binafsi naona hii ni miradi ya kipigaji na isiyosaidia watu maskini kuongeza kipato Chao badala yake ni upigaji wa wakubwa.
Miradi...
TikTok kwa kushirikiana na Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi imeendesha Mkutano wa kuelezea sera zake ikiwa ni miezi michache tangu Mtandao huo wa Kijamii uzuiwe nchini humo
Mkutano huo uliudhuriwa na Wawakilishi kutoka vitengo mbalimbali kama Vyombo vya Kutekeleza Sheria, Kitengo cha Usalama...
Mamlaka ya Senegal imechukua uamuzi huo ikiwa ni katika mwendelezo wa kupunguza nguvu ya wapinzani, siku chache tangu kumweka kizuizini kiongozi wa upinzani.
Mgogoro wa kuwania madaraka kati ya kiongozi wa Chama cha Pastef, Ousmane Sonko na Rais Macky Sall umesababisha maandamano ya vurugu na...
Senegal imezuia upatikanaji wa Huduma za Intaneti kwa kile kilichodaiwa na Waziri wa Mawasiliano kuwa ni kutokana na kuenea kwa "ujumbe wa chuki" kwenye Mitandao ya Kijamii.
Hatua hii inakuja baada ya Kiongozi wa Upinzani, Ousmane Sonko kukamatwa Wiki iliyopita na kushtakiwa tena Jumamosi...
Na pia GENTAMYCINE namuomba Rais Samia Suluhu Hassan awatazame upya Wasaidizi na Washauri wake kwani nimeanza kuona anahujumiwa na anaowaamini wakiongozwa na Mswahili mmoja asiyechoka na utajiri mkubwa alionao na pesa alizozificha kwa kuzigawa nchini Malaysia na Cyprus.
Kama Angola, Djibouti na...
Waokoaji wa Uhispania wanaendelea na msako wa mashua hiyo karibu na Visiwa vya Canary ambapo inadaiwa haijulikani ilipo tangu ilipoanza safari zaidi ya wiki moja iliyopita.
Kundi la misaada la Walking Borders linasema boti hiyo ya wavuvi ilisafiri kutoka Mji wa Kafountine, Kusini mwa Senegal...
Mzuka wanajamvi!
Kuna rafiki yangu msenegali ameenda kwao kumshughikia mke na mtoto wake Visa.
Tumewasiliana kwenye Whatsapp anavyonisimulia kwa kweli hali inatisha tofauti tunavyosoma kwenye vyombo vya habari.
Mjini Dakar mji mkuu wa Senegal hapaendeki. Mamia ya watu wameuwawa na vyombo...
Hali ya wasiwasi imeendelea baada ya mapigano mapya ya muda wote wa usiku ndani ya siku mbili tangu Mahakama imhukumu kiongozi wa upinzani, Ousmane Sonko (48) ambaye amehukumiwa kwenda jela miaka miwili.
Sakata hilo la Sonko limesababisha Nchi Washirika kutuma ujumbe wa kusikitishwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.