senegal

Senegal ( (listen); French: Sénégal; Wolof: Senegaal), officially the Republic of Senegal (French: République du Sénégal; Wolof: Réewum Senegaal), is a country in West Africa. Senegal is bordered by Mauritania in the north, Mali to the east, Guinea to the southeast, and Guinea-Bissau to the southwest. Senegal nearly surrounds The Gambia, a country occupying a narrow sliver of land along the banks of the Gambia River, which separates Senegal's southern region of Casamance from the rest of the country. Senegal also shares a maritime border with Cape Verde. Senegal's economic and political capital is Dakar.It is a unitary presidential republic and is the western-most country in Afro-Eurasia. It owes its name to the Senegal River, which borders it to the east and north. Senegal covers a land area of almost 197,000 square kilometres (76,000 sq mi) and has a population of around 16 million. The state was formed as part of the independence of French West Africa from French colonial rule. Because of this history, the official language is French. Like other post-colonial African states, the country includes a wide mix of ethnic and linguistic communities, with the largest being the Wolof, Fula, and Serer people, and the Wolof and French languages acting as lingua francas.
Senegal is classified as a heavily indebted poor country, with a relatively low Human Development Index. Most of the population is on the coast and works in agriculture or other food industries. Other major industries include mining, tourism and services. The climate is typically Sahelian, though there is a rainy season.
Senegal is a member state of the African Union, the United Nations, the Economic Community of West African States (ECOWAS), and the Community of Sahel-Saharan States.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    Senegal: Vyama vya Upinzani vyaitisha maandamano baada ya Kiongozi wao kuhukumiwa kifungo cha miezi 6

    Muungano wa Vyama vya Upinzani Nchini #Senegal umeitisha maandamano hayo siku moja baada ya Mahakama kumuongezea muda wa kifungo #OusmaneSonko kutoka miezi 2 hadi 6 kwa madai ya kumtukana Waziri wa Utalii Mame Mbaye Niangtou. Kwa mujibu Vyama hivyo, maandamano yanalenga kupinga uamuzi wa...
  2. B

    Nguvu ya Umma Senegal, funzo jingine kwetu

    Alisema baba wa taifa, "binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja." Kwa hakika Afrika ni moja na waafrika ni baba mmoja mama mmoja. Haikuwa tofauti kwa kinara wa upinzani Senegal Ousumane Sonko hadi nguvu ya umma ilipoamua kutoa hukumu yake ya haki: Ousumane Sonko sasa yuko huru baada...
  3. mugah di matheo

    Tunaobeza Sakho kitwa timu ya taifa Senegal tuweke akiba ya maneno

    Mie Sina mengi Ila tunaoweka comments humu mtandaoni tukibeza kuitwa kwa Sakho timu ya taifa, Mara anaenda kukaa Benchi, Mara hata Benchi hakai tuwe na akiba ya maneno yule mtoto anaweza kupewa dakika 10 akafunga goli Bora la mwaka Sasa sijui tutaficha wapi sura zetu. Tubeze lakini tuwe na...
  4. Mhandisi Mzalendo

    Usiyoyajua kuhusu Senegal

    Habari, Nchi nyingi zina utaratibu, mila na desturi za maisha. Kutokana na kuzunguka sehemu mbali mbali leo nmeonelea nikuambie yale yahusuyo Senegal (LAND OF TERANGA kama wanavyojiita yani ardhi ya UKARIMU) ambayo ni tofauti kidogo na nchi yetu ya Tanzania..... VISA ya Senegal kwa Mtanzania...
  5. ChoiceVariable

    Rais wa Senegal apanga kubadili Katiba ili agombee Urais mara ya Tatu

    Hii ndio Afrika. Rais wa Senegal Macky Sall amekana madai kwamba Kubadili Katiba na Kugombea awamu ya 3 ni Kinyume na Katiba. Wiki iliyopota Maelfu ya Waandamanaji Waliongia Barabarani kupinga hatua hiyo ya Macky Sall.. Ikumbukwe huyu alikuwa Kiongozi wa Upinzani na aliingia madarakani Kwa...
  6. JanguKamaJangu

    Senegal: Mmoja auawa katika maandamano ya kuipinga Serikali

    Tukio hilo limetokea Machi 20, 2023 Kusini mwa Senegal wakati wa vurugu zilizohusisha Wanausalama na waandamanaji wanaomuunga mkono Kiongozi wa upinzani, Ousmane Sonko. Imeelezwa kijana aliyefariki alipigwa risasi katika Mji wa Bignona wakati waandamanaji wakipinga Sonko kushtakiwa kwa tuhuma...
  7. Dan Zwangendaba

    Kuna Haja ya Kujifunza Kuhusu Soka kutoka Senegal

    Kwa kipindi cha miezi 12 iliyopita, nchi ya Senegal imeonyesha outstanding performance katika mchezo wa Soka Barani Afrika. Senegal ni:- 1. Mabingwa wa Kombe la Mataifa Afrika, 2. Mabingwa wa Kombe la Africa kwa wachezaji wa ndani, 3. Mabingwa wa Kombe la Soka la Beach kwa Afrika, 4. Sadio Mane...
  8. BARD AI

    Senegal: Ajali nyingine ya Basi yaua watu 19, ni ya pili ndani ya Januari

    Watu 19 wamefariki na 24 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea leo Januari 16, 2023, Rais Macky Sall amesema, ajali hiyo ya pili ni kubwa na kuwataka Madereva kuwa makini Barabarani. Kwa mujibu wa taarifa ya Rais kuptitia Twitter, ajali hiyo ilitokea kati ya miji ya kaskazini ya...
  9. JanguKamaJangu

    Senegal: Mabasi yagongana, Watu 40 wafariki, 87 wajeruhiwa

    Ajali hiyo imehusisha mabasi mawili ambayo yamegongana katika Mji wa Kaffrine, ambapo Rais Macky Sall ametangaza siku tatu za maombolezo. Uchunguzi wa awali umebaini kuwa chanzo cha ajali ni kupasuka kwa tairi kulikosababisha basi moja kuacha njia na kwenda kugongana na lingine uso kwa uso...
  10. JanguKamaJangu

    Senegal: Mwandishi anayeshikiliwa, afya yake yawa tete baada ya kugoma kula

    Pape Ale Niang, ambaye anajulikana kwa kuandika maandiko yanayoikosoa Serikali amekimbizwa hospili kutokana na kuweka mgomo wa kula akipiga mashtaka dhidi yake. Niang alikamatwa Novemba 6, 2022 akidaiwa ‘kufichua habari zinazoweza kudhuru ulinzi wa taifa’. Alifanya mgomo wa kula Decemba 2, 2022...
  11. M

    Senegal wameuza mechi nini: Sioni wakipambana!

    Kufungwa siyo hoja, bali hoja ni kuwa sioni roho ya upambanaji tuliyoizoea! Sitashangaa kama watakuwa wamevuta kitu kidogo toka kwa uingereza!
  12. S

    Utabiri: Senegal 2, England 1

    Huu ndio utabiri wangu kwa mechi baina ya Senagal na England inayoanza muda mfupi ujao. Makartatasi yanaipa nafasi England, ila leo kibao kitageuka licha ya timu za Afrika mara nyingi kupoteza katika mashindano haya zinapocheza na timu kutoka mabara menginre.
  13. JanguKamaJangu

    Senegal: Mbunge mwanaume asitisha hotuba aenda kumpiga mbunge mwanamke, Bunge likiwa ‘LIVE’

    Massata Samb aliyekuwa akitoa hotuba Bungeni alisitisha na Kwenda kumshambulia Amy Ndiaye Gniby kwa kumpiga kichwani, Gniby akajibu mapigo kwa kumrushia kiti Samb. Licha ya Wabunge wengine kuingilia kuwatuliza vurugu ziliendelea kwa wawili hao kuendelea kutupiana maneno na kutaka kushikana...
  14. JanguKamaJangu

    Kombe la Dunia 2022: Senegal yafuzu kuingia Hatua ya 16 Bora

    Ushindi wa magoli 2-1 umeifanya timu hiyo kuwa ya kwanza kutoka Afrika kusonga mbele katika michuano ya 2022 baada ya kuifunga #Ecuador katika Kundi A. Magoli ya Senegal yamefungwa na Ismaila Sarr na Kalidou Koulibaly, hivyo kuungana na Uholanzi iliyoifunga Qatar magoli 2-0. Mechi za Kundi...
  15. M

    TaifaStarz ni wazuri kuliko Senegal. Basi tu ipo siku tutatoboa

    Hakuna ubishi. Staz wanakipiga kuliko Senegal. Kila mtu anaona kwa macho yake. Au mnabisha?
  16. 44mg44

    FT Kombe la Dunia 2022: Mechi ya Senegal 0-2 Uholanzi, Novemba 21, 2022

    Wawakilishi hao wa Afrika wamepoteza kwa magoli 2-0 katika mchezo wa Kundi A kwenye michuano ya Kombe la Dunia 2022. Licha ya kuonesha ushindani mzuri kwa muda mrefu, #Senegal waliruhusu magoli dakika za mwisho kutoka kwa Cody Gakpo dakika ya 84 na Davy Klaassen dakika ya 90+9. Kwa matokeo...
  17. Execute

    Nawapongeza Senegal kwa Kufuzu Hatua ya 16 bora Kombe la Dunia 2022

    Baada ya kuwaona Ecuador na Qatar wakicheza hivi leo, ninaona Senegal tayari ameshapata point sita kutoka hizi timu mbili. Mane asihangaike na makundi, asubirie kupona vizuri ili acheze mechi ya mtoano. Ninaamini Senegal atapata sare na Uholanzi ambaye pia yupo kundi hilo.
  18. JanguKamaJangu

    Senegal: Kiongozi wa upinzani afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za ubakaji

    Ousmane Sonko, mwenye umri wa miaka 48, amefikishwa katika Mahakamani Jijini Dakar huku wakili wake akiitaja kesi hiyo kuwa ni njama yaSerikali na inapaswa kutupiliwa mbali. Mwanasiasa huyo aliyeshika nafasi ya tatu katika uchaguzi wa Rais Mwaka 2019, ameshaweka wazi nia yake ya kugombea Urais...
  19. Lady Whistledown

    Senegal: Wahudumu 3 wa afya wakamatwa kwa uzembe baada ya kifo cha mama na mtoto wakati wa kujifungua

    Daktari wa magonjwa ya wanawake, daktari wa ganzi na muuguzi wa wa hospitali ya Kedougou wanashikiliwa kwa mahojiano kutokana na tuhuma za uzembe katika upasuaji uliosababisha kifo cha mjamzito na mwanae baada ya kudaiwa kupoteza damu nyingi Chama cha Madaktari wa Wanawake na Madaktari wa Uzazi...
  20. Lady Whistledown

    Senegal yasaini makubaliano ya amani na Waasi wa MFDC

    Rais wa Senegal Macky Sall, chini ya Upatanishi wa Rais wa Guinea Bissau, Umaro Sissoco Embalo ametia saini Mkataba wa amani na Waasi wa Chama cha Movement of Democratic Forces of Casamance (MFDC) unaotajwa kuweza kumaliza mzozo uliodumu kwa miongo kadhaa Inaelezwa kuwa Waasi wa Jimbo hilo...
Back
Top Bottom