Rais wa Senegal Macky Sall, chini ya Upatanishi wa Rais wa Guinea Bissau, Umaro Sissoco Embalo ametia saini Mkataba wa amani na Waasi wa Chama cha Movement of Democratic Forces of Casamance (MFDC) unaotajwa kuweza kumaliza mzozo uliodumu kwa miongo kadhaa
Inaelezwa kuwa Waasi wa Jimbo hilo...
Taarifa katika Ukurasa Rasmi wa Twitter wa Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango inasema, "Leo tarehe 06 Julai, 2022 nimeagana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kabla ya Mhe...
Wahamiaji 14 wamefariki Dunia baada ya boti waliyokuwa wakiitumia kushika moto katika Jimbo la Kasamance Nchini Senegal.
Safari yao ilikuwa ni kuelekea Ulaya kupitia Visiwa vya Kanari vya Hispania.
Meya wa Mji wa Kafountine jimboni hapo, David Diatta amesema wamefanikiwa kupata mili 14 baada...
Shirikisho la soka duniani Fifa limeamuru mechi ya marudiano ya mchujo ya Kombe la Dunia kati ya Misri na Senegal.
Haya yanajiri baada ya Chama cha Soka cha Misri (EFA) kuwasilisha rufaa iliyofanikiwa dhidi ya Senegal kikisema timu yake ya taifa ilifanyiwa ubaguzi wa rangi na vitisho ilipokuwa...
Jana hali yangu ya afya haikuwa njema sana,ilibidi ninywe dawa ambazo kumbe zilinipa usingizi.Wakati huo huohuo nilikuwa nasubiri Kwa hamu wanaume wa Kiafrica. Senegal na Cameroon wapindue meza!
Baada ya kuamka nilikimbilia kwenye simu yangu kuitafuta mechi live, baada ya kuserch kidogo...
Nimetizama mpira kati ya Senegal vs Egypt, licha ya mchezo mzuri ulioonyeshwa na timu zote lakini mashabiki wa Senegal wametia aibu
Walikuwa wakiwalenga machoni wachezaji wa Egypt na mwanga mkali wa laser kipindi wanacheza na walipokuwa wakipiga penalti
Hili limewaathiri sana wachezaji wa...
Team ya taifa ya chini ya umri wa miaka 16 ya DR Congo imeibuka bingwa wa mashindano ya CAF ya vijana chini ya miaka 16 (U16 Africa Youth/Schools Tournament) baada ya kuifunga Senegal kwa goal 3-1.
Hivi ndiyo vikosi vya team zote mbili.
Mabingwa DR Congo.
Mshindi wa pili Senegal...
Senegal imemzawadia kila mchezaji wa timu ya taifa ya kandanda zawadi ya pesa taslimu na mashamba kufuatia ushindi wao katika Kombe la Mataifa ya Afrika.
Kila mchezaji wa timu alipokea zaidi ya $87,000 (zaid ya TSH milioni 200) na kiwanja katika mji mkuu, Dakar, na katika mji jirani wa...
Sadio Mane ametimiza ndoto yake ya kihistoria ya kuisaidia timu yake ya taifa Senegal kushinda kwa mara ya kwanza taji la AFCON.
Mane ambaye ni staa wa Liverpool ana utofauti na mastaa wengi matajiri hasa katika matumizi ya fedha zake.
Ametokea familia ya kimasikini ambayo ilikabiliwa na...
Rais wa Senegal Macky Sall, ametangaza leo Jumatatu Februari 7, 2022 kuwa ni siku ya mapumziko maalum nchini kwake kwa ajili ya kusherehekea ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika #AFCON2021 waliochukua usiku wa kuamkia leo kwa kuifunga Misri kwa penati 4-2.
Sall, alikuwa njiani kwenda katika...
#TeamSenegal imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) baada ya kuifunga #TeamMisri kwa penati 4-2 katika mchezo wa fainali ulichezwa kwenye Uwanja wa Olembe jijini Yaounde, Cameroon.
Timu hizo zilimaliza dakika 120 za mchezo huo kwa suluhu ya 0-0, hivyo kwa matokeo hayo...
Kwanza niipongeze timu ya taifa ya mpira wa miguu ya cameroon kwa kupindua meza jana 5.02.2022 dhidi ya timu ya taifa ya burkinafaso baada ya kutoka nyuma kwa mabao 3 kwa bila na ndani ya dakika 20 za mwisho wakasawazisha na hatimaye kupata ushindi wa penalt kwenye mashindano ya afcon kumtafuta...
Watu watano wanaripotiwa kutiwa mbaroni katika nchi za Tanzania, Ghana na Senegal wakihusishwa na jaribio lililotibuliwa la shambulio dhidi ya Watalii wa Israel, Kituo cha Televisheni cha Channel 12 cha Israel kimeripoti.
Kituo hicho kimenukuu taarifa za kiintelijensia zikionesha kuwa watu hao...
Karamba Diaby alishinda jimbo la Halle (Saale) kwenye uchaguzi mkuu nchini Ujerumani tarehe 26 Septemba.
Dk Karamba alizaliwa Senegal akafika Ujerumani akiwa mwanafunzi mnamo mwaka 1986. Baada ya kuhitimu shahada ya uzamivu ya kemia alianza kujihusisha na siasa akajiunga na Chama cha...
Jeshi Nchini Guinea limetangaza mchakato wa kufungua taratibu Mipaka na Nchi jirani ambayo baadhi ilifungwa baada ya Rais Alpha Conde kupinduliwa na mingine ilikuwa imefungwa miezi kabla
Kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, Rais Conde aliamuru Mipaka ya Senegal, Sierra Leone na Guinea-Bissau...
Takriban watu 48 hawajulikani walipo baada ya boti iliyokuwa imebeba abiria wapatao 60 kupinduka Pwani ya Kaskazini mwa Nchi hiyo. Abiria 11 ambao 8 ni Raia wa Senegal na 3 ni Raia wa Gambia wamekolewa
Kumekuwa na ongezeko kubwa la Wahamiaji wanaofanya safari hatarishi kutoka Barani Afrika...
Mwanafunzi wa chuo kikuu huko Senegal yuko amejipata mashakani baada ya kuvalia kama mwanamke ili kumfanyia mpenzi wake mtihani wa somo la Kiingereza.
Picha za Khadim Mboup akiwa amevalia nguo za wanawake zimesambazwakatika mitandao ya kijamii na katika vyombo vya habari nchiniSenegal...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.