Habari zenu wadau wa JamiiForums, poleni na majukumu ya kila siku.
Nimekua nikifuatilia kwa karibu hasa taarifa zinazoweza na kuniwezesha kuitembelea mbuga ya wanyama ya Serengeti kwa muda sasa.
Ila sijafanikiwa kupata taarifa sahihi hivyo ningewaomba wale wenye uzoefu wa kuzitembelea mbuga za...
Wahenga wanasema vya kale dhahabu,mavi ya kale hayanuki,na uzee dawa lakini hali ni tofauti kwenye upande wa bongo fleva,ya kale yamekua kokoto za Kunduchi,wazee wetu pumzi zimekata,mistari wamesahau,umiliki wa jukwaa zero kabisa ....wateule hasa Jafarai na Mchizi mox hamna kitu kabisa,Salute...
Polisi wilaya ya Serengeti mkoani Mara inamshikilia mkazi wa kitongoji cha Chamoto, Ikwabe Gibogo (58) kwa tuhuma za kumwingilia kimwili mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka (11).
Mwenyekiti wa Kitongoji hicho, Chacha Nyambuche amekiri mtuhumiwa kukamatwa Januari 23, 2021 usiku baada ya...
Kama Watanzania wote kwa uwingi tulionao na kuweke Uzalendo mbele kila mtu kwa nafasi yake atangaze vivutio vya Utalii vya hpa Nchini naamini Taifa litaongeza mapato kupitia secta hii muhimu ya Utalii Nchini.
Pia na sisi Watanzania tujenge utamaduni wa kwenda kutembelea vivutio vya Utalii...
Jana nimeletewa barua hii baada ya Kamati ya maadili kuketi, wamenihukumu bila hata kuniandikia tuhuma zangu wala kuniita kujitetea kwenye Kamati. @TumeUchaguziTZ fundisheni wasimamizi wenu kufata kanuni za Uchaguzi na Maadili ya Uchaguzi.#SitaombaRadhi.
Kupitia akaunti yake ya Twitter Mgombea Ubunge wa Jimbo la Serengeti kwa tiketi ya CHADEMA, Bi. Catherine Ruge amelalamika kudhalilishwa n polisi ikiwamo kupigwa mabomu, kuchaniwa nguo na kushikwa baadhi ya sehemu za mwili.
CATHERINE ATOA UFAFANUZI WA MADAI YA KUNYANYASWA NA POLISI
Akitoa...
Licha ya kipigo, alifikishwa mahakamani na baadae kupewa dhamana.
Habari na picha hii ni kwa mujibu wa tweet ya Chadema Kanda ya Serengeti
Pia soma > John Heche: Mgombea wetu wa ubunge Serengeti, Catherine Ruge na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya, ndugu Garatwa, wamepigwa na polisi na kuchaniwa nguo
Heche ameandika ujumbe huu katika akaunti yake ya twitter:
Nimepokea taarifa kutoka Serengeti mgombea wetu mh. Catherine Ruge, Mwenyekiti wetu wa wilaya mh Francis Garatwa, na watu wengine waliokua ofisi ya Mkurugenzi kudai mabadiliko ya ratiba, wamevamiwa na polisi wamepigwa na kuchaniwa nguo...
Serengeti kuna mgombea mwingine pasua kichwa wa CHADEMA aitwae Bi Catherine Ruge maarufu kama Simba jike wa Serengeti.
Hapa Lissu akiwa Nyamongo ambapo atatua Serengeti muda mfupi ujao kunakotarajiwa maelfu kwa maelfu ya wananchi kumlaki.
Kupitia akaunti ya Twitter ya Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu ameandika
Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni. Wamepiga na kuumiza wananchi waliotupokea. Nawaambia Jeshi la Polisi mfanye kazi yenu kwa weledi...
chadema
eneo
jeshi
jeshi la polisi
kampeni
lissu
lisu
machozi
nyamongo
polisi
risasi
serengeti
serikali
tanzania
tarime
tume ya uchaguzi
tundu lissu
uchaguzi
vijana
Wakuu natanguliza salamu za ukombozi, baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja.
Ni siku nyingine tena ambapo Mh Tundu Lissu mgombea urais anayeongoza kwenye kura za maoni anaendelea na safari yake ya kuwaomba watanzania wenzake wampe ridhaa ya kuwaongoza, leo ikiwa bado yuko Mkoani...
Wagombea wawili wa Ubunge katika Jimbo la Serengeti mkoani Mara wameacha kuendelea na kinyang’anyiro cha kupambania kupata ubunge wa Jimbo hilo na kuhamia CCM.
Mmoja wa wagombea hao ni Daniel Daudi ambaye alikuwa anagombea kupitia, NCCR-Mageuzi na Amosi Roswe aliyekuwa anagombea kwa tiketi ya...
POSITION: CIVIL ENGINEER (WATER SUPPLY)
Serengeti Limited
Duties and Responsibilities
Plan and schedule the work and efficiently organize the site/facilities in order to meet an agreed program of deadlines.
To attend regular meetings with clients, architects and consultants and keeping them...
Viongozi wa Chadema wa Jimbo la Serengeti wameongea na Waandishi wa habari ili kutoa ratiba kamili ya Mgombea wao wa Urais Mh Tundu Lissu ndani ya jimbo hilo , ikiwa ni pamoja na kueleza eneo utakapofanyika mkutano huo.
Lakini cha kushangaza muda mfupi baadaye eneo hilo likasimikwa bango la...
Habarini wanajukwaa
Sekta ya utalii ni sekta ambayo inaliingizia taifa letu fedha nyingi za kigeni, pia ni sekta inayokua kwa kasi kutokana na uwepo wa vivutio vingi tulivyobarikiwa hapa nchini.
Kama ambavyo tatizo la korona taratibu limeanza kuzoeleka na watu duniani kote ,ni matarajio ya yetu...
Sources pale Wizarani zinasema mabwawa kwenye mto mara ambao ni lifeline kwenye Serengeti ecostsytem ziko kwenye finalisation, na ndani ya the coming weeks mzee wa Kenyatta atazindua kazi rasmi.
Tumpe hongera kwa kusimama kidete kwa hili swalaa, maana kelele zipo nyingii ila nyingi ni toka...
Na Malisa GJ
Saniniu Laizer mchimbaji mdogo wa madini huko Mererani ameamka Bilionea baada ya kupata mawe mawili ya Tanzanite moja lenye uzito wa 9.2KGs na jingine 5.8KGs yenye thamani ya TZS 7.8 Bilioni.
Watu wengi wanajadili kuhusu Tanzania kumpata Bilionea mpya. Ni jambo zuri lakini kuna...
Hongereni sana kwani mmewaza sawa sawa maana haikuwa kazi rahisi na hata sisi wengine humu mitandaoni tulipendekeza kitu chenye kufafana na hiki:
Wabunge wa Bunge la 11 na waliokuwa wenyeviti wa halmashauri kwa tiketi ya CHADEMA katika kanda ya serengeti leo wametunukiwa vyeti vya heshima kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.