serikali ya ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Serikali ya CCM ikubali kulamba matapishi ya makosa yake; yaani unatumia 5% ya GDP kujenga bwawa la umeme halafu uagize umeme nje? Mnajisikiliza??

    Watu wameng'ang'ania kujadili uhalali wa kuagiza umeme nje ya nchi. Kuna shida ingine kubwa haimulikwi. Tatizo haswa la Tanzania ni kwamba, baada ya ule mradi wa bwawa la umeme kupitishwa na kuanza rasmi, kuna kitu kingine kilipaswa kufanywa sambamba na mradi wa bwawa la Nyerere, nacho ni Power...
  2. Naona sasa uchawa umezidi hapa nchini. Nashauri serikali ya CCM ianze kugawa tuzo za machawa

    Kulikua na haja gani mheshimiwa chawa kuvaa nguo ya aina hii? Hakika Anko Magu alituingiza choo cha kike.
  3. A

    Pre GE2025 CHADEMA kutoshiriki uchaguzi mkuu 2025 litakuwa ni pigo kubwa sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan na serikali ya CCM kidiplomasia na kiutawala

    No reforms, no election ni mfupa mgumu sana kwa CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa kitaifa October 2025. Kama serikali ya CCM italazimisha kufanya uchaguzi pasipo ushiriki wa chama kikuu cha upinzani Tanzania yaani CHADEMA basi litakuwa ni pigo kubwa sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan kidiplomasia...
  4. Pre GE2025 Mwenyekiti UWT Taifa: Lissu asiitishie serikali ya CCM "atulizane"

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Mary Pius Chatanda amewataka Watanzania kuyapuuza maneno ya Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na wawe na imani na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi. Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
  5. Nimeamua kuunga mkono Juhudi za Serikali ya CCM katika kuwaletea watanzania maendeleo

    Wakuu baada ya kujitafakari kwa kina kwa kipindi kirefu Mimi Wakusoma 12 kwa kushawishiwa na vipaumbele vya awamu ya SITA na kwa namna maendeleo hasa kwenye sekta za elemu na afya nimeamua kujiunga na chama Cha mapinduzi. Sababu zilizonifanya Mimi ambaye nilikuwa radical kwenye maswala ya...
  6. Hali halisi ilivyo Ajira portal: Hii ndiyo serikali ya CCM inayojinasibu kumwaga ajira kwa maelfu ya wahitimu

    Katika maelfu na maelfu ya wahitimu walipo mitaani, Serikali haina nafasi hata moja ya kumuajiri mhitimu wa Accounting? Pamoja na wingi wa wahitimu hususan vijana, serikali imeamua kuwafungia vioo vijana Gen Z! ina maana Serikali nzima, pamoja na thinktank zake imefeli kabisa kuokoa taifa la...
  7. Pre GE2025 Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa amvaa Wasira, adai Serikali ya CCM imetengeneza ugumu wa maisha

    Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Wakili Deogratias Mahinyila akiwahutubia wananchi wa Mpwapwa mkoani Dodoma amemvaa vikali Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira na kudai kuwa Serikali ya CCM imetengeneza ugumu wa maisha
  8. Dkt. Abbas afanya ziara TAFORI, ahamasisha watafiti kufanya tafiti za kimaendeleo

    Na Mwandhishi Wetu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbas amewahamisisha Wataalamu wa utafiti wa Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI), kuandaa miradi mbalimbali ya utafiti yenye kuleta maendeleo chanya ndani ya Taasisi na katika sekta ya Misitu na ufugaji...
  9. Serikali ya CCM: Punguzeni gharama za Mafuta ya Kupikia, bei zinapanda kwa kasi!

    Hivi, serikali inayowajali watu inaowaongoza na kuwasimamia, kweli inakosa mbinu za kuhakikisha bidhaa muhimu kama mafuta ya kupikia inashuka bei ili kupunguza gharama za maisha? Sababu kuu ya kupanda kwa gharama za vyakula mitaani ni mafuta ya kupikia kuwa juu mno. Kwa mfano, maeneo ya mama...
  10. Tanganyika Packers palipokuwa Kiwanda kilichotoa ajira zaidi 2000, pamefunguliwa Kanisa. Watu wanauziwa udongo, mafuta na maji

    Tanganyika Packers LTD, Kawe, Dar es Salaam 1945-1975. Kilikuwa kiwanda cha kuchakata na kusindika nyama kwa ajili ya kuuza ndani na nje ya nchi. Eneo la Mloganzila (Muhimbili) lilikuwa ni eneo la Tanganyika Packers na ndilo eneo lililokuwa linatumika kuwapokea na kunenepeshea ng’ombe...
  11. Hivi ndivyo Wakenya wanavyo tafutiwa kazi Tanzania, nyie mkisugua benchi na mkingoja Mbowe aandamane kuwatetea

    Hizi ni kazi ambazo zinaweza sana fanywa tu na Watanzania, ila sasa sijui ni wawekezaji au la, wanatafuta Wakenya, na inaonekana hawataki Watanzania. Tena analipwa pesa nzuri na nyumba bure na Chakula na matibabu. Haya yako sana kwenye utalii huko ndio usiseme, unakuta hadi Wahasibu ni...
  12. Pre GE2025 Kwa Respond hii ya Kariakoo, kuirudisha Serikali ya CCM madarakani itabidi tujitafakari

    Tukio la maafa limetokea katikati ya jiji eneo lenye watu wengi saa 3 asubuhi, lakini vyombo vyote vya uokozi vimechukua masaa kujitokeza kuokoa watu waliochini hadi Raia wasio na dhana za uokozi wanatumia mikono mitupu kuokoa watu hii ni aibu kwa serikali hii. Askari hawaonekani kama wale wa...
  13. Serikali ya CCM na mkakati wa kuua “opposition generation” kupitia “election fraud”

    Mwaka 2014 na Mwaka 2015 Chama cha Mapinduzi (CCM) kilikuwa kimeingia rasmi kipindi cha kuanguka na kutoweka katika medani za siasa. Matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu, mtawalia pamoja na kuhujumiwa sana, yalionesha wazi kushindwa vibaya kwa CCM na kama isingekuwa...
  14. Ushindi wa Trump ni habari mbaya kwa Tanzania na serikali ya CCM

    Ijapokuwa Rais Samia atamtumia Rais Trump salamu za pongezi kinafiki, ushindi wa Trump ni mwiba mkali kwa serikali ya Tanzania na CCM. Sote tunafahamu kuwa serikali ya CCM inapenda misaada na mikopo kutoka Marekani na nchi nyingine tajiri za dunia na kisha kuitumia misaada hiyo kwa manufaa ya...
  15. Serikali ya CCM na wahusika wote wanaohusika kuhujumu mradi wa SGR wafikishwe mahakamani

    July 04, 2022 Rais Samia Suluhu Hassan alisema serikali ya CCM itanunua vichwa na mabehewa vilivyotumika (mtumba) na vyenye hali nzuri watavitengeneza.Mradi mkubwa wa thamani ya Sh16 trilioni kutumia mabehewa na vichwa (used), hii sasa ndiyo hujuma yenyewe. Hata hakuna ambaye anahujumu mradi...
  16. Kwanini Benki Kuu iliyo chini ya Serikali ya CCM imeamua kubadili Noti za Tanzania mwakani ambako pia kuna Uchaguzi Mkuu?

    Endeleeni tu kudhani Watu wote hatukunywa Maziwa na hatukula Samaki wa Sato na Sangara ili tuwe na Akili Kubwa za Kuwatangulieni kujua kile mlichokipanga au kuna mbinu gani mmeitumia hapa kwa Zoezi hili na hasa kuelekea huo mwaka wa Uchaguzi Mkuu (2025)
  17. Serikali ya CCM haitaki kabisa kuwekeza kwenye maendeleo ya watu, wanawekeza kwenye vitu, Umasikini ni mtaji wao

    Hii nchi zinaimbwa miradi kuchwa nzima kuanzia Madaraja,mara Barabara mara reli na kadhalika. Ila huko huko kwenye hizo Barabara, Madaraja, reli kuna umasikini wa kutisha kabisa, Kule Kigongo Busisi vuka ingia hapo Sengerema kuna Poverty ya kutisha kabisa, Sogea hapo Geita kwa Msukuma kuna...
  18. Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) yakemea vitendo vya utekaji, ukatili na mauaji yanayoendelea nchini

    Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) imekemea vitendo vya utekaji, ukatiili na mauaji yanayofanywa na genge la watu wasiojulikana na kulaani tukio la kuchukuliwa na kuuawa kikatili kwa kada wa Chadema, Ally Kibao. CCT ni Taasisi inayowakilisha Umoja wa Madhehebu ya Kikristo ya Kiprotestanti pia...
  19. L

    Nitamtetea na kumsemea Rais Samia na Serikali ya CCM mpaka dakika ya mwisho bila kukatishwi tamaa kwa namna yoyote ile

    Ndugu zangu Watanzania, Mimi nilishajitolea kwa dhati ya moyo wangu na kwa hiyari yangu pasipo kulipwa kama ambavyo wengine wanafikiria hivyo. Mimi nilishaamua kama mwana CCM kuwa sitakaa kimya wala kunyamaza wala kuona aibu wala kuogopa kumtetea Rais Wangu Mama Samia. Nilishakataa kabisa...
  20. Kituko cha serikali ya CCM: Wanajenga Zahanati vijijini za kuombea kura si za kutatua changamoto za kiafya katika jamii

    Sasa karibu kila kijiji kina zahanani na kwenye kata kuna kituo cha afya. Nadhani lengo la CCM ni kupata kura ili waendelee kutawala na si kutatua changamoto za wananchi ndani ya jamii. Sasa zahanani ina watumishi wawili tu itaendeshwaje? Kijijini kwetu huko ndani ya wiki moja lazima angalau...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…