Pasi na kupepesa macho dhidi ya wahuni sikia mambo:
"Kama si fitna, zengwe au kurogwa tegemea kujikuta ana kwa ana na wasiojulikana."
Ama kwa hakika wahuni si watu wazuri!
Tumesikia wakitishiwa watu kuuwawa. Uthibitisho kuwa wahuni huupiga mwingi hadi nje ya CCM.
Tunaporumbana nao kuhusu...
Kwa mara nyingine serikali ya CCM imechanwa laivu. Haina aibu, huruma wala utu. Ajabu na kweli yenyewe inaona sawa tu.
Inamwakilisha nani kwenye minajili hii? Labda walamba asali, wahuni au wale vijana wa hovyo?
Yamejiri laivu kwenye mkutano wa wafanya biashara Kariakoo na Waziri Majaliwa...
Kilichoelezwa kwenye ripoti ya CAG kinatosha kutuaminisha kwamba serikali ya CCM ni wezi? Au itoshe kusema serikali ya CCM imeshindwa kusimamia sheria? Au basi tuseme serikali ya CCM imelegalega?
Ukiambiwa andika ufanisi wa serikali ya CCM utawatambulisha Kwa kauli gani Kati ya hizi hapa juu?
Mabilioni ya pesa za umma mnatafuna.
Mnajenga madarasa hewa kwa tril 1.3
Watoto wanafariki wakivuka mto kwa mtumbwi kwenda shule. Mnakula pesa.
Hamjali maisha ya wananchi mpaka wafe.
========
Serikali kujenga daraja mto uliouwa wanafunzi Kigoma
Kigoma. Wakati miili ya wanafunzi wawili kati...
Hii ndiyo serikali yetu kwenye ubora wake:
Kwa mtaji huu kuna haja ya kuziangalia upya zinazoitwa siri za rerikali.
Pia Kuna haja ya kukiangalia upya kinachoitwa "collective obligation" kwenye kuitetea serikali.
Kinacho wagombanisha viongozi wa CCM ndani ya serikali kila mtu kutaka jina lake liwe kwenye miradi ili kuonekana bora.
Sishanagi mwengine njia ya kwenda Singida kajiandika kwenye mawe labda sababu mda wa kupata jina la mradi ujafika.
Kupeana majina kwenye miradi leo ndio chanzo cha kuonekana...
Wananchi tunalalamika na mzigo wa kodi usio wa haki.
Wanaanza kudai kodi ya pango day 1 umepangisha baada ya safari ndefu Isiyowahusu wao ya ujenzi wa nyumba.
https://www.jamiiforums.com/threads/wizi-wa-tra-kupitia-kodi-ya-pango.2058986/
Wao Kodi hawalipi, ila sisi.
Kulikoni bus hili la...
This is ridiculous!
Ndio unavyoweza kusema!
Sophia mjema Katibu mwenezi wa CCM ameitaka Serikali yake ya CCM kugawa haraka vishikwambi Kwa walimu na ametoa wiki Moja Tu..
Anyway
Wanabodi, kama ilivyokuwa katika awamu ya mwisho ya Kikwete, vilianzishwa vikundi na vyama vya ushirika na kukopeshwa mamilioni ya shilingi bila riba. Baada ya utawala wa Magufuli kuingia, vikundi na vyama hivyo vya ushirika vikafutiliwa mbali na kutokomea na kodi zetu.
Mchezo huo ni kama...
Ubadhirifu na wizi, matumizi mabaya ya fedha za umma na rasilimali za taifa kutumiwa kwa maslahi ya watu wachache kumeongezeka sana.
Mbaya zaidi Rais amesikika mara kadhaa akisema kwamba upigaji kwenye Halmashauri ni mkubwa sana. Tozo zinapigwa, fedha za miradi zinapigwa, fedha za misaada...
Kilio cha Wananchi kimepuuzwa na SERIKALI. Kwa Hali ilivyo ni wazi kwamba unyonyaji huu unabaraka za mamlaka za juu. Sasa imekua ni mashindano ya kukandakiza wanyonge.
Baada ya kauli ya waziri kuwa Bando za internet ni huruma ya ziada, Sasa Makampuni uameshusha viwango zaidi. Ni kama wamepewa...
Yaani ukiwakuta wamevaa zile uniform za Kijani wanavyoonekana kama Spinach utadhani ni Watu innocent na wenye maono makubwa kwenye Maendeleo ya nchi. Subutuuuuu!!
Ni aibu unapita mikoani eti Kuna Watu wanachota maji kwenye madimbwi, juzi nilikua safarini huko, Kuna vijiji viko barabarani kabisa...
Uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 uligubikwa na sintofahamu kubwa hadi kupelekea mchakato mzima kugubikwa na ukengemaji wa kuwaengua wagombea wa vyama mbadala na kuwapitisha wagombea wa CCM kwa nguvu ya kupita bila kupingwa
Mwaka wa Uchaguzi Mkuu 2020 ndiyo ulikuwa kilele cha janga la...
Wananchi wajipange na kununua majenereta.
Wasio na uwezo wa majenereta wanunue taa za kandiri na koroboi.
Wenye pesa za uhakika wanunue Solar power.
This is too much.
Serikali ya CCM chini ya Rais Samia Imeamua kwa makusudi kutuacha watanzania na kuangali maslai yao.
Hali ni mbaya sana mtaani vyakula bei hazishikiki.
Vyakula vinavushwa mipakani na kwenda nje ya nchi sisi hatupati.
Imefika hatua sasa hivi mabwenyenye wananunua mzigo bado upo shambani...
Kauli kuwa maiti ziliokotwa kwenye viroba wakati wa utawala wa hayati JPM ni kauli nzito, sio kauli za kubeza hata kidogo.
Inaonekana Membe ana ushahidi wa kutosha na ana siri nzito juu ya hizi tuhuma.
Mpaka sasa baadhi ya Watanzania hawajulikani walipo. Inahisiwa waliuawa na kutupwa kwenye...
Kwenye hili la Jeshi la Polisi wa kulaumiwa 90% ni Serikali ya CCM na 10% ni lawama kwa jeshi lenyewe.
Ni ukweli usiopingika jeshi letu la polisi lina changamoto nyingi kuliko madhaifu yake, na hata hayo madhaifu yake huchangiwa kwa kiasi kikubwa na changamoto linazopitia.
Tiririka nami...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.