Ni lazima wajitokeze watubu na kuwaomba radhi waTanzania walio wengi kutokana na kadhia ya Uchaguzi mkuu uliopita,hakuna asiejua kilichotokea.
Watafanya mengi mazuri ya kufurahisha lakini yatakuwa hayana baraka ,hivi hela ya wizi inatenda Jema mbele ya Mwenyezi Mungu?
Wanatia huruma sana...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuanzia sasa Serikali itagharamia matibabu ya aliyekuwa Mbunge wa Mikumi Joseph Haule Profesa J anayetibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili hadi hapo atakaporuhusiwa kurudi nyumbani.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipofika Muhimbili leo...
akaunti
ccm
chama
jifunze
kazi
kugharamia
maana
matibabu
nyingine
prof. jay
rais
rais samia
samia
serikaliserikaliyaccm
ummy mwalimu
upinzani
vijana
wajinga
watanzania
Halima Mdee na Wasaliti wenzake 18 , akiwemo dada yangu Sophia Mwakagenda , Waliingizwa bungeni kiharamia na serikali ya Tanzania, serikali ya Tanzania na mfumo wake waliamua kufanya hivyo ili KUIDANGANYA JUMUIYA YA MADOLA NA MATAIFA WAFADHILI kwamba uchaguzi wa 2020 ulikuwa shwari na ndio maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.