Jumapili moja nilikuepo kwenye mgahawa mmoja hapa Dar, kiukweli ni mgahawa wenye hadhi kidogo (upo classic) mgahawa una ukuta wa kioo, ndani kiyoyozi plus tv Pana flat screen. Nilivokua nje ya mgahawa mara akaingia mdada mmoja mzuri kweli nikasema dooh.
Mungu ni fundi ile nimeingia ndani mdada...
Kwa kweli mimi nimeinua mikono kwa internet ya TTCL. Ni internet ya hovyo sijawahi kuona.
Kuna mtu aliwahi kuandika humu kwamba mshikaji wake anaishi Tabata, anatumia mtandao wa TTCL, akilalia ubavu wa kulia anapata mtandao ila akibadilisha akalala ubavu aa kushoto ama akalala chali hakuna...
Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu mkubwa mwenendo wa kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake watatu. Nafuatilia kwa kwenda mwenyewe Mahakamani. Hata sasa nipo Viunga vya Law School of Tanzania ilipo Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi kwa ajili ya...
Yanga yangu why haipo serious kama wapinzani wetu.
Wiki nzima hatuna hata mechi ya kirafiki.
Mnyama alikuwa na timu nzuri ila alipumzika wiki nzima akaenda kushtukizwa 4 kwa 0 pale soweto msimu uliopita. Na sisi yanga hatujajifunza tu kwamba kupumzika muda mrefu kunafanya wachezaji wawe...
kaongea mengi msikilize mwenyewe ,audio ina dakika tatu, kwa kifupi anasikitika sana team yake ya utopolo fc haipo serious zaidi ya propaganda za media na mitandaoni kuongelea jezi za machampion wa nchi na klabu bora afrika mashariki
Team iko bize na mambo ya kiutopolo hata matayarisho ya...
Watanzania kwenye matatizo yetu serious si tunafanya hiviiiii
1) Huwa hatuwazi matatizo tuliyonayo tunawaza namna ya kuishi nayo.
2) Tunakumbuka maneno ya viongozi wetu nini walituambia. Tunafarijika na maneno yao hata kama kwenye shida ngumu.
3) Tunasubiria maafa ili kila mmoja aokoe nafsi...
Tanzania haihitaji kuchagua kiongozi wala kuongozwa na ilani ya chaguzi ya chama bali sera chache za kimkakati za kitaifa zilizoandaliwa kwa makini na wataalam wenye uzoefu wa eneo husika.
Badala ya ilani ya uchaguzi ya chama inayoorodhesha kila kitu kutoka ngoma, uganga n.k mpaka mambo ya...
Hivi Serikali yetu ipo serious kupambana na ugonjwa wa Delta (Indian variant)yaani corona 3?
Wenzetu,ndugu zetu Waganda,DRC,Rwanda Serikali zao zimechukua hatua kali na madhubuti kukabiliana na huu ugonjwa hatari.
SINA HAJA YA KUANDIKA MENGI,WENZETU WAAFRIKA WANATEKETEA HASA UGANDA NA...
Wakubwa na wadogo, Salutations!!
Nipo Iringa na katika harakati za kusaka ajira za hapa na pale (japo nimepata), juzi kama masihara nilielekezwa sehemu na nikapewa namba ya meneja, nikampigia.
Akaniuliza baadhi ya maswali ambapo sikuwa na vigezo wanavyohitaji wao Kisha akaniambia niende Ofisini...
Ikiwa ni jioni tulivuu, nimeshamaliza kazi zangu na ninatafakari kuhusu maisha yetu ya kila siku.
Ukweli ni kwamba maisha haya ya duniani SOTE TUNAPITA jamani! Hakuna atakayeishi milele! Na kwa wale tunaomwamini Kristo tunajua kwamba kule MBINGUNI tukibahatika kufika kazi ni kusifu na kuabudu...
Wanabodi kiongozi ni kioo cha anaewaongoza. Kazi kubwa ya kioo ni kuangalia mwonekano wako au wa kitu ambacho macho hauwezi ona moja kwa moja. Vivyo hivyo kwa kuwa kiongozi, jamii inayoongozwa utazamwa na kupimwa kutokana na kiongozi wake.
Sinashaka na uongozi wa juu wa nchi yangu Tanzania, ila...
"Islamophobia is real, racism is real. You should have to face that hate in your communities, in your country. We can and we will act. We can and we will choose a better way."Prime Minister Justin Trudeau.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.