Jana katika tabia yake Ile ile ya Kujipendekeza kwa Serikali ( hasa Watawala ) na kutafuta Huruma ili ifanye Ushawishi na awe Huru kafanya Jambo la Kujichoresha zaidi na linaloonyesha kuwa huenda Majibu ya Mabaya aliyowafanyia Watu sasa Laana zao zinaanza Kumpata.
Ni kwamba Mfungwa na Mdaiwa...
Kwa Wanasiasa mlio na utayari jikusanyeni na mkikamilika mnitaarifu haraka ili tuanze Kazi na nitakuwa nawaelekezeni kutokea hapa hapa JamiiForums tu na sitohitaji Kuonana nanyi.
Nakipenda sana Chama Cha CCM na Rais Samia ila GENTAMYCINE napenda kuona CCM na Rais Samia 'wakihenyeshwa' 24/7 na...
Habari zenu,
Tokea mwaka huu uanze Niko katavi ni mji ambao ni manispaa, yaani kila mji una sifa zake.
Yaani mpanda Ina vichaa wengi kuliko hata jiji la Mwanza jamani.
Wenyeji wa huku acheni hizi Mambo.
Yaani inasikitisha mno kila Kona ama kila mtaa lazima uwe na kichwa ujue.
Kuna jamaa...
Kila picha yeye utamwona anatabasamu flani hivi la.... Sisi watoto wa Mjini tunaelewa. Kuwa kwake mambo fresh...
Wenzie wote huwa wanaonesha wapo serious. Yeye anapataje nafasi ya kutabasamu nchi yenyewe ishakuwa ngumu hii? Anachochekelea ni nini hasa?
Yaani hata Samia anamshinda amechora uso...
Nimeisikiliza hotuba ya Rais Samia, aliyoitoa jana, kuhusiana na kilio cha wananchi kuhusu kupanda Sana kwa bei ya mafuta Duniani.
Katika hotuba hiyo nime-highlight, jambo muhimu Sana aliloliongelea, anasema kuwa ni LAZIMA watendaji wa Serikali, TUJIBANE na KUJINYIMA, Katika kipindi hiki...
Jamaa zetu Chadema wanakasumba mbaya sana. Walishazoea siasa za kubebwa. Wakikutana na mtu anayejua kuwabana kisiasa kama Paulo Makonda au Mwita Waitara wao huwa wanaleta chuki zisizo na mashiko.
Mtu hata kama hana hatia za ujambazi watafurahi tu aingie lupango kisa tu wameshamchukia.
Tuweke...
Nimefuatilia kwa wiki mfululiza sasa kipindi cha Mr Right kinachorushwa na Station ya Startimes kinachosimamiwa na MC Gara B.
Nilivyoangalia nimegundua mambo kadhaa ktk kipindi hicho
1. Wadada hawanauhitaji serious wa wanaume. Hivi kweli unaweza ku disqualify mwanaume eti kwa sababu anatumia...
Aisee jana katika pitapita zangu nikaona wadau wanaoomba ajira nikaona hiki ni kisanga. Yaani mtu kaandika barua kwa mkono kaipiga picha kwa simu anataka ku-upload aombe kazi.
Hivi ulimwengu wa sasa mtu aanze kuhangaika na liandiko lako libaya, tena umelipiga picha kwa simu, serious?
Wengine...
Kuna vitu vinafikirisha na kuvunja moyo hivi
1. Inakuwaje mnaachia tangazo la kuomba ajira na mfumo wenu haujakaa sawa?
2. Je mnajua kuwa kuna watu wamesafiri kutoka vijijini kuna mjini kufanya maombi kwa kukopa tu nauli?
3. Kabla hamjaruhusu tangazo hamkufanya tathimin ya mfumo kabla?
4. IT...
Tulipanda wote daladala kutokea ubungo 2013. Nilikuwa nasoma UD Certificate ya law. Ukaniambia ulisoma Mwalimu Nyerere, UD na wakati huo ulikuwa unachukua masters, uliniinspire kwa mengi ukaniambia Mtwa soma kwa bidii vitu mbalimbali, Nilikuuliza kama unatumia jamii forum ila sikumbuki jibu...
Kweli nimeamini sisi wabongo ni wavivu sana.
Hebu fikiria kwa ripoti ya msomi wetu wa viwango vya juu kabisa, Le Professor mwenyewe kule mto MARA, ng'ombe mmoja kwa wakati mmoja tu anatoa kg 25, tufanye kwa hesabu ya chini kabisa, huyu ng'ombe atoe kinyesi mara moja tu kwa siku, zidisha kwa...
Kwa mtazamo wangu tumechelewa kuwatumia wanafunzi wenye ufaulu wa juu (outstanding) kulisaidia taifa. Hivi inakuwaje mwanafunzi kidato cha sita ana point tatu, Chuo kikuu amepata GPA ya 4.8 au kwa wenzetu wa Arts wanapata hadi GPA 5 naye yupo mtaani hana ajira?
Labda niunganishe na wale...
Kweli na tafuta mchumba serious nimekuwa mtu mzima nahitaji familia
Vigezo serious awe handsome wa kiasi .
Awe 32 -40
Awe hajawahi kupata mtoto kokote.
Awe anafanya kazi kaajiriwa .
Elimu Anizidi mimi na Diploma .
Awe mweupe au maji yakunde awe mrefu wastani.
Asiwe mzubavu awe anachangamkia...
Kweli tutamkumbuka mwendazake, inafika sehemu eti kuprint tu control number inakuwa issue!
Yaani watu tunapanga foleni na kusubiri na hatuipati bado hela tunatoa sisi za kwetu, unaenda kwenye website unaambiwa this website is Suspended kweli ofisi ya Umma inaendeshwa kwa kodi zetu
Tuoneeni...
Kwema job seekers wenzangu?
Kuna mchina kani-check somewhere, kaniambia nimtumie CV yangu kuna kazi za sales zinahitaji watu, nimemtumia cv yangu fresh,In return akanitumia job description ya kazi husika ndio nikaona huo mshahara anaotaka kunilipa.
Ofcoz nina uhitaji wa kazi ila nimemjibu...
Wakati tunatangaza kuharibu miti zaidi millioni mbili tulimuomba Mungu? Au wenzetu hamjui umuhimu wa miti?
Haya mlipanda miti mingapi? Leo hii mnataka kufunga eti Mungu alete mvua, you guys! Mko Sawa kweli?
Tusimdhibaki Mungu ana kazi za msingi sana kuliko hii, yaani tukate miti kwa mbwembwe...
Nina ndugu yangu amekuwa diagnosed na High Blood Pressure na Diabetic.
Anakunywa red wine karibia kila siku chupa moja.
1. Je hii ni sawa
2. Au anatakiwa kuacha kabisa?
Dalali yoyote ambae yupo tayari kufanya biashara naomba anicheki kwa no;0783 24 2247
Nahitaji chumba chenye sifa zifuatazo:
Kiwe ni master room
Kiwe maeneo ya Kimara
Kiwe ndani ya geti/fensi usalama wa kutosha
Luku ya kujitegemea (Japo co lazma sana)
Bajeti yangu ni 70K-100K
Nipo serious...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.