shamba

Sergei Shamba (Abkhazian: Сергеи Шамба, Georgian: სერგეი შამბა) is a senior politician from Abkhazia. He is currently a member of the People's Assembly of Abkhazia and Chairman of United Abkhazia. He was Prime Minister of Abkhazia under President Sergei Bagapsh from 13 February 2010 until 27 September 2011. Between 1997 and 2010 he had been Minister for Foreign Affairs under both Bagapsh and his predecessor Vladislav Ardzinba, with only a half-year interruption in 2004. Shamba has twice unsuccessfully participated in Presidential elections, in 2004 and 2011. He has been a staunch proponent for dialogue between Abkhazia and Georgia.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Natoa bure shamba la kulima

    Habari, Namtafuta mtu anayetaka kulima shamba bure, lipo Masaki, Kisarawe. Linafaa kwa kilimo cha mihogo, mahidi, nampa alilime bure. Lina ukubwa wa hekta 2, lipo karibu na barabara. Contact: WhatsApp 0713 95 92 90.
  2. D

    Nina shamba kubwa Mwanza ninauza kwa wawekezaji eka 18 lina hati nipeni soko,nifanyeje

    Ninauza shamba kubwa hekta 18 zilizopimwa karibu na ziwa huku Mwanza jamani nipeni maarifa namna ya kupata wateja linafaa kwa hoteli,kilimo,mifugo na apartments. Nipeni maarifa. 0622290094
  3. D

    Plot4Sale Shamba heka 18 zilizopimwa kando kando ya ziwa viktoria kuelekea Nyanguge km 8 kutoka barabarani linauzwa

    Eneo kubwa heka 18 za ardhi kandokando ya ziwa viktoria lenye mifugo, vizimbwi vya samaki,malambo linauzwa kwa usd 300000 piga simu 0739290084 au 0622290084. Bei inaweza kupungua. Ni zuri kwa hotel,apartment,mifugo,kilimo nk.
  4. M

    Shamba la bibi

    Nasema hivi: - Siasa za Tanzania leo, hakuna Kiongozi wala Mwanasiasa hata mmoja anayeweza diriki kumkosoa rais Samia na serikali yake hadharani na bila kumung'unya maneno kwa sababu moja tu - Kila mmoja wao leo anakula kwa urefu wa kamba yake. Ndiyo, nimesema na anayebisha anitajie japo mmoja...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Wanawake msikubali Kugeuzwa shamba la Bibi!

    WANAWAKE MSIKUBALI KUGEUZWA SHAMBA LA BIBI! Anaandika, Robert Heriel Tuwaelimishe binti, Dada na Mama zetu ingawaje tunajua hakuna kazi ngumu kama kumuelimisha Mwanamke hasa katika kumwambia ukweli, kwani siku zote ukweli unauma. Wanawake wengi hawapendi ukweli Kwa sababu hawapendi kuumia...
  6. F

    Shamba Linauzwa 100Acres -Mkata Handeni

    Umuofia kwenu! Shamba lenye ukubwa ya Ekari 100 Linauzwa.Shamba lipo Kijiji Cha Kwandugwa.Umbali wa Km 14 toka Mkata Centre. Shamba ni pori.Halijawahi kusafishwa.Linauzwa kwa Tsh 18M.Mazungumzo kidogo yapo.Shamba lina hati ya mauziano ya serikali ya Kijiji na mnunuzi atapata haki ya...
  7. Kenyan

    Shamba lingine la Uhuru Kenyatta lavamiwa

    Polisi wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya Vijana wa Kimaasai maarufu kama 'morans' baada ya kuvamia ardhi ya Uhuru Kenyatta iliyoko Kedong', kaunti ya Narok. Duru za kuaminika zinasema kuwa wiki iliyopita Mbunge wa Eneo hilo Ken Aramat, aliapa kuongoza morans katika harakati za...
  8. VUTA-NKUVUTE

    Tafakari: Uvamizi wa shamba la Kenyatta na shambulio la Lissu

    Jana Machi 27, shamba la familia ya Rais Mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta lilivamiwa na uharibifu pamoja na wizi kufanyika. Shambani humo moto mkubwa uliwashwa; miti ya mbao na nguzo ilikatwa na wizi wa mali mbalimbali wakiwemo mamia ya kondoo ulifanyika. Tundu Lissu, mnamo Septemba 7, 2017...
  9. Dalton elijah

    Kenya: Moto wazuka kwenye shamba linalomilikiwa na familia ya Kenyatta

    Moto mkubwa umezuka katika ardhi inayomilikiwa na familia ya Kenyatta karibu na barabara ya Eastern Bypass huko Ruiru, kaunti ya Kiambu. Mlipuko huo wa moto unakuja saa chache baada ya mamia ya wahuni kuvamia shamba la Northlands na kuharibu mali ya thamani isiyojulikana. Kulingana na ripoti...
  10. N

    Kampeni ya kwenda shamba siyo ushamba

    “KWENDA SHAMBA SIYO USHAMBA, KWENDA SHAMBA NDIYO UJANJA COMPAIGN” UTANGULIZI Upatikanaji wa fursa za ajira kwa vijana wanaohitimu katika ngazi mbalimbali za vyuo imekuwa moja ya changamoto kubwa inayoikabili dunia ya sasa,ukosefu wa ajira kwa vijana umekuwa mwiba mchungu kwa serikali za nchi...
  11. K

    Mateso wanayopata wananchi wanaoishi kando kando ya shamba la mifugo la Utegi

    Shamba la mifugo la Utegi kisheria ni shamba la vijiji vinavyoizunguka shamba hilo na walipewa na Serikali baada ya kuilipa Serikali jumla ya Tshs.90,000,000 (millioni tisini). Na kama nasema uongo, naomba kusahihishwa. Awamu ya Tano ilipoingia madarakani, iliichukua shamba hili bila kukaa na...
  12. Mkulima na Mfugaji

    Nimeshaandaa Shamba, Nimeshapiga Mashimo ya Mahindi je, naweza kufukia mbegu kabla ya Mvua kunyesha?

    Kwa mujibu wa Mamlaka ya hali ya hewa na majira ya huku niliko, mvua za kupandia zinatarajia kuanza kunyesha wiki ya Tatu ya mwezi March ambayo ishafika mimi nimeshaandaa shamba na nimeshapiga Mashimo na nimeshanunua mbegu. Je, naweza kufukia mbegu kabla ya mvua kunyesha? Nahofia nisije...
  13. GM98

    Msaada wa kupata soko la mazao ya bustani nchi za nje

    Habari wanandugu, mimi ni kijana ninamiliki shamba lenye ekari 25. Nimeplan kulima kilimo cha umwagiliaji na nina tamani kusafirisha mazao yangu nje. Hivyo nilikua naomba kama kuna mwenye ABC za namna ya kupata markets nchi za nje anisaidie.
  14. J

    Mbowe: Ccm imeufanya mkoa wa Tanga kuwa kama shamba la bibi.

    ..Mbowe na ujumbe wake wamefika mkoani Tanga kufanya shughuli za uenezi wa chama. ..Pamoja na mambo mengine Mbowe amezungumzia hali ngumu ya uchumi mkoani Tanga na nchi nzima na jinsi inavyochangiwa na utawala mbaya wa Ccm. Mwisho amewataka wananchi wa Tanga kukataa mkoa wao kuwa kama "shamba...
  15. M

    Ninauza shamba zuri la umwagiliaji ekari 20 Londoto - Simanjiro

    Nauza shamba langu zuri la umwagiliaji lipo wilaya ya Simanjiro, msitu wa tembo - Londoto. Shamba ni nzuri sana lililojaa rutuba, karibu sana kwa yeyote anayehitaji, bei ni mil 60 mazungumzo kidogo yapo, mimi ndiye mwenye shamba. Karibuni sana.
  16. Ozone star

    Hii imekaaje kuhusu tathmini ya uharibifu wa shamba baada ya mifugo kuharibu shamba?

    Kuna documents kutoka halmashauri ya wilaya fulani hivi. Inaelezea tathmini ya jinsi ya kutatua migogoro ya mifugo itakapoharibu kila aina ya mazao na malipo yake. Mfano: Ng'ombe wakiingia shamba la mahindi muda wowote wa ukuaji wa mazao hata kama mahindi yana wiki toka kupandwa, inapigwa...
  17. Omari Makoo

    Plot4Sale Shamba la miti ya Mikalebeya linauzwa

    Shamba lina ukubwa wa Hekari 2 Lina miti 1000+ Miti ina umri wa miaka Shamba lipo Mwanza, Ukerewe Bei yamba pamoja na miti yote iliyopo kwenye shamba ni shilingi milioni tisa na laki tano(9,5000,000) Tu.
  18. B

    Kulikoni, mpakani na Rwanda sisi ni shamba la bibi?

    Zitambue tofauti hizi mpakani mwa Tanzania na Rwanda katika boda ya Rusumo: 1. Miundo mbinu upande wa Rwanda ni bora zaidi. Barabara, taa za barabarani, security cameras, majengo, fencing, furnitures nk upande wa Rwanda ni kama Ulaya. 2. Upande wa Rwanda taratibu zote katika kila idara yaani...
  19. P

    Nahitaji shamba linalouzwa Kibaranga, Muheza

    Habari zenu wakuu, Nahitaji shamba linalouzwa Kibaranga, Muheza nijuwe ukubwa na bei. Unaweza nijibu hapo or kwa private. Nashukuru
  20. J

    Mifugo yavamia shamba la utafiti la Tari Ilonga na kusababisha uharibifu na hasara ya millioni 600

    ..Tari ni taasisi ya utafiti mbegu hapa Tanzania. ..shamba lao wanalofanyia utafiti wa mbegu limevamiwa na mifugo na kuharibiwa. ..watumishi wa Tari walipojaribu kuwadhibiti wafugaji na mifugo yao, waliishia kushambuliwa, na wafugaji wakatoroka na baadhi ya mifugo hiyo. ..serikali ni kama...
Back
Top Bottom