shamba

Sergei Shamba (Abkhazian: Сергеи Шамба, Georgian: სერგეი შამბა) is a senior politician from Abkhazia. He is currently a member of the People's Assembly of Abkhazia and Chairman of United Abkhazia. He was Prime Minister of Abkhazia under President Sergei Bagapsh from 13 February 2010 until 27 September 2011. Between 1997 and 2010 he had been Minister for Foreign Affairs under both Bagapsh and his predecessor Vladislav Ardzinba, with only a half-year interruption in 2004. Shamba has twice unsuccessfully participated in Presidential elections, in 2004 and 2011. He has been a staunch proponent for dialogue between Abkhazia and Georgia.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Eneo la biashara Morombo Arusha kubadilishana na shamba Arusha, Manyara au Kilimanjaro

    Habari wakuu, Lipo eneo la biashara Morombo sokoni ambalo halijakamilika kujengwa. Ni chumba kikubwa kimejengwa kufikia lenta. Kama una shamba maeneo ya mikoa ya Arusha, Manyara au Kilimanjaro karibu tufanye mabadilishano. Ukubwa wa shamba utakaokubalika kwa mabadilishano utategemea na mahali...
  2. N

    Wawekezaji karibuni shamba la miti ya mbao liko sokoni

    Kwa wale waliotayari kuwekeza kwenye uwekezaji usio na hasara mnakaribishwa sana Mashamba ya miti ya mbao aina ya MIKARIBEA pamoja na ardhi yake yanauzwa La kwanza lina ukubwa wa ekari tatu na nusu na miti yake ni umri wa miaka 7 bei ni milioni 10. La pili lina ukubwa wa ekari 30 ivi kwa...
  3. Lycaon pictus

    Mo Dewji kuanzisha shamba la ekari laki moja

    Mo anataka kuingia kwenye kilimo. Kapanga kuweka dola milioni 250 kulima ekari laki moja. Kila la kheri kwake.
  4. MSAGA SUMU

    Nataka kuanzisha harambee ya kumnunulia Rais Samia shamba Kaliua ili aachane na siasa 2025

    Jana nilishtuka baada ya kuona wakinamama waliochanga mil 200 ya kumchukulia mama Samia fomu ya kugombea urais. Tukikaa kimya mama anaweza kudhani anaupiga mwingi sana na kila kitu kinaenda vizuri. Nataka kuanzisha Harambee ya kumnunulia mama Samia 2025 ili aachane na siasa. Shamba...
  5. Kijana LOGICS

    Kwa online business mkoa wa Mbeya una watu Smart sana sio washamba kama Mwanza

    Hua nafanya online business hasa ya electronics kama simu, computer,na laptops before nilikua nafanyia mwanza nikahamia mbeya tangu January Biashara mwanza ilikua ngumuh Sana wateja pasua kichwa mwanza Ina watu wengi na Kundi kubwa la watu wanakaushamba Flani Ivi laiti mwanza ingetambua...
  6. K

    Je, matumizi ya miti shamba kiholela yanaharibu figo?

    Swali kwa wataalamu: Je, matumizi ya miti shamba kiholela yanaharibu figo? Nauliza kwasababu wagojwa wa figo wameongezeka sana Tanzania
  7. Ghost MVP

    Mgawo wa Umeme unaweza kuisha kwa kuanzisha Shamba la Kuvuna umeme wa Jua

    Kauli za Serikali kuhusu swala la Mgao wa Umeme zimekuwa kero zenyewe, maana kila siku kuna Vijisababu ambavyo havina majibu. Sasa mimi nashauri Serikali iangalie namna ya kupata mwekezaji, ambaye atatuletea huduma hii ya kuvuna umeme wa jua na kwa hili jua la Dar yaani umeme utakuwa unanguvu...
  8. K

    Natafuta Shamba la Kufugia Kigoma(Kasulu DC au TC, Uvinza au Kibondo), Karagwe au Biharamulo au Kahama. Kukodi au Kuuziwa Kabisa.

    Habari wanajamvi. Kama mada tajwa hapo juu. Natafuta shamba lenye ukubwa wa kuanzia hekari 20 hadi 100 kwa ajili ya kufugia. Vigezo! 1. Liwe na miti ya asili au vichaka au maotea/chipukizi za miti 2. Lisiwe na mgogoro wa aina yoyote 3. Muuzaji awe tayari kuonyesha nyaraka halali za umiliki wa...
  9. M

    Natafuta shamba la kununua Shinyanga, Singida, Dodoma, Iringa, Tabora, Morogoro

    Habari wakuu, Natafuta shamba kubwa ambalo limeshawai kulimwa au tambarare ambalo litakuwa rahisi kulimwa kwa mikoa niliyo orodhesha hapo juu. Siitaji shamba ambalo lina miti maana kuondoa miti ni gharama sana. Natafuta kwanzia heka 100 kwenda juu. Asante.
  10. snochet

    INAUZWA Massey Ferguson 135 na Massey Ferguson 158 Zinauzwa

    Habari, Ninauza hizi tractor mbili. Zote ni 2WD. Mtumba kutoka Uholanzi bila jembe/trailer. MF135-46Horsepower MF158-63 Horsepower Zimesajiliwa na kila kitu kinafanya kazi vizuri kabisa(Engine za Mbuni-Diff Kubwa, PTO, drawbar na zina connection za hydraulics). Hazijatumika Tanzania. Bei MF135...
  11. Peter_John

    Nataka niingie kwenye kilimo, kwa anayeuza eneo/shamba

    Habari zenu Wana JF, kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, nataka niingie kwenye Kilimo na kama unavyojua kilimo chetu hapa kibongo bongo ni kwenye ardhi ingawa teknologia ya sasa unaweza ukalima hata ghorofani ila sana sana wengi wetu tumezoea kulima ardhini. Hivyo basi kama kuna mtu...
  12. hydroxo

    Plot4Sale Shamba linauzwa Bagamoyo

    Shamba lipo Zinga kwa Mtoro kilomita moja na nusu kutoka barabara kuu ya lami ya Bagamoyo(Bagamoyo road). Shamba lina ukubwa wa heka sita na nusu(6.5). Linafaa kwa matumizi ya kilimo, kujenga kiwanda, kujenga shule,kujenga godowns Shamba halina migogoro na document zote muhimu zipo. Bei ni...
  13. Aliko Musa

    Dondoo Muhimu Kuhusu Upimaji Wa Shamba/Kiwanja Chako Hapa Tanzania

    Utangulizi. Idadi ya mipango miji na vijiji kina kitengo cha upimaji na ramani. Kitengo hiki kimepewa jukumu la;- ✓ Kupima ardhi na ✓ Kutayarisha ramani (survey plan) za miji na vijiji. Ramani zinazo tayarishwa ni hatua za kubuni, kutekeleza na kuratibu mipango ya maendeleo juu ya ardhi kwa...
  14. GENTAMYCINE

    Nilishauri Shamba la Mbagala tusilitumie kwani lina Nuksi na 'Citizens' wameshalizindika mno 'Kindumba' hamnielewi tu

    Sijui mnataka GENTAMYCINE niwe nawashauri vipi ili muwe mnanielewa na mfuate ninachowaambia. Yaani kila nikiwashtua mapema Wakulima wa Nyika ili msiumie huwa mnanipuuza. Na Wakulima wa Nyika tuna bahati sana leo kwani Nyuki Wakali waliotukamia kisawasawa, ila kwenye Vyura na Ice Cream huwa...
  15. uberimae fidei

    Plot4Sale Shamba linauzwa Chalinze

    Shamba lipo Chalinze Pingo,usawa wa kiwanda cha tiles. Km 4 kutoka Morogoro road. Katika shamba kuna kijumba cha vyumba viwili choo na bafu Ukubwa eka 8 Pote milioni 12 Panafaa kwa kilimo na ufugaji
  16. GoldDhahabu

    Mabwana Shamba wa Tanzania hupotelea wapi baada ya kuajiriwa Serikalini?

    Niliusikia msamiati "bwana shamba", tokea utotoni, lakini mpaka sasa sina uhakika kama nilishawahi kukutana nao, hasa walio katika ajira. "Madakatri" wa mifugo nimewaona. Na hata mabwana shamba wastaafu, lakini si aliyepo kazini Serikalini. Najua kila mwaka kuna wahitimu katika tasnia ya...
  17. Supu ya kokoto

    Nahitaji shamba la kulima Mahindi Mkoani Katavi

    Wakuu salama. Nahitaji shamba la kulima mahindi mkoa wa Katavi. Linaweza kuwa pori nisafishe au shamba la mtu anayehama. Wilaya ninazohitaji Ni: Tanganyika au Mlele Shamba la karibu na mto itapendza zaidi. Angalizo: Isiwe kwenye hifadhi yoyote. Leteni offa.
  18. Aliko Musa

    Sababu 30 Zinazopelekea Mmiliki Wa Kiwanja/Shamba/Jengo Kuuza Kwa Bei Nafuu

    Kuuza Kiwanja/Shamba/Jengo Kwa Hamasa Kubwa Hamasa ya muuzaji ni kile kinachomsukuma mmiliki auze ndani ya siku anazotegemea. Hamasa inaweza kuwa moja ya mambo yafuatayo:- ✓ Kutalakiana kwenye ndoa. ✓ Migogoro ya ubia miongoni mwa wamiliki wa kiwanja, au jengo. ✓ Kupoteza ajira. ✓...
  19. GoldDhahabu

    Nini cha kufanya endapo utakuta dhahabu kwenye shamba au kiwanja chako?

    Kwa Sheria za Tanzania, unaweza kumiliki ardhi lakini sio kilichopo chini ya ardhi kama madini. Ndivyo nijuavyo, labda kama utaratibu umeshabadilika. Inamaanisha kuwa hata ukigundua dhahabu kwenye shamba lako au kiwanja chako, hutaruhusiwa kuchimba mpaka uwe na leseni. Sasa chukulia ulikuwa...
  20. L

    Plot4Sale Shamba la heka 100 linauzwa Kibaha

    Shamba la heka 100 linauzwa lipo Kibaha: 1. Lipo umbali wa km5.4 kutoka morogoro road 2. Lipo barabarani 3. Limepimwa na lipo kwenye ramani ya mipango miji 4. Huduma za kijamii zipo kwa mawasiliano zaid +255674213079
Back
Top Bottom