SHEIKH
Ni jina la heshima katika lugha ya Kiarabu. Kwa kawaida humtaja chifu wa kabila au mwanafamilia wa kifalme katika nchi za Uarabuni, katika baadhi ya nchi pia hupewa wale wenye ujuzi mkubwa katika masuala ya kidini.
Cheo hiki kinabeba maana ya kiongozi, mzee, au mtukufu, hasa katika Rasi...