Yaani inakuajekuaje mtu unaahirisha Sherehe za Uhuru? Uhuru? UHURU?
Sababu kubwa? Pesa ziende kwenye MAENDELEO?
Yaan Mnaacha mafisadi yanajipigia, Mnajipa masafari Kila kukicha, Mnajipa matumizi makubwa kupindukia, wafanyabiashara mmewaita wafanyabiashara wazuri, alafu from nowhere, Unazuia...