sheria

  1. Etugrul Bey

    Sheria ambazo hazizungumzwi lakini zipo

    Unapokuwa na kampani ya watu katika mazungumzo yenu,endapo utapigiwa simu basi usiongee na simu kwa mda mrefu Unapoenda kumtembelea mtu, baada ya kitambo kidogo ukisikia mwenyeji wako anasema anajisikia kuchoka, basi ujiongeze mda wa kuondoka umefika Mtoto mdogo anapokuonyesha kitu basi...
  2. Tabutupu

    Tetesi: Sheria mpya: Mwisho polisi kuvaa kiraia wakiwa kazini

    Kutokana na matukio yanayo husisha watu wenye silaha na vifaa vya kijeshi/police kuhusika na matukio ya mauaji pamoja na utekaji.. kuna uwezekano mkubwa serikali kuja na sheria inayo zuia police kuvaa kiraia wanapo kuwa kazini. Mdai mmoja anasema hii ki kutikana na serikali kuchafuliwa na pia...
  3. OKW BOBAN SUNZU

    Serikali ya Kiislamu ya Iraq yapendekeza sheria Watoto Miaka tisa kuolewa

    Sheria mpya inayopendekezwa nchini Iraq inayolenga kupunguza umri wa ridhaa ya Ndoa kwa Wanawake hadi miaka tisa jambo linalolenga kuruhusu Wanaume Nchini humo kuoa Wanawake wakiwa na Umri mdogo, imepingwa vikali na Wanaharakati Nchini humo wakidai kuwa ni yenye kuhalalisha udhalilishaji wa...
  4. Cecil J

    Sababu kubwa inayomfanya mwanamke aonekane kama victim mbele ya sheria ni ipi?

    Ukiachana na asili ya dunia kumuonea huruma mwanamke, je, ni ipi sababu ya msingi inayopelekea mwanamke aonekane kama mhanga pale anaposimama kwenye vyombo vya sheria? Mwanamke na mwanaume ambao ni wanandoa wanapigana-ugomvi wa kawaida, baada ya kufika kwenye chombo cha sheria ghafla chombo cha...
  5. Roving Journalist

    LGE2024 Mbeya: Jeshi la Polisi lawataka Wananchi, Wagombea kutii Sheria bila shuruti ili kuepuka kuchukuliwa hatua za kisheria

    Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, Jeshi la Polisi linawataka wananchi, wagombea na wafuasi wa vyama vya siasa kutii sheria bila shuruti ili kuepuka kuchukuliwa hatua za kisheria ikiwemo kukamatwa na kufikishwa mahakamani. Aidha, Jeshi la Polisi Mkoa...
  6. R

    Msaada wajuvi wa sheria

    Ile form ya District Land and Housing Tribunal ya kufanya application to institute a suit, unawea kuijaza kwa kiswahili au lazima iwe kiingereza maana imetengeneza kwa kugha ya kiingereza.
  7. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kufanya Marekebisho ya Sheria za Barabarani Ili Kukabiliana Ipasavyo na Ajali za Barabarani

    Akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa, Mhe. Amina Ali Mzee; Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Daniel Sillo amesema Serikali iko hatua za mwishoni kuleta Muswada wa Sheria Bungeni ili ifanyiwe marekebisho kwa lengo la kukabiliana na ajali za Barabarani zinazosababishwa na...
  8. G

    Hapa BONGO kuna zaidi ya uchafu wa Equatorial Guinea. Ni vile tu sheria haziruhusu kuweka video za ngono mitandaoni

    Watanzania wanajitia kushanga namna Baltasar alivyoweza kuwatafuna wanawake wenye kazi zao ama wake za vigogo 400. Hapa bongo ni zaidi ya Equatorial Guinea, ni vile tu sheria zetu zimekuwa kali na huwazuia watu kuposti video za ngono mitandaoni. Vinginevyo tungeona machafu zaidi ya hayo...
  9. Waufukweni

    Washiriki wa Mapenzi ya Jinsia Moja kufikishwa Mahakamani, Serikali Yajipanga Kusimamia Sheria

    Serikali imeahidi kuendelea kutoa elimu kwa jamii ili kukomesha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja ambavyo vinakiuka sheria, taratibu, mila na desturi pamoja na kuwakamata wanaojihusisha, sambamba na kuchukua hatua za kuwapeleka Mahakamani Akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini...
  10. Stephano Mgendanyi

    Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi Zingatieni Sheria: Balozi Amour

    WABUNIFU MAJENGO NA WAKADIRIAJI MAJENZI ZINGATIENI SHERIA: BALOZI AMOUR Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi, Mhandisi Aisha Amour amewataka Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi kuzingatia Sheria, Taratibu na Kanuni za utendaji kazi ili kupata majengo bora, salama yasiyoathiri mazingira...
  11. Roving Journalist

    Balozi Amour: Wabunifu majengo na Wakadiriaji Majenzi zingatieni sheria

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi, Mhandisi Aisha Amour amewataka Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi kuzingatia Sheria, Taratibu na Kanuni za utendaji kazi ili kupata majengo bora, salama yasiyoathiri mazingira na yanayoendana na thamani halisi ya fedha. Akizungumza Oktoba 30, 2024...
  12. JanguKamaJangu

    Watumishi wa Vituo vya Mizani wametakiwa kusimamia Sheria za utunzaji wa barabara

    Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi, Albert Msovera amewataka Wafanyakazi walio katika vituo vya mizani kuhakikisha wanasimamia sheria ya uthibiti ubora wa barabara ya mwaka 2016 ya Afrika mashariki na kanuni zake za mwaka 2018 zinazingatiwa ipasavyo ili kuendelea kutunza barabara zilizopo nchini...
  13. Etugrul Bey

    Sheria tatu za kutumiana Meseji

    Sheria tatu za kutumiana meseji au kuwasiliana na mpenzi wako,na hii ni mahsusi kwa wale ambao ndio wanaanza mahusiano Sheria namba moja,je huwa ana kawaida ya kujibu meseji zako,kama huyo mpenzi wako ana utaratibu wa kujibu meseji ni sawa hapo unaweza kuendelea kumtumia meseji lakini huwa...
  14. Mr Suprize

    Watu wa Sheria Nisaidieni kwenye hii ndoa ya Dada angu

    Dada angu kaolewa miaka karibia 10 Sasa , ana watoto watatu , wamejenga nyumba, na wanamiliki mashamba makubwa ambayo Yana mazao kila mwaka wanavuna. Bwana ake (shemeji) mpaka Sasa hajamtolea mahali dada angu tumejaribu kufwatilia kama family bwana shemej anapiga Kona Kona nyingi sana , Hilo la...
  15. Mr Why

    Nchi ya Tanzania itafanikiwa endapo 90% ya Wananchi watakuwa wamepata elimu na kujifunza nidhamu ya kufuata sheria

    Ndugu zangu Watanzania napenda kuwaeleza kuwa matatizo ya Tanzania yanasababishwa na ukosefu wa elimu (ujinga) na sio umasikini. Utajiri unapatikana hata kwa kuuza mboga endapo nidhamu ya pesa itazingatiwa Wananchi wanapokosa elimu matokeo yake ujinga unatawala katika fikra zao na mwisho wake...
  16. JanguKamaJangu

    Katiba na Sheria yawakutanisha Wadau kujadili utekelezaji wa mikataba ya Haki za Binadamu

    Wizara ya Katiba na Sheria kupitia Idara ya Haki za Binadamu imewakutanisha wadau mbalimbali kutoka Bara na Zanzibar katika kikao kazi cha kukamilisha taarifa ya Nchi ya kufuatilia utekelezaji wa Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu na Watu pamoja na Mkataba wa Haki za Wanawake barani Afrika...
  17. SaintErick

    Pre GE2025 Uchaguzi mkuu 2025: Sheria iruhusu kurudia uhesabuji wa kura inapotokea utata

    Mchakato wa uchaguzi wa viongozi hua ni mgumu na mrefu na hivyo huruhusu makosa ya kibinadamu na kimfumo na kiteknolojia kutokea katika mchakato huo. Tatizo kubwa Afrika ni Kutokukubali matokeo ya mwisho kwa washiriki wa uchaguzi na katika nchi nyingi kushindwa kupinga matokeo mahakamani kwani...
  18. kichongeochuma

    Viongoiz jifunzeni kufuata utawala wa sheria! Mkuu wa mkoa manyara huna mamlaka ya kuzuia Uhamisho wa Watumishi wa Umma

    Nchi hii ifike mahali tuwe na chombo kinacho wasimamia hawa viongozi maana nikama wakisha kuwa na madaraka ya juu basi wapo overall, Haya ya kuendelea kuwaacha waongoze kwa utashi wao na sio kuzongatia sheria kuna siku yatatokea ya Dr. Kleruu na mwamwindi Mkuu wa mkoa kwa utashi wake anasimama...
  19. Genius Man

    LGE2024 Katika shindano la stories of change 2024 nilieleza wazi udhaifu wa sheria zetu za uchaguzi

    Katika shindano la "stories of change" ambalo lilikuwa likilenga maboresho ya msingi yanayopaswa kufanyika ndani ya taifa ili kuipata Tanzania tuitakayo katika nyanja mbali mbali ikiwemo masuala ya sheria. Niliezea wazi udhaifu wa sheria zetu za uchaguzi kwamba zipo kama mapambo na Haziwezi...
  20. Z

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali; zoezi la kutafasiri sheria zote kwa lugha ya Kiswahili kukamilika mwezi Novemba.

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema kuwa zoezi lililo kuwa linaendelea la kuzitafasiri sheria mbalimbali kutoka lugha ya Kiingereza kwenda kwenye lugha ya Kiswahili zoezi hilo litakamilika Mwezi Novemba mwaka huu 2024. Sisi wananchi tunaipongeza Wizara ya Katiba kwa kazi nzuri inayo ifanya...
Back
Top Bottom