Wakuu,
Tukio linaondelea wakati huu ni ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2024 na Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania.
Kwenye maadhimisho haya wameonesha pia na kikosi cha FFU ambacho kinatumika kutuliza ghasia kukiwa na vurugu.
Cha...
Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amesisitiza hatua za kisheria zichukuliwe juu ya wanaofanya utekaji pamoja na mauaji nchini.
Pamoja na hayo Lissu amesisitiza kuwa msimamo wa chama chake juu ya kuandamana tarehe 23 Septemba bado uko pale pale kwani...
Habari,
Ni ukweli usiopingika kwa ajira hizi tunazofanya bila kujua haki na wajibu wako ni kazi sana kutoboa. Wafanyakazi walio wengi hawajui haki na wajibu wao katika kazi wanazo zifanya. Mfano Sheria ya Kazi inasema mfanyakazi anatakiwa kufanya kazi masaa nane, yanayozidi baada ya hapo...
Tunapoelekea uchaguzi wa 2025 nakuomba mama Samia na Serikali yako itunge sheria na kubadili katiba ya kuruhusu mgombea binafsi ili vijana tusio na maokoto tupate nafasi ya kugombea udiwani, ubunge na Urais.
Kwa hali ilivyo kwenye vyama vya siasa ni ngumu sana kupenya kwa sababu ya wajumbe...
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB ), Mathew Mwaimu amesema kuwa Tanzania Nchi inayopaswa kuzingatia Utawala wa Sheria na kwamba Mtu anapoona hatari anatakiwa kutoa taarifa kwenye mamlaka stahiki.
"Tunazungumzia Tanzania Nchi inayopaswa kufuata Utawala wa Sheria...
Wanabodi,
Japo mimi ni mwandishi tuu wa habari na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea, nimegundua kumbe wito wangu ni ualimu, kufundisha watu, hivyo from time to time nitakuwa napiga humu darasa la bure la katiba, sheria na haki.
Somo la leo ni kuhusu halali, batili na batilifu, ambapo kuna...
Mahakama ya Juu imemhukumu Kaimu Inspekta Jenerali wa Polisi Gilbert Masengeli kifungo cha miezi 6 jela kwa kosa la kudharau mahakama.
IGP alipuuza agizo la mahakama takriban mara 7 la kumtaka kufika mbele ya Jaji Lawrence Mugambi kueleza waliko watu watatu wanaodaiwa kutekwa na maafisa wa...
Habari wakuu.
Kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa sheria kwa upande wa Polisi ambapo tumeshuhudia na kuskia matukio mengi yanayofanywa na polisi kama vile kumpiga mtu risasi badala ya kumkamata na kumfikisha kwenye sheria.
Kuteka watu na kuwapoteza au kuwaua,kupokea rushwa na kukwepa uwajibiakaji...
Leo nimeona niulize hapa JF inapotokea risasi iliyopigwa na polisi imeua bila kukusudia. Sheria ikoje?
Kwa hali inavyokuwa mara nyingi hapa nchini, polisi anakuwa amekusudia kuua ila inatokea siyo mlengwa moja kwa moja.
Kozi risasi inayopigwa kwa lengo la kuwatawanya watu inapigwa juu na...
Waziri wa afya, Ummy Mwalimu ametoa tangazo la kuanza kutumika sheria ya bima ya afya kwa wote Tarehe 16 Agosti, 2024.
Awali bima hii ilikuwa iwe lazima kwa wote na kuleta mjadala mkubwa lakini tangazo la matumizi halijajumuisha kipengele husika.
Taasisi yoyote inapotaka kufanya uovu wowote, kwanza hutengeneza mazingira ya kuwezesha uhalifu kuweza kufanikiwa.
Serikali ya CCM, muda mwingi imekuwa ikiandaa mazingira ya kisheria ya kufanya uovu dhidi ya umma:
1. Serikali ya CCM kwanza iliandaa na kupitisha sheria ya kinga ya viongozi...
Kutokana na vitendo vya ukatili vinavyoendelea nchini dhidi ya watoto ,Bunge limeeleza kua serikali inatarajia kuleta muswada wa marekebisho ya sheria ya ulinzi na usalama kwa mtoto. Lengo la muswada huo ni kukabiliana na vitendo vya ukatili dhidi ya mtoto vinavyoendelea nchini baada ya vitendo...
Nisiwachoshe sana.
Matukio ya watu kupotea ndani mikono ya polisi.
Matukio ya watuhumiwa kuteswa na kutwezwa wakihojiwa na polisi
Matukio ya mauaji ndani ya vituo vya polisi ni mengi
Matukio ya watu kutekwa na vyombo vya dola kisha kutoweka ni mengi
Matukio ya kutishia wakosoaji na kuwabambika...
Utawala wa Taliban nchini Afghanistan umeendeleza mkandamizo mkali kwa wanawake wa nchi hiyo kwa kupitisha sheria kali za maadili zinazotaka wanawake kuficha kabisa gubigubi nyuso zao na miili yao wanapokuwa nje ya nyumba zao pamoja na kupiga marufuku wanawake kuongea mbele ya hadhira/umma...
Hii ninashauri ili kupunguza tatizo la ajira na pia kusaidia kupunguza migogoro kati ya serikali na wafanyabiashara. Kuna kutokuelewana pakubwa kati ya serikali na wafanyabiashara kwenye hesabu zao. Mamlaka zinaona wafanyabiashara wanakwepa kodi huku nao wakiona mamlaka wanawaonea. Kupunguza...
BUNGE LAPITISHA MUSWADA, MAREKEBISHO YA SHERIA ZA ULINZI WA MTOTO.
Na WMJJWM, Dodoma
Bunge la Tanzania limepitisha muswada wa marekebisho ya sheria zinazohusu ulinzi wa mtoto wa mwaka 2024 leo Agosti 30, 2024 jijini Dodoma.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe...
Bunge ni chombo muhimu kwa maslahi ya pana ya Taifa hususani katika kuweka sheria na utaratibu wa kanuni/sheria za nchi,maadili ya viongozi na usimamizi wa chama/serikali tunapofanya mzaha katika kutathmini/kuweka vigezo vya mtu kugombea nafasi za ubunge tutambue kuwa tunawasaliti na kuwaumiza...
Na; Mwandishi Wetu - DODOMA
BUNGE limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Hifadhi ya Jamii wa Mwaka 2024 wenye mambo kadhaa yanayolenga kuondoa changamoto zinazowakabili wanachama na utaratibu wa upatikanaji wa mafao.
Marekebisho hayo yanagusa Sheria tatu ambazo ni Sheria ya Mfuko wa...
https://www.youtube.com/live/380UNEwvBCo?si=ES97yMPqBEkG_Qon
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC) wakati kikizindua Ripoti ya 10 ya Biashara na Haki za Binadamu leo August 27, 2024, Afisa Program Mwandamizi wa Tafiti kutoka kituo hicho, Fundikila Wazambi amesema kuwa wamebaini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.