shilingi

The shilingi (Swahili; English: shilling; sign: TSh; code: TZS) is the currency of Tanzania. It is subdivided into 100 senti (cents in English).
The Tanzanian shilling replaced the East African shilling on 14 June 1966 at par.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Shilingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi kubwa

    Kwa kweli shillingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi ya kutisha dhidi ya sarafu nyingine. Ukitaka kujua kuwa shillingi yetu inaporomoka kwa kasi linganisha bei ya bidhaa kwa leo na ulinganishe na miaka mitatu, miwili na hata mwaka mmoja. Chukua mfano wa nishati ya mafuta. Miaka mitatu...
  2. G

    FIFA wanaua soka, Kila timu inayoshiriki kombe la dunia la vilabu kupewa takribani shilingi bilioni 130, Mpira wa Afrika unaenda kuwa farmers league

    Hasa hapa kwetu Afrika kwenye timu ambazo hazifiki hata asilimia kumi ya hicho kiasi Unazipa timu bilioni 130 kwa kushiriki kombe la mwezi, inakuwa ngumu sana kwa timu zenye bajeti za bilioni 8 kushindana na hao wanaopewa mizigo mizito. Vuta Picha leo hii hata Mtibwa kavuta hicho kiasi, Yanga...
  3. Ripoti Maalumu Mikopo Chechefu, Mabilioni ya Shilingi yakwapuliwa, wengine wagoma kulipa

    JItihada za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kukaribisha na kuhamasisha uwekezaji wa ndani na kutoka nje ya nchi kuja kuwekeza nchini unaelezwa kutiwa kigingi na tabia chafu inayozidi kuota mizizi ya baadhi ya wafanyabiashara wakubwa kushirikiana na baadhi ya majaji wa mahakama kuu wasio waaminifu...
  4. Kweli sasa Shilingi yetu inazidi Kushuka thamani yake kama Chama Kimoja Kikongwe cha Siasa kinavyozidi Kushuka thamani Barani Afrika

    Kwa wale tuliosoma au kuishi Uganda miaka ya katikati ya 90 na mwanzoni mwa miaka ya 2000 mtakubaliana nami GENTAMYCINE kuwa tulikuwa tukija Uganda na TSHS 200,000 basi huku tukizibadili tunakuwa Matajiri na Kula sana Bata maeneo ya Club Silk na Ange Noir kwani tulikuwa tunapata UGX 400,000...
  5. Bilioni 9.88 Kujenga Lami Barabara ya Dareda Mjini - Dareda Mission Babati

    BILIONI 9.88 KUJENGA LAMI BARABARA YA DAREDA MJINI - DAREDA MISSION BABATI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Mtendaji Mkuu Wakala wa Barabara (TANROADS) kumsimamia Mkandarasi kampuni ya Jiangxi Geo Engineering kukamilisha kwa wakati ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya...
  6. B

    GEF kupitia UNDP yatoa zaidi ya shilingi bilioni 4 kwa CSOs 44 nchini kutekeleza miradi ngazi ya jamii

    Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam. Mfuko wa Mazingira Duniani (GEF) kupitia Programu ya Ruzuku ndogo inayotekelezwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limesaini makubaliano ya kutoa sh 4.04 bilioni kwa mashirika yasiyo ya kiserikali 44 nchini ili kutekeleza miradi ya Uhifadhi wa...
  7. CAG: TTCL yapata hasara ya shilingi Milioni 894. Yarejesha ruzuku kama mapato

    Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amebaini Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limepata hasara ya Sh894 milioni licha ya kupokea ruzuku ya Sh4.55 bilioni kutoka serikalini. Hata hivyo, hasara kwa shirika hilo imepungua kwa asilimia 94. CAG amesema shirika...
  8. Kamati ya Bunge yatembelea ujenzi wa jengo jipya la DAWASA Yetu lililogharimu shilingi bilioni 48.9

    KAMATI YA BUNGE YAFANYA UKAGUZI JENGO LA DAWASA YETU Kamati ya Kudumu ya Bunge Uwekezaji na Mitaji ya Umma imekagua na kufurahishwa na maendeleo ya Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu ya Mamlaka ya Maji Safi na Majitaka Dar Es Salaam (DAWASA) katika eneo la Ubungo Maji Mkoani Dar es Salaam...
  9. Tulipanga kukusanya shilingi ngapi kwenye tozo za miamala

    Nimeangalia data kutoka TRA kujua tumekusanya shilingi ngapi tangu serikali iweke tozo kwenye miamala ya simu, hadi sasa tumeshakusanya Tsh Bilioni 362.1281, hii ni kuanzia zilipoanzisha hadi robo ya pili ya mwaka wa fedha 2023/24 Ukiangalia takwimu hizo kuanzia Juni 2022 makusanyo yalipungua...
  10. D

    Kila mchezaji wa Young Africans SC atakuwa bilionea kwa Shilingi za Tanzania

    Hii ni fursa adimu na inahitaji juhudi kubwa kutoka kwa wachezaji. Wanapaswa kujituma na kufanya vyema ili kufikia malengo haya makubwa. Tunawatakia kila la heri katika safari yao ya kufikia mafanikio hayo against mamelodi. 🌟🇹🇿 Kufikia mafanikio ya kuwa bilionea ni ndoto kubwa kwa...
  11. M

    Rais wa nchi analipwa shilingi ngapi kwa mwezi?

    Habari zenu wakubwa, Hivi mama samia anakunja shilingi ngapi mwisho wa mwezi? Maana usikute tunamlaum bure kumbe mshahara tunaomlipa ni kiduchu.
  12. G

    Shilingi bilioni 1 haitoshi kwa mtu aitegemee kuishi maisha standard kwa miaka 30, inabidi aishi kibahili na nidhamu kubwa ya pesa

    miaka 30 x siku 365 = siku 10,950 Bilioni 1 gawanya kwa siku 10,950 = el 91 kila siku Hizo ni hesabu za KUKURUPUKA ambazo anaepiga ana kila dalili ya kukosa maarifa kutambua kwamba pesa huwa inapungua thamani kadri muda unavyoenda (time value of money) hasa kwa mifumuko ya bei, shilingi 50 ya...
  13. G

    Financial freedom: Shilingi bilioni 1 inaweza kumfanya mtu mwenye nidhamu ya pesa aishi maisha standard mpaka 2060?

    Muhimu: thamani ya pesa inashuka kulingana na muda, shilingi 50 ya 2000 ilikuwa nauli ya daladala kwenda na kurudi lakini hauwezi fananisha na ya 2020 onayonunua pipi moja tu. Ikiwa mtu ana sifa hizi. Kashajenga umri miaka 35.... watoto wanne: first yupo la tano, second yupo la nne, third...
  14. Waziri Kairuki azindua vitendea kazi vya doria misituni vyenye thamani ya shilingi bilioni 6

    • Asisitiza lengo ni kuboresha utendaji kazi Na Happiness Shayo- Dar es Salaam Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amezindua vitendea kazi vya doria misituni vyenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 6, huku akiwataka Maafisa na Askari Uhifadhi kutumia vifaa hivyo kwa...
  15. S

    Jana nimekatwa shilingi 1500 nikinunua umeme baada ya shilingi 1ooo hii 500 imeongezeka lini?

    Tangu zoezi lianze miaka michache iliyopita nimekuwa nikikatwa elfu moja,lakini jana ikakusanywa 1500 bila maelezo hiyo 500 imeongezekaje. Sijajua kwenu wakuu imekuaje pia kama mmekutana na ongezeko hilo.Mamlaka husika imeshawahi ongelea ongezeko hilo na hiyo tsh 500 inaenda kumfanyia nini...
  16. Kanuni: Ili kukabiliana na upungufu wa fedha za kigeni lazima Shilingi ishuke thamani

    Katika kanuni za uchumi kawaida nyumbani ni lazima kuongeza mapato na uzalishaji. Kwa level ya nchi katika kukabiliana hali mbaya ya uchumi nchi hufanya mambo kadhaa kuhakikisha uchumi unakuwa imara. 1. Kuongeza export 2. kununua dhahabu 3. kupunguza matumizi ya serikali. 4. Mikopo ya hela za...
  17. Kwa Shilingi 400/= unaweza kupika maharage mpaka yakaiva ukiwa na jiko la umeme(Induction cooker)

    Hili jiko bwana linataka shule, ukinunua mfano lile la 3500W, ukapika kwa hizo watt zote 3500 basi umeme wa 10,000/= utalast masaa 8 tu. Lakini kuna siri moja. Na hii nimepractice mimi mwenyewe nyumbani. Unapotumia jiko hili set moto mdogo kuliko yote hasa kama unapika vitu ambavyo haviinvolve...
  18. Kenya kujiondoa katika makubaliano ya uingizaji wa mafuta na Saudi Arabia

    Nchi ya Kenya inatafuta kujiondoa katika makubaliano ya Serikali kwa Serikali (G2G) na Saudi Arabia ikieleza kuwa inaleta upotoshaji kwenye soko la ubadilishaji wa fedha na kukiri kwamba imekosa kulegeza shinikizo kwenye dola. Makubaliano ya G2G yaliyoanzishwa na Rais William Ruto mwezi wa...
  19. B

    Mwenye ufahamu wa elimu ya vipande BOT, mtaji wa 30,000,000 Tshs unaweza kupata faida ya shilingi ngapi kwa mwaka?

    Kuna wale akina sisi ambao tunaona risk kufanya biashara ambayo mazingira yake hapa kwetu hayatabiriki na hubadilika badilika. Je endapo nina 30 M Halafu nafikiria kuweka bond za BOT, je naweza kupata faida ya shilingi ngapi kwa mwaka? Masharti ni yapi? Nimepiga hesabu liquid fund ya UTT...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…