MKAZI wa Kijiji cha Sekedidi, wilayani Kishapu, mkoani Shinyanga, Lucia Mahazi (42), anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kiume wa siku mbili na kisha kumzika, kwa madai ya kutelekezwa na mwanamume aliyempa ujauzito.
Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari jana...