Shinyanga, also known as Shinyanga mji in the local Swahili language, is a city in northern Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Shinyanga Region as well as the district headquarters of Shinyanga Urban District. The region and district are named after the town.
Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa habari Mkoa wa Shinyanga, Greyson Kakuru ameikumbusha Serikali ahadi ya ubora wa magari ya waandishi wa habari kwenye misafara ya viongozi baada ya mazoea ya kupewa magari yasiyo na ubora kuendelea.
Mwenyekiti wa Klabu ya waandishi wa Habari Mkoa wa...
Mtoto mwenye umri wa miaka saba mkazi wa Mtaa wa Sido, Kata ya Ibinzamata, Manispaa ya Shinyanga, amechomwa moto mikono yake yote miwili na mama yake mzazi kwa madai ya kula wali uliokuwa umebaki.
Emanuel Kayange ambaye ni Mwenyekiti wa Mtaa wa Sido, amekemea kitendo hicho, huku mtoto mwenyewe...
MHE. ENG. GODFREYKASEKENYA - MAENEO YA BARABARA KOROFI SHINYANGA KUKARABATIWA
MASWALI NA MAJIBU BUNGENI - WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi na Mbunge wa Jimbo la Ileje Mhe. Godfrey Kasekenya Msongwe wakati akijibu swali la Mbunge wa Ushetu Mhe. Emmanuel Cherehani...
SHINYANGA: Manka Mushi mwenye miaka 26 mkazi wa Ikoma, Kata ya Itilima wilayani Kishapu mkoani Shinyanga, amenusurika kifo baada ya kupigwa na Jeshi la Jadi Sungusungu kwa tuhuma za wizi wa Tsh 420,000.
Akizungumza na Azam News katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga alipolazwa akipatiwa...
MBUNGE MHE. SANTIEL KIRUMBA AMEIWEZESHA OLD SHINYANGA VIFAA VYA TEHAMA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga Mhe. Santiel Eric Kirumba aameiwezesha vifaa vya TEHAMA Shule ya Sekondari Old Shinyanga; Kompyuta Tano na Printer 1 ambavyo vitawasaidia wanafunzi kujifunza kwa vitendo darasani...
Walioshtakiwa ni Abel J. Kitinya (Mlinzi wa Mahakama ya Mwanzo Shinyanga), Janeth W. Lugano (Mwinjilisti), Mariam W. Kiloba (Mfanyabiashara) na Magreth W. Kiloba (Mfanyabiashara).
Mshtakiwa Abel Joseph Kitinya amesomewa Mashtaka ya kujihusisha na vitendo vya Rushwa na Kughushi Nyaraka...
Imebainika kuwa baadhi ya askari wa Shinyanga wanavujisha taarifa za siri zinazotolewa na wananchi juu ya wahalifu wakiwemo wezi wa mafuta katika ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR.
Wakizungumza na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, ACP Janeth Magomi baadhi ya Wananchi wamedai kuwa wizi...
Sijatumwa na mtajwa hapo juu, wala sio shabiki wa mtu yoyote kwenye siasa.
Sema kutokana na uchapakazi wake, uadilifu na uongozi uliotukuka toka akiwa Hanang na Tanga vimenifanya nione kuwa ni mtu anaefaa kupewa nafasi ya ukuu wa mkoa wa Shinyanga.
Tangu Sophia Mjema ateuliwe kuwa Mwenezi wa CCM, mkoa hauna mkuu wa mkoa, badala yake RC Simiyu anakaimu. Hii ya Kukaimu muda mrefu inachelewesha mambo, mipango ya maendeleo na utekelezaj wake.
Teua mama, majembe yako mengi tu mtaani hayana kazi.
Jumatano, Jan 25, 2023.
Shinyanga mjini, Shinyanga.
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Cde Ramadhani Mwishehe Mlao (MNEC) amezungumza na wanachama wa CCM mkoa wa Shinyanga kuelekea maadhimisho ya miaka 46 ya CCM katika wilaya ya Shinyanga mjini mkoani Shinyanga.
Katika ziara hiyo ya...
Wenyeji wa mji huu nipo njiani kufika naomba kujua ni sehemu gani nzuri kulala na kushangaa shangaa mida ya jioni hivi, maeneo yasiyo na kilevi wala bar
Habari kutoka huku Mkoani Shinyanga, halmashauri ya Ushetu, ni kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya ya Iramba- Singida, anashikiliwa na Polisi.
Mkurugenzi Mtendaji huyo Michael Matomola anashikiliwa kwa ubadhirifu wa Milioni 180, fedha za halmashauri ya Ushetu iliyopo hapa Shinyanga. Amri ya...
Richard Nzumbe mkazi wa mtaa wa Butengwa Manispaa ya Shinyanga amefariki dunia akidaiwa kupigwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi wakati anaingia nyumbani kwake.
Tukio hilo limetokea majira ya saa 1 usiku wakati akitoka kazini kwake alipofika nyumbani kwake ndipo alishambuliwa na watu...
Wanafunzi watatu wa shule ya msingi Buhangija na kituo cha elimu maalumu Buhangija Manispaa ya Shinyanga wamepoteza maisha, baada ya bweni la wasichana walilokuwa wamelala kuungua moto usiku wa kuamkia leo huku wengine wakinusurika baada ya kuokolewa
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa...
Mama Samia ametoa mabilioni ya shilingi kujenga na kukarabati mashule kote nchini lakini watendaji wanamwangusha.
Kuna shule moja inaitwa SM Itilima Wilaya ya Kishapu Km 30 kutoka Shinyanga mjini ni aibu ukiiona na sijui mbunge au mkuu wa mkoa anijua majengo ya shule yamebomoka; nyumba za...
Wadau kwema !
Naleta maoni yangu kwa Halmashauri ya Wilaya Shinyanga vijijini, kuna soko la mnada pale maeneo ya Tinde huwa ni maarufu sanaa kwa biashara mbali mbali hadi vitoweo
Nilifika ilo eneo leo kwa mara ya kwanza lkn kiukweli ni hatarishi sanaa uchomaji wa nyama Mbuzi unaofanyika...
Huku taarifa za kina zikiendelea kutafutwa, Nimesoma kwenye mtandao wa Shinyanga Press Club kuwa Maji machafu na tope lenye kemikali limesambaa kuvamia makazi, mashamba na visima vya maji.
Madhara ya kiafya hayajaripotiwa lakini wananchi wenye taharuki washaanza kuyakimbia makazi yao.
Taarifa...
Mwalimu wa Madrasa katika msikiti wa Mohamed Shunu uliopo Mtaa wa Shunu Kata ya Nyahanga Manispaa ya Kahama, aliyefahamika kwa jina moja la Faidhi anashikiliwa na Jeshi la polisi kwa tuhuma za kuwalawiti wanafunzi 10 wa madrasa kwa nyakati tofauti kwa kuwarubuni kuwapa Sh 1000 na Sh 500...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.