Nikiwa naangalia hapa mechi ya USA na Belgium nikakukumbuka Kuhusu matangazo niliyoyaona yamezagaa huko mtaani kuhusu show ya Nandy akiwa na wasanii kibao maarufu tu itakayofanyika katika ukumbi wa the climax uliopo mwanza siku ya jumamosi trh 11/7/2026.
Kwa tathmini ya haraka ukumbi ule...
Huku kukiwa na malalamiko yanayoongezeka yanayohusiana na mzozo wa uhamiaji wa nchi hiyo, wasanii wa Afrika Kusini wanaripoti kufutwa kwa maonyesho yao na kupoteza mapato katika maeneo mbalimbali barani Afrika, afisa mmoja wa serikali amesema.
Mmamoloko Kubayi, Waziri wa Sheria na Maendeleo ya...
hatutegemei show za Tanzania.Bila atashow sisi tutakula atakama ni miaka kumiKwasasa diamond anategemea sana biashara zake” Mama Dangote NENO Moja kwa mama Dangote
Nishazoea mwezi Novemba utasikia huyu katangaza show Kidimbwi, mwengine katangaza show Warehouse sijui mwingine anaenda kwenye tour mikoani
Sasa hivi ukipita akaunti za wasanii wako kimya.
Hakuna cha show wala tour. Si Diamond wala genge lake.
Harmonize kakimbilia Kenya, Rayvanny haeleweki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.