show za wasanii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hivi waandaaji wa show za wasanii huwa wanapata vipi faida?

    Nikiwa naangalia hapa mechi ya USA na Belgium nikakukumbuka Kuhusu matangazo niliyoyaona yamezagaa huko mtaani kuhusu show ya Nandy akiwa na wasanii kibao maarufu tu itakayofanyika katika ukumbi wa the climax uliopo mwanza siku ya jumamosi trh 11/7/2026. Kwa tathmini ya haraka ukumbi ule...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri wa Sheria Afrika Kusini: Show za wasanii wetu zinafutwa kwenye mataifa ya Afrika"Sisi hatuna chuki dhidi ya wageni"

    Huku kukiwa na malalamiko yanayoongezeka yanayohusiana na mzozo wa uhamiaji wa nchi hiyo, wasanii wa Afrika Kusini wanaripoti kufutwa kwa maonyesho yao na kupoteza mapato katika maeneo mbalimbali barani Afrika, afisa mmoja wa serikali amesema. Mmamoloko Kubayi, Waziri wa Sheria na Maendeleo ya...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mama Dangote: Diamond hategemei show za Tanzania, anaweza kula kwa miaka 10 bila show

    hatutegemei show za Tanzania.Bila atashow sisi tutakula atakama ni miaka kumiKwasasa diamond anategemea sana biashara zake” Mama Dangote NENO Moja kwa mama Dangote
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Disemba hii inaenda kuwa ya ajabu sana. Sisikii wasanii wakitangaza show. Watanzania mmenuna? Mnataka hawa wasanii wakale wapi?

    Nishazoea mwezi Novemba utasikia huyu katangaza show Kidimbwi, mwengine katangaza show Warehouse sijui mwingine anaenda kwenye tour mikoani Sasa hivi ukipita akaunti za wasanii wako kimya. Hakuna cha show wala tour. Si Diamond wala genge lake. Harmonize kakimbilia Kenya, Rayvanny haeleweki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…