Bunge limeagiza Serikali kwenda haraka katika Jimbo la Kwela mkoani Rukwa kwa ajili ya kusaidia mgogoro kati ya wananchi na Taasisi ya Epheta Ministry ambao umepelekea watu kupigwa risasi.
Agizo hilo limetolewa bungeni leo Junanne Novemba 7, 2023 na Mwenyekiti wa Bunge, Daniel Sillo baada ya...
MHE. NANCY NYALUSI AHOJI KADCO INASIMAMIA SHUGHULI ZA UWANJA WA NDEGE WA KIA KWA MKATABA UPI?
"Nampongeza sana CAG kwa kazi nzuri waliyoifanya ya kuweza kubaini madudu. Ucheleweshaji wa Malipo kwa wakandarasi umesababisha riba ya Shilingi Bilioni 68.77 kwa Serikali kwa taasisi 12. Hapo...
WATANZANIA WANAHITAJI WAPATE MAFUTA KWA URAHISI - DKT. BITEKO
#Apongeza utaratibu wa upokeaji na upakiaji mafuta
#Ujenzi wa Flow meter Kigamboni wafikia asilimia 93
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, Watanzania wanahitaji wapate mafuta kwa urahisi ili...
Moja wa watoto wa Mwl Nyerere aliyepo ktk siasa na utumishi wa umma, hafurahishi siku ya kumbukizi ya kifo Cha baba yake kuchanganywa na shughuli nyingine ya serikali.
Makongoro ameyatoa ya Moyoni mbele ya Rais Samia aliyetumia siku hiyo kuuzima mwenge mjini Babati Manyara. RC Makongoro...
Hapa Korogwe Mkoani Tanga tuna changamoto ambayo naomba leo tuiweke wazi kwa sababu imetufika hapa (shingoni).
Naomba kuripoti kero juu ya misafara ya viongozi wanaopita hapa Korogwe Mjini yaani tunasimamishwa muda mrefu sana kisa msafara wa viongozi au kiongozi.
Mara nyingi tu shughuli...
Nina mpenzi wangu ambaye natarajia kabisa kufunga naye ndoa, lakini kuna mambo ambayo naona yanakwenda kinyume na matarajio yangu. Kibinafsi, sipendi kufanya sherehe za harusi zenye gharama kubwa ambazo mara nyingine huwa ni israfu. Hata hivyo, mpenzi wangu ni mtu ambaye anathamini na kupenda...
Yalinikuta !, Niliahirisha kwenda interview niliyoisaka kea muda ili nile tunda
Nakumbuka kuna kipindi wakati natafuta kazi kuna sehemu nilii apply na kweli nikapigiwa simu kwamba siku ya jumatatu niende, nikatumiwa pdf ikaonesha nafasi niliyoomba inabidi nifike saa nane mchana
Siku ya ijumaa...
Kama ni jua basi tungesema jua la Mbunge wa Mtama Nape Nnauye limeanza kuzama na kumfanya kada huyo wa CCM kuweweseka. Hii ni baada ya Wazee wa kabila la Wamwera kumpiga "stop" asihudhurie shughuli ya 40 ya mtangulizi wake Hayati Bernard Membe inayofanyika kesho 26/3/2023 kijijini...
UMOJA wa Afrika (AU) umeifungia nchi ya Niger kushiriki katika shughuli zote zinazohusiana na muungano huo kutokana na mapinduzi ya kijeshi yaliyofanywa mwezi uliopita.
Kitengo cha amani na usamala katika umoja huo kimetoa wito kwa nchi wanachama wa AU kujiepusha na masuala yoyote yanayoweza...
GENTAMYCINE sijawahi kuona Shughuli yoyote ile ya Kiserikali na hata ya Chama Tawala CCM ambayo huwa haiwatumii Viongozi wa Dini Kimaombi / Dua.
Leo hii namshangaa kumuona Mtu ambaye aliharibu kwa kiasi Kikubwa Misingi imara ya nchi (Rais Mstaafu Kikwete) kwa tabia yake ile ile ya Unafiki...
Hakika shughuli yao imejaa Sana kutokana na wingi wao hata takwimu za sensa zinathibitisha hilo kuwa wapo wengi kutuzidi.
Pia bei ya vijora ni nafuu kuliko bei ya suti😅
Alisikika mwana Yanga mmoja kwenye kibanda umiza..
NB: sote ni wanawake Mungu
Mimi ni mwana Yanga SC nikitokea hapa Kwetu Kisiwani Pemba ( Zanzibar ) ila Nikiri tu kuwa kwa Maandalizi ya Matamasha na Mvuto Simba SC wametuzidi mbali na tunatakiwa Kujifunza badala ya Kuwashangaa kwa mambo ambayo hata Sisi tulikuwa tunaweza Kuyafanya na Kuwazidi pia.
Happy Simba Day leo kwa...
Hello I.T fans..
naomba kupewa majibu mujarab. Naona wengi mnaovunja mifumo ya computer huwa mnavaa Hizo nyenzo (mask, gloves, kofia za mzula)
hivi sababu ni zipi hasa?
Halafu bado wengine mnakamatwa😅😅😅😂😂
Uamuzi huo unakuja saa 24 baada kikundi cha Wanajeshi kumuondoa Rais Mohamed Bazoum kwa kile kilichoelezwa kuwa ameshindwa kusimamia Uchumi wa Nchi pamoja na hali mbaya ya Usalama.
Pia, Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres amelisihi Jeshi limwachie huru na bila masharti, Rais Bazoum ambaye...
Haihusiani na kwenda kumjulia ndugu hali kwa wiki moja ama mbili, haihusiani na kukaa kwa ndugu ukienda mkoa wake kikazi.
Walengwa ni watu wazima miaka 24+ wenye kuweza kufanya shughuli yoyote halali.
INAVURUGA BAJETI - Ndugu yako kapanga nyumba anaanza kujibana ajenge kwake ila wewe unaenda...
Kuna umri unafika kwenda kwa ndugu iwe ni kwajili ya kumjulia hali unarudi kwako, umeenda mkoa wake kikazi kakuhost ukae kwake ukimaliza unarudi kwako, unaumwa kakupeleka kwake akuuguze ukipona tafta shughuli nenda kwako
Ndugu yako kashaanza maisha ya familia ni vema umpishe,
Haya ni mambo...
Habari! Ndugu wana JamiiForums, ni matumaini yangu kuwa sote tu bukheri wa afya. Leo hii ninapenda kuwashirikisha katika uzi huu unaoangazia tathimini yenye madhumuni ya kuibua njia madhubuti ambazo zinaweza kuchochea matokeo chanya katika shughuli mbalimbali za biashara kwa maendeleo ya taifa...
Kamchape ni mganga wa jadi hupatikana Africa hasa nchini DRC Congo na wengine wao hupatikana hapa mkoani Kigoma.
Katika makala hii nitakujulisha kunako tasnia hii ya Uganga na nguvu za giza kutokea hapa Kigoma, nitakusafirisha na kukujuza kinagaubaga ili uweze kutambua Kamchape ni na nani? wapi...
Ndugu zangu watanzania,
Muda mfupi nimetoka kumsikiliza Waziri wa Afya mh Ummy mwalimu kiongozi mchapa kazi na ambaye siku zote na wakati wote amefanya kazi kubwa Sana na ya kutukuka katika kila Wizara aliyopelekwa na kuaminiwa . Kauli ya Waziri inatoa ruhusa kwa madaktari kuwa na private...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.