shule kufungwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Shule zote kufungwa Novemba 13 kutokana na tahadhari ya mvua za El Nino

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (WyEST) imekuwa ikifuatilia kwa karibu taarifa za hali ya hewa zinazotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Katika taarifa yake ya tarehe 18 Agosti 2026, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania ilitoa mwelekeo wa mvua za vuli kwa kipindi cha Oktoba – Desemba...
  2. BigTall

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu apongeza TPDC kwa ujenzi wa Shule ya Msingi Likong'o kupitia Mradi wa LNG, akumbusha shule kufungwa miundombinu ya Nishati Safi

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amepongeza Wizara ya Nishati kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwa ujenzi wa shule bora ya Awali na Msingi katika Kijiji cha Likong'o mkoani Lindi inayojengwa kupitia mradi wa uzalishaji na usindikaji wa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Idadi ndogo ya watoto wanaozaliwa yasababisha baadhi ya shule kufungwa nchini korea kusini

    Takribani shule 49 zinatarajiwa kufungwa mwaka huu nchini Korea Kusini kutokana na ukosefu wa wanafunzi. Asilimia kubwa ya shule hizo zilizokosa wanafunzi ni zile za awali na msingi. Ukosefu wa wanafunzi wanaoandikishwa mashuleni unasababishwa na idadi ndogo ya watoto wanaozaliwa nchini humo...
  4. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Makatibu tawala wa mikoa mnasuburia mpaka tamko la waziri Mchengerwa kuwa shule ambazo hawajafunga wafunge, ndio mtoke kutoa tamko?

    Songea uko wanafunzi kachoma shule kisa anataka aende nyumbani likizo kupumzika huu ni mfano tu kuwa hawa watoto wanachoka wanaitaji kupumzika Ratiba ya mihula ipo wazi kwa kueleza siku za masomo lakini imekuwa kasumba sasa kwa shule zetu kipindi cha likizo walimu wanakuja na utaratibu wao kuwa...
Back
Top Bottom