Idadi ndogo ya watoto wanaozaliwa yasababisha baadhi ya shule kufungwa nchini korea kusini

Strong ladg

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2021
Posts
1,357
Reaction score
3,114
Takribani shule 49 zinatarajiwa kufungwa mwaka huu nchini Korea Kusini kutokana na ukosefu wa wanafunzi. Asilimia kubwa ya shule hizo zilizokosa wanafunzi ni zile za awali na msingi.

Ukosefu wa wanafunzi wanaoandikishwa mashuleni unasababishwa na idadi ndogo ya watoto wanaozaliwa nchini humo.

Mnamo mwaka 2023 takribani shule 22 zilifungwa kwa sababu hiyohiyo huku mwaka 2024 shule 33 zikilazimika pia kufungwa. Vilevile mnamo mwaka 2024 takribani shule 112 nchini Korea Kusini hazikuandikisha mwanafunzi mpya hata mmoja.

Korea Kusini ni miongoni mwa nchi zenye idadi ndogo zaidi ya watoto wanaozaliwa . Kwa wastani mwanamke mmoja nchini humo anazaa watoto 0.75( chini ya mtoto mmoja) huku wastani unaotakiwa ikiwa watoto 2.1

Licha ya kuwa na idadi ndogo ya watoto wanaozaliwa, nchi ya Korea Kusini pia ni miongoni mwa nchi yenye idadi kubwa ya watu wanaojitoa uhai duniani.

CHANZO: The Korea Times.
 
Mnamo mwaka 2023 takribani shule 22 zilifungwa kwa sababu hiyohiyo huku mwaka 2024 shule 33 zikilazimika pia kufungwa.
Vilevile mnamo mwaka 2024 takribani shule 112 nchini Korea Kusini hazikuandikisha mwanafunzi mpya hata mmoja.

Korea Kusini ni miongoni mwa nchi zenye idadi ndogo zaidi ya watoto wanaozaliwa . Kwa wastani mwanamke mmoja nchini humo anazaa watoto 0.75( chini ya mtoto mmoja) huku wastani unaotakiwa ikiwa watoto 2.1

Licha ya kuwa na idadi ndogo ya watoto wanaozaliwa, nchi ya Korea Kusini pia ni miongoni mwa nchi yenye idadi kubwa ya watu wanaojitoa uhai duniani.

CHANZO: The Korea Times.
Pale kwetu kijijin kuna hilo tatizo. Wachagga wote wamehamia mijin wamebaki wazee shule ni nyingi hazina wanafunz
 
Ila wanakuwa hawana furaha.
Mhmmm watoto bila kujalisha chochote wanapaswa wapate vitu bora , mfano unalipia ada mil 20 kwa mwaka ili mtoto wako apate elimu bora wewe unafikiri ni uchumi upi unapaswa uwe nao ili kuwa na watoto wanne?
 
Takribani shule 49 zinatarajiwa kufungwa mwaka huu nchini Korea Kusini kutokana na ukosefu wa wanafunzi. Asilimia kubwa ya shule hizo zilizokosa wanafunzi ni zile za awali na msingi.

Ukosefu wa wanafunzi wanaoandikishwa mashuleni unasababishwa na idadi ndogo ya watoto wanaozaliwa nchini humo.

Mnamo mwaka 2023 takribani shule 22 zilifungwa kwa sababu hiyohiyo huku mwaka 2024 shule 33 zikilazimika pia kufungwa. Vilevile mnamo mwaka 2024 takribani shule 112 nchini Korea Kusini hazikuandikisha mwanafunzi mpya hata mmoja.

Korea Kusini ni miongoni mwa nchi zenye idadi ndogo zaidi ya watoto wanaozaliwa . Kwa wastani mwanamke mmoja nchini humo anazaa watoto 0.75( chini ya mtoto mmoja) huku wastani unaotakiwa ikiwa watoto 2.1

Licha ya kuwa na idadi ndogo ya watoto wanaozaliwa, nchi ya Korea Kusini pia ni miongoni mwa nchi yenye idadi kubwa ya watu wanaojitoa uhai duniani.

CHANZO: The Korea Times.
Ee mwenyezi Mungu ikikupendeza chukua na Uyu wazanzibar
 
Kwa sasa wazee wenye umri zaidi ya miaka 65 ni asilimia 20 ya watu wote nchini humo. Hali sio nzuri. Halafu kuhusu kuajiri raia wa mataifa mengine kwa location yao itakuwa rahisi kupata watu wengi ? Sidhani kama wanazungukwa na nchi zenye njaa au umaskini eti waende Korea Kusini kutafuta maisha. Lakini hata hivyo ndege zipo, hata wabongo wanaweza kwenda Korea
Yaani hawazai, pili wanajinyonga na tatu. baada ya muda kutakuwa na wazee wengi kuliko vijana nguvu kazi ya taifa, itabidi waanze kuajiri raia wamataifa mengine
 
Back
Top Bottom