KUTOKA KWENYE GAZETI LA TANZANIA LEO...
SHUTUMA ZAMUIBUA SAMIA, ATAKA MAJIBU
Asisitiza sheria, haki isimamiwe bila chuki
Aagiza ufuatiliaji mwenendo utawala bora
Atoa maelekezo utatuzi migogoro ya kazi
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Godbless Lema amesema anasikitishwa na wanachama wa chama hicho kumwamini Mwanaharakati Mange Kimambi ambaye amedai amekuwa akihamasisha maandamano watu wafe na hashiriki hata misiba ya hao waliofariki
Amehoji hilo leo Novemba 1, 2026 akizungumza na waandishi wa habari...
Chama Cha Tanganyika law society (TLS) kilianzishwa na kulindwa na Sheria namba 307 (The Tanganyika law society act, 307) MLEZI wake mkuu akiwa ni serikali hivyo basi TLS si Mali ya mtu ni Mali ya serikali iliyoundwa kisheria, serikali inaangaza utendaji wa Kila siku wa TLS.
Matukio ya Rais wa...
bado
hana
huyu
kimya
kutumia
maadili
mawakili
mbona
mpya
ofisi
ofisini
rais
rais wa tls
shutuma
tls
tuhuma
tunataka
uchaguzi
uchaguzi wa rais
uchunguzi
vurugu
wakati
watanzania
Nianze na ku appreciate kazi, uzalendo na weledi mkubwa wa vyombo vyetu vya Dola katika kulinda ustawi wa Taifa letu kwa kuzingatia Sheria na maadili ya Taifa letu la Tanzania.
Ni kipindi pekee ambacho TLS Imekosa heshima Mbele ya umma watu wanashindwa kutofautisha kati ya shughuli za TLS na...
Rai wengi wa Japan wamemjia juu na kumkanya mwanamke wa Kiarabu aliyetembelea nchi hiyo baada ya kulalamika ameshindwa kupata chakula cha maana halali kwani karibia kila chakula Japan kina aina fulani ya bidhaa ya kitimoto ndani yake.
Raia wengi wamemwambia ni vyema kuheshimu utamaduni wa...
Tunamlaumu Nasaoro Katuga kwa ku expose mali za kiongozi wa CHADEMA.
Wakili wa serikali yuko kwenye minyukano mahakamani tunategemea aje kusema Heche ni malaika wa Bwana ??? Anapiga kwenye mishono anapoona pana madhaifu.
CHADEMA tujenge utamaduni wa uwazi kwenye masuala ya fedha na mali...
Wananzengo mnaendeleaje poleni na haya yanayoendelea.
Niende moja kwa moja kwenye mada.Jamani nadhani mnafahamu swala la wivu wa mapenzi lilivyojanga kwa jamii hasa linapokuja swala la kushuku kwamba unasalitiwa huku ukiwa huna uhakika au uthibitisho wa tuhuma hizo.Tusiende mbali kuna jamaa...
Juma lokole amedai kuwa Mulky wa Juakali na Wolper wameshushiana maneno mazito wakiwa wanamgombania Isarito.
Juma Lokole ana voice za Wolper anazojisifu kuwa ingawa umri umeenda ila ameweza kumchukua Isarito mikononi mwa Mulky.
''Wolper na mulky wa juakali wameshushia maneno mazito wolper...
Serikali ya Jimbo la Puntland imetoa picha na maelezo rasmi yanayowaonyesha makumi ya wapiganaji wa kigeni wa kundi la Islamic State (ISIS-Somalia) waliokamatwa wakati wa operesheni ya kupambana na ugaidi inayoendelea katika safu ya milima ya Calmiskaad (Al-Miskad) kwenye Milima ya Golis.
Kwa...
Nicki Minaj anaonekana kama ana ajitambua lakini bado ana tatizo kubwa sana la kukosa akili
Hivi majuzi amemuita Jay Z mchawi na hii ni kwasababu ya utajiri alio nao Jay Z
Watu wasiokuwa na uelewa kila wanapowaona matajiri huwa wanawatupia kashafa chafu hakuna siku watawapongeza wala kuwasifia...
Shutuma hii inawapa watu wengi maswali wakijiuliza anasa kwa vijana wa Kizanzibari imekithiri kwa kiwango gani hata kufikia kupeleka malalamiko mitandaoni
Je haya yasemwayo ni kweli vijana wa Kizanzibari wanayafanya?
Binafsi nawachukulia vijana wa kizanzibari kama watu wapole na wanyeyekevu...
Makamu wa Rais Mstaafu Rigathi Gachagua ametoa tuhuma nzito dhidi ya Rais William Ruto, akidai kuwa anaendesha mpango wa kutesa jamii ya Mlima Kenya kwa makusudi. Akizungumza tarehe 5 Juni 2025 katika mazishi ya shangazi yake marehemu Gladys Gathoni Kahua huko Kaunti ya Nyeri, Gachagua alisema...
Kuna mambo wengi tuliyaona hususan katika suala la Umeme, kuna nchi kama Bangladesh baada ya ADANI kwenda bei za Umeme zikaongezeka....
https://www.jamiiforums.com/threads/how-questionable-adani-deal-makes-electricity-costlier-bangladesh-case-study.2267500/
Na sio hivyo tu hata Kenya ni kwamba...
Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Mtaa wa Longdon kata ya Sokoni One Jijini Arusha, wamedai kuwa hawatashiriki uchaguzi wa kumchagua mwenyekiti wa eneo hilo kutokana na aliyeongoza kupata kura za maoni 189 jina lake limekatwa na aliyepata kura 36 jina kurejeshwa kama...
Nanukuu alichoandika mjumbe wa bavicha, kamanda Faustine
"….. waraka wa Wazi kwa Martin Maranja Masese, MMM na Watu wote.
Mwenyekiti wetu wa Chadema Taifa (my role model) alipo ona opportunity ndogo ya kuketi na kuzungumza na Samia namna bora ya kuleta mabadiliko ya kimfumo na upatikanaji wa...
Habari wana jamvi, kumekuwa na taarifa za chini kwa chini baada ya kuibuka sakata la wasimamizi wa televisheni kule Dstv sasa imehamia Azam nao wamejibu mapigo.
Note; ukimshtumu mtu au kampuni hakikisha hiyo kesi una ushahidi nayo la sivyo inakugeukia, kesi kama hizi ikikugeukia utalipwa faini...
Wakuu Salam,
Hakuna kipindi kigumu serikali ya awamu ya Sita inapitia kama hili la kuitwa wezi na wabadhirifu.
Hizi shutuma ni kubwa na kama sio kumbeba Magufuli kimzobe mzobe 2015 almanusura CCM iteme bungo.
Sasa ivi shutuma ni nyingi na " wanafiki" wame mute na wamegeuka " chawa" ili...
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Kitila Mkumbo kuwa Waziri. Aidha amefanya mabadiliko madogo ya miundo katika baadhi ya Wizara.
---
PROF. KITILA MKUMBO AWA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI
Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji na kumteua...
ashatu kijaji
ateuliwa
basi
biashara
dkt. ashatu kijaji
haya
hii
kitila mkumbo
mambo
mawili
mkumbo
shutuma
taarifa
uteuzi
viwanda
waislamu
waziri
waziri wa uwekezaji
wizara ya uwekezaji
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye Nipashe ya leo.
Kama kawaida yangu, kila nipotapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" zinazozungumzia jambo lolote lenye maslahi kwa taifa, liwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii, na hufanywa kwa mtindo wa maswali fikirishi, kisha...