Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Rai wengi wa Japan wamemjia juu na kumkanya mwanamke wa Kiarabu aliyetembelea nchi hiyo baada ya kulalamika ameshindwa kupata chakula cha maana halali kwani karibia kila chakula Japan kina aina fulani ya bidhaa ya kitimoto ndani yake.
Raia wengi wamemwambia ni vyema kuheshimu utamaduni wa Japan na kuishi kulingana nao kama vile tu ambavyo wapenda kitimoto hawawezi kwenda Saudi Arabia na kuanza kulalamika kukosa kitimoto.
Raia wengi wamemwambia ni vyema kuheshimu utamaduni wa Japan na kuishi kulingana nao kama vile tu ambavyo wapenda kitimoto hawawezi kwenda Saudi Arabia na kuanza kulalamika kukosa kitimoto.