Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 43,233
- 51,648
Ni kama ametumwa kwenda kuchokonoa utamaduni wa wajapanUkimuangalia tu unaona Hana akili
Ni kama ametumwa kwenda kuchokonoa utamaduni wa wajapanUkimuangalia tu unaona Hana akili
😅😅 unachekesha mkuuWatoto wa kike wa kiislamu hawana access ya ku browse mitandaoni hovyo,mkuu
Wanaendeshwa na mihemkoWatu hawapendi mtu kuwa huru, wanataka utumwa wao waingie watu wengine
Kweli kabisaWanaendeshwa na mihemko
***** la kizimkazihakua na njaa huyo 🐒
Tena taahirqUkimuangalia tu unaona Hana akili
Huko saudia kijana kahukumiwa kunyongwa kisa kamsema muhamed asee uhuru mnaosema niupiWatu hawapendi mtu kuwa huru, wanataka utumwa wao waingie watu wengine
Si ndo maana kauli yangu ni kweli?Huko saudia kijana kahukumiwa kunyongwa kisa kamsema muhamed asee uhuru mnaosema niupi
Hizo tamaduni nazo lazima zitambue utofauti wa tamaduni na kuheshimu imani za wageni wanaotembelea nchi zao.tujifunze kuheshimu tamaduni za watu
***** la kizimkazi
Wanasema Mdudu alikosea kumla Mudi au Mudi ndio alikosea kumla Mdudu? Hivi kwani Mdudu aaliwakosea nini ndugu zetu katika imani?Wasiokula mdudu wanakosa vingi
Wanasema Mdudu alikosea kumla Mudi au Mudi ndio alikosea kumla Mdudu? Hivi kwani Mdudu aaliwakosea nini ndugu zetu katika imani?
Nimecheka sana aisee, dah😂😂😄Kama wewe unavyoitambua iPhone 18 pro max na Samsung S26 ultra kama ndio best flagship kwenye industry ya simu.
Basi hata kwenye ishu ya nyama Kitimoto ndio flagship.