Mwanamke mwarabu azua shutuma kila kona Japan baada ya kulalamika vyakula vyote vina kitimoto

Mwanamke mwarabu azua shutuma kila kona Japan baada ya kulalamika vyakula vyote vina kitimoto

Nyinyi mnaongea vitu tofauti na kile uyo Dada kaongelea

Duniani kote nchi zinafanya mambo ili kuvutia wageni wa Mataifa mbali mbali kutembelea nchi zao

Kwaiyo uyo Dada anayo Haki ya kimsingi kulalamika kukosa chakula Halal kwa majibu wa iman yake!!!

Hata Tanzania tunawavutia wageni mbali mbali

Lkn sio kwamba waje wale Ugali wa Bada na Mlenda ❗na wakioji vipi!!
uje juu na kuwaambia ndio Chakula cha Kitanzania icho lazima ufuate utamaduni wetu😀

Sio kweli !!!

Aya yatabaki maneno ya wahuni wazawa wasio na ujuzi wowote juu ya Haki ya wageni kwenye nchi zao !!
Angesafiri na chakula chake
 
Nchi tajiri na ambazo ni ancient civilizations kama Japan, China, Korea, India na nyingine za Mashariki ya Mbali huwa zinapendelea wageni walio tayari kuheshimu tamaduni zao. Huwezi kutaka special treatment au entitlement kwa sababu ya imani yako tu kwa mambo ambayo hayana athari hasi kwa binadamu katika jamii hizo ukaeleweka.

Kama Waislamu wangekuwa wana (mzigo) allergy na kitimoto wangeweza kueleweka matakwa yao ila kwa sababu wao wameamua tu kutokula kutokana na story za mtu wa karne ya saba jamii kubwa ya Japan haiwezi na haiwajibiki kijali hayo mahitaji yao.
Kitimoto kwa dini ya kiisilamu ni halal kula ila ukiwa na njaa na kwenye mazingira ambayo hakuna chakula kingine 😄
 
Nchi tajiri na ambazo ni ancient civilizations kama Japan, China, Korea, India na nyingine za Mashariki ya Mbali huwa zinapendelea wageni walio tayari kuheshimu tamaduni zao. Huwezi kutaka special treatment au entitlement kwa sababu ya imani yako tu kwa mambo ambayo hayana athari hasi kwa binadamu katika jamii hizo ukaeleweka.

Kama Waislamu wangekuwa wana (mzigo) allergy na kitimoto wangeweza kueleweka matakwa yao ila kwa sababu wao wameamua tu kutokula kutokana na story za mtu wa karne ya saba jamii kubwa ya Japan haiwezi na haiwajibiki kijali hayo mahitaji yao.

Unapotangaza kuwavutia wageni kimataifa ❗

labda useme lkn sisi vyakula vetu vipo vile na vile na hatuwajibiki kukuakikishia kupata chakula kile kwako ni sawa!!!!!

Kinyume chake utawajibika mpaka kisheria Watafungua kesi:BanHammer:

1) Tunasema kiti MOTO

2) Lkn sio iyo tu wengine !!
Nyama yoyote hawataki

3) Wengine kambale mwiko !!

4) Wazungu wana chama chao cha kuzuiya kula kiumbe hai yoyote kwamadai
Sote ni viumbe tumekuja kuishi Duniani kwaiyo
tusitafunane❗

Kama utazigatia tu kwakua vyakula vyako ni salama wanakula wengi na wana Afya njema kabisa bado sio msingi wa kuwalisha wengine!!!

Kwamaana hata sisi chakula cha Bada na Mlenda
Ugali mchuzi nyama

ni Salama kwa Afya na wanakula wengi kwenye ukanda mzima wa Africa Mashariki na kati.

Je wataweza kula wageni wetu
Ndiomana busara inaitajika kuakikisha kabla
ujawavutia Wageni !!!

vizuri kwanza kujipanga na vyakula mbali mbali vya Mataifa mengi zaidi!!!
 
Rai wengi wa Japan wamemjia juu na kumkanya mwanamke wa Kiarabu aliyetembelea nchi hiyo baada ya kulalamika ameshindwa kupata chakula cha maana halali kwani karibia kila chakula Japan kina aina fulani ya bidhaa ya kitimoto ndani yake.

Raia wengi wamemwambia ni vyema kuheshimu utamaduni wa Japan na kuishi kulingana nao kama vile tu ambavyo wapenda kitimoto hawawezi kwenda Saudi Arabia na kuanza kulalamika kukosa kitimoto.

View attachment 3685857
Arudi kwao
 
Angesafiri na chakula chake

Kosa lengine kisheria kubeba chakula kuingiza nchi ya watu!!!
Dawa tu kidogo kwa matumizi yako zenyewe lazima huwe na Document ya Doctors balozi waliokupa Visa wajue na wakupe ruhusa!!!!!

Sasa unavutia wageni kumbe msosi wako magimbi na togwa !!!

Tumbo likisumbua naenda Mahakamani kudai fidia❗
 
Inabidi saudia waanze kupika kitimoto ili kuvutia wageni
 
Masikini wa kigalatia wanatoa povu
Wao hata burundi hawana hela ya kwenda
Huyo kaenda kuisanifu japani na wala hana shida ya kuishi huko
Na ujumbe umefika, hapo hata msabato mwenye hela zake kashajua haihitaji kwenda huko
 
Ukiona huwezi usiende
Shida iko wapi ?
Mbona sioni mataifa mengine wakienda nchi za ki Islam wakilalama punguzeni kudeka basi eboo
Muulize huyo kahaba kalazimishwa kwenda huko?au shobo zake?hawa jamaa wanaonaga hii dunia kama ya baba yao mzazi nafurahigi sana netapaka anawapelekea moto, waende hata iraq inatosha sisi makelele hatutaki
 
Kupunguza chuki ni Pepo chafu pambana ulitoe kwako !! Dunia ni kijiji jamii kwasasa zinachangamana

Waisrael sio watu wazuri wanauwa watu ovyo mpaka Wakristo wenzio wanauwawa !!

Bahati nzuri mimi nakupa na Ushahidi jinsi Wakristo wenzio wanavyosagwa pale Gaza na Israel unaewapenda kisa chuki Pepo lako!!!!!
 
Attachments

  • Screenshot_20260507_165159_Chrome.jpg
    Screenshot_20260507_165159_Chrome.jpg
    156.9 KB · Views: 8
  • HGSogX-asAAGnO9.png
    HGSogX-asAAGnO9.png
    655.2 KB · Views: 6
  • 6305608-7612b5feec07cd65f7cb370061cb185c.mov
    6.2 MB
Rai wengi wa Japan wamemjia juu na kumkanya mwanamke wa Kiarabu aliyetembelea nchi hiyo baada ya kulalamika ameshindwa kupata chakula cha maana halali kwani karibia kila chakula Japan kina aina fulani ya bidhaa ya kitimoto ndani yake.

Raia wengi wamemwambia ni vyema kuheshimu utamaduni wa Japan na kuishi kulingana nao kama vile tu ambavyo wapenda kitimoto hawawezi kwenda Saudi Arabia na kuanza kulalamika kukosa kitimoto.

View attachment 3685857

angalia mwenyewe hapa , huyo pengine ni mkristo yumo katika biashara za kuupakazia uovu uislamu kama kawaida yenu

View: https://www.youtube.com/watch?v=zLLqWQfOWbY
 
Kupunguza chuki ni Pepo chafu pambana ulitoe kwako !! Dunia ni kijiji jamii kwasasa zinachangamana

Waisrael sio watu wazuri wanauwa watu ovyo mpaka Wakristo wenzio wanauwawa !!

Bahati nzuri mimi nakupa na Ushahidi jinsi Wakristo wenzio wanavyosagwa pale Gaza na Israel unaewapenda kisa chuki Pepo lako!!!!!
Umejuaje imani yangu?nyinyi ni wendawazimu lini umeona wajapan wakipinga utamaduni wa saudia au iran? au huyo kahaba anawashwa na wajapani ndio wakunaji?kama kitu hakikufai simple tu unaepuka ya nini mikelele kama umefumaniwa, nampongeza sana bwana benny maana anawasemesha kwa lugha mnayoielewa
 
Wakristo wanapandwa chuki na viongozi wao kuchukia Waislamu !!!!!! Viongozi wa Kikristo kwao wanadhani kuwapanda chuki za uwongo ndio watawafanya waumini wao wawachukie Waislamu wakiwa na lengo kuu kupunguza speed ya Waumini wa Kikristo kuamia kwenye UISLAM!!

Kwaiyo hawana Jinsi zaidi kutumia uwongo kuwajaza chuki hewa mkimuona muislamu mumuone kama Jini shetani nk.

Kinacho wasumbua viongozi wa Kikristo sio Tanzania tu bali ni Duniani kote ni ukweli wa Dini ya Kiislamu ndio Dini inayokuwa zaidi Duniani popote Duniani watu wanaamia ktk UISLAM ✍️
 
Back
Top Bottom