Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Analishwa?Kuondoka lazima ataondoka muda wake ukifika, ila sisi hatujapenda kwa kitendo cha kumlisha kitimoto kila anapoingia.
Kwamba akifika hotelini anapangiwa kitu cha kula?
Analishwa?Kuondoka lazima ataondoka muda wake ukifika, ila sisi hatujapenda kwa kitendo cha kumlisha kitimoto kila anapoingia.
Kwamba yeye ndo muislamu wa kwanza duniani kufika Japan?Lkn pia kuwashtua Waislamu wakienda kutalii Japan wawe makini wasije kula misosi yeye kiti MOTO
Upande mmoja kafanya
vizuri sana!!!
Ukiona huwezi usiendeHizo tamaduni nazo lazima zitambue utofauti wa tamaduni na kuheshimu imani za wageni wanaotembelea nchi zao.
Sio lazima,Hizo tamaduni nazo lazima zitambue utofauti wa tamaduni na kuheshimu imani za wageni wanaotembelea nchi zao.
Ningekuwa nimeshakufa kabla sijafikisha miaka mitano. Mdudu nimemla zaidi ya miaka 40. Sina magonjwa labda mafua tu na malaria tu. Rafiki yangu said tunakula nae.Magonjwa
Kwani kalazimishwa kwenda Japan?Rai wengi wa Japan wamemjia juu na kumkanya mwanamke wa Kiarabu aliyetembelea nchi hiyo baada ya kulalamika ameshindwa kupata chakula cha maana halali kwani karibia kila chakula Japan kina aina fulani ya bidhaa ya kitimoto ndani yake.
Raia wengi wamemwambia ni vyema kuheshimu utamaduni wa Japan na kuishi kulingana nao kama vile tu ambavyo wapenda kitimoto hawawezi kwenda Saudi Arabia na kuanza kulalamika kukosa kitimoto.
View attachment 3685857
Si arudi kwao
Ana impact gani kwa Japani kwamba akiondoka ataacha pengo
Kujipa umuhimu
NomaKwao wanapigana sasa hivi...wanapigania nani atakuwa karibu na dini kuliko mwingine
Kwani kalazimishwa kwenda Japan?
Hakujifunza vyakula vya Japan kabla ya kwenda huko?
Kwamba yeye ndo muislamu wa kwanza duniani kufika Japan?
Fucking religion man.Hawa wanataka watu wengine wote tuwape status ya kuwa watu special. Na tuishi vile wanavyotaka wao. Kila eneo tatizo lao ni lile lile...kupenda ukubwa na kujiona wako juu zaidi ya wengine.
Ndio maana wanauana sana wenyewe kwa wenyewe, tena sababu ya dini hiyo hiyo moja. Ego is the enemy, aliandika Ryan Holiday
Nchi tajiri na ambazo ni ancient civilizations kama Japan, China, Korea, India na nyingine za Mashariki ya Mbali huwa zinapendelea wageni walio tayari kuheshimu tamaduni zao. Huwezi kutaka special treatment au entitlement kwa sababu ya imani yako tu kwa mambo ambayo hayana athari hasi kwa binadamu katika jamii hizo ukaeleweka.Nyinyi mnaongea vitu tofauti na kile uyo Dada kaongelea
Duniani kote nchi zinafanya mambo ili kuvutia wageni wa Mataifa mbali mbali kutembelea nchi zao
Kwaiyo uyo Dada anayo Haki ya kimsingi kulalamika kukosa chakula Halal kwa majibu wa iman yake!!!
Hata Tanzania tunawavutia wageni mbali mbali
Lkn sio kwamba waje wale Ugali wa Bada na Mlenda ❗na wakioji vipi!!
uje juu na kuwaambia ndio Chakula cha Kitanzania icho lazima ufuate utamaduni wetu😀
Sio kweli !!!
Aya yatabaki maneno ya wahuni wazawa wasio na ujuzi wowote juu ya Haki ya wageni kwenye nchi zao !!