Ngoja niwape Somo kwa faida ya wale watakaosoma!!!
Dini zetu sisi Binadamu
Kwanza tujue Dini zote ni zetu Binadamu zipo kwaajili yetu sisi
Sasa kikawaida Duniani kote Dini izi ukiwacha kuzaliwa ukiwa wewe tayali upo na Dini ya wazazi wako
Wapo Waumini baadae wanaama kwenda Dini nyengine ❗
Mimi nataka kuwaelezea aina hii ya Waumini wenye kuama Dini zao za kuzaliwa!!
Ktk ulimwengu wetu popote ipo ivi ili kupata Waumini wa aina hii kuna mambo lazima yawepo yenyewe yanasomekaje !!
Ni nguvu ya wingi wa Waumini wa Dini mojawapo!!
yani mfano kijiji kinawatu 3000 ktk wale 2800 ni Waumini wa Dini A na wale 200 ni Waumini wa Dini B kawaida ipo ivi Duniani kote Waumini wale wa Dini A ndio wataongezeka zaidi ongezeko lao litakuwa linawapunguza wale Dini B kwasababu mbali mbali !!!
wale Dini B ni wachache manake Waumini wao vijana wakikuwa wanaweza kujikuta wanapendana na Waumini wa Dini A ivyo kutokana na wingi wa Dini A sherehe za Sikukuu za Dini A utajo wao ni mkubwa kuliko Dini B kwaiyo inakuwa rahisi sana Waumini wa Dini B kuamia Dini A ivyo ndivo ilivo Duniani kote!!
Popote ata Tanzania chunguza vijijini uko Dini yenye nguvu eneo usika kijiji usika basi iyo Dini itakuwa inawameza wale wa Dini ya wachache!!!
Sasa Dini ya UISLAM imeshangaza ulimwengu
kwamba iyo kanuni kuu !!!
kwao haina maana kabisa
yenyewe inakuwa pamoja na uchache wao❗❗
Dini ya UISLAM ufanya vizuri pasi na kutegemea wingi wa Dini ya wengine au wanyeji
Lkn yenyewe ikiwa sehemu Waumini wao ndio wengi kuliko Dini
nyengine!!!
zile Dini ndogo zinamezwa kwa kasi zaid!!!!!
Ndiomana unaona China pamoja na kwamba Waislamu ni wachache lkn Dini ya Kiislamu ndio inaongoza Waumini wake kuwekewa Mbinyo mkubwa na Serikali kuliko Dini zengine zote❗
Sababu ya kukuwa kwake japo wenyewe ni wachache!!!!
Napo India ni ivyo ivyo Dini kubwa sio UISLAM sio Ukristo !!
lkn India imepitisha Sheria ya kulindwa kwa Waumini wao wasiende Dini nyengine kwasababu zozote zikiwemo za ndoa!!
Wewe ukiwa Dini tofauti na ya MAHINDU ukipendena na muhindu marufuku muhindu kuacha Dini yake kwasababu yoyote!!
upande wa pili utakamatwa kwa kumtoa muhindu kwenye Imani yake!!!
Unajiuliza kwanini wapitishe Sheria ya kulinda Waumini wa Kihindu wkt wao ndio wengi ni wazi kwa kanuni za Dunia niwao watawamega wale wachache lkn wamelazimika kulinda wahindu kupitia Sheria Bungeni mana ni wao ndio wanayoyoma taratibu ❗
Uko Marekani ni ivyo ivyo UISLAM unachipukia kutokea kwa wale wale waliokuwa wengi yani ni Wakristo
Japan ipo ivyo ivyo pia
Korea kusini na Ulimwenguni ipo ivyoivyo !!!
Ndiomana Tanzania Wachungaji na viongozi wa Dini ya Kikristo kwa Ujumla!!
Hawana jinsi zaidi ya kuupaka matope UISLAM !!
kwa uwongo ili kulinda Waumini wao japo bado wanamezwa !!!!
lkn japo uwongo na chuki wanazo wapanda Waumini wao!! inasaidia kupunguza kasi ya kumezwa
kwao✍️