Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,618
- 18,556
Kuondoka lazima ataondoka muda wake ukifika, ila sisi hatujapenda kwa kitendo cha kumlisha kitimoto kila anapoingia.Si arudi kwao
Ana impact gani kwa Japani kwamba akiondoka ataacha pengo
Kujipa umuhimu